Usitafute Baraka Pekee, Tafuta Uwepo wa Mungu! episode artwork

EPISODE · Aug 12, 2026 · 19 MIN

Usitafute Baraka Pekee, Tafuta Uwepo wa Mungu!

from Neno la Leo

🎙️ Leo kwenye Neno la LeoLeo kupitia 1 Samweli 3:19 tunaona Samweli akiendelea kukua na kuingia katika kusudi lake kama nabii. Lakini Biblia inatuonyesha siri iliyokuwa nyuma ya safari yake: “Bwana alikuwa pamoja na Samweli.” Mafanikio yake hayakuanzia katika kipawa, uwezo au nafasi yake bali katika uwepo wa Mungu uliokuwa pamoja naye. Hili linatufundisha kwamba tunaweza kuwa na mipango mizuri, elimu, fedha na watu sahihi lakini tusikose kile kilicho muhimu kuliko vyote: Mungu kuwa pamoja nasi. Swali letu lisibaki tu, “Bwana, utabariki mipango yangu?” bali pia, “Bwana, je, ninatembea pamoja nawe katika mipango hii?” Kwa sababu baraka kubwa kuliko kile Mungu anaweza kutupa ni uwepo wake katika safari yetu.Karibu tusikilize, tutafakari na kujifunza pamoja. 🙏📖✨

Episode metadata supplied by the publisher feed · Published Aug 12, 2026

Embed this episode

Ready to play

Usitafute Baraka Pekee, Tafuta Uwepo wa Mungu!

0:00 19:07

No transcript for this episode yet

We transcribe on demand. Request one and we'll notify you when it's ready — usually under 10 minutes.

No similar episodes found.

No similar podcasts found.

Frequently Asked Questions

How long is this episode of Neno la Leo?

This episode is 19 minutes long.

When was this Neno la Leo episode published?

This episode was published on August 12, 2026.

Can I download this Neno la Leo episode?

Yes. Use the download control on the episode player to save the publisher-provided media file.
URL copied to clipboard!