Usimzoee Mungu Mpaka Ukasahau Utakatifu Wake! episode artwork

EPISODE · Aug 15, 2026 · 8 MIN

Usimzoee Mungu Mpaka Ukasahau Utakatifu Wake!

from Neno la Leo

🎙️ Leo kwenye Neno la LeoLeo kupitia 1 Samweli 6:20 tunakutana na swali zito: “Ni nani awezaye kusimama mbele za Bwana, huyu Mungu mtakatifu?” Baada ya kuona jinsi Mungu alivyoonyesha nguvu zake dhidi ya Wafilisti, sasa Waisraeli wanakumbushwa kwamba Mungu si mwenye nguvu tu, Yeye ni mtakatifu. Neno la leo linatukumbusha kwamba tunaweza kumzoea Mungu kiasi cha kupoteza kicho na heshima tunayopaswa kuwa nayo mbele zake. Ni kweli Mungu ni Baba yetu na anatupenda lakini neema yake haijafanya dhambi kuwa jambo dogo wala utakatifu wake kupungua. Je, ukaribu wetu na Mungu umetufanya tumheshimu zaidi au tumemzoea kiasi kwamba mambo yake matakatifu yamekuwa ya kawaida kwetu? Mungu anatualika kuwa karibu naye lakini pia kutembea mbele zake kwa heshima, utiifu na utakatifu.Karibu tusikilize, tutafakari na kujifunza pamoja. 🙏📖✨

Episode metadata supplied by the publisher feed · Published Aug 15, 2026

Embed this episode

Ready to play

Usimzoee Mungu Mpaka Ukasahau Utakatifu Wake!

0:00 8:05

No transcript for this episode yet

We transcribe on demand. Request one and we'll notify you when it's ready — usually under 10 minutes.

No similar episodes found.

No similar podcasts found.

Frequently Asked Questions

How long is this episode of Neno la Leo?

This episode is 8 minutes long.

When was this Neno la Leo episode published?

This episode was published on August 15, 2026.

Can I download this Neno la Leo episode?

Yes. Use the download control on the episode player to save the publisher-provided media file.
URL copied to clipboard!