EPISODE · Mar 15, 2024 · 32 MIN
‘Uwekezaji katika Haki za Binadamu za Wanawake Watetezi wa Haki za Binadamu na Makundi Maalum Hilda Stuart Dadu
from Discovering Africa Thru' Technology · host Raziah Mwawanga
Wakili Msomi Hilda Stuart Dadu ni Mratibu wa Mtandao wa Wanawake Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (Coalition for Women Human Rights Defenders Tanzania) na Katibu wa Mtandao wa Wanawake Watetezi wa Haki za Binadamu Africa Mashariki. Mwanaharakati Mbobezi na Mtetezi wa Haki za Binadamu za Wanawake na Makundi Maalum anaelezea mafanikio na changamoto katika kuwekeza katika haki za binadamu Tanzania. Hilda anasistiza umuhimu wa kuwekeza katika sheria na mifumo bora inayoheshimu, linda na kutekeleza sheria za kuwalinda wanawake watetezi wa haki za binadamu na makundi maalum Tanzania. Kuimarisha utawala bora na usalama wa raia kuzuia uvunjwaji wa sheria, machafuko, ukatili wa kijinsia na matabaka yatakayogharimu taifa gharama kubwa. https://cwhrds.or.tz/ @cwhrdstz https://web.facebook.com/cwhrdstz https://www.instagram.com/cwhrdstz/ Follow us on Twitter: @discoverAfrDATT Instagram:@discoverAfrDATT Facebook:discoverAfrDATT LinkedIn:@discoverAfrDATT Email: [email protected]
Embed this episode
Ready to play
‘Uwekezaji katika Haki za Binadamu za Wanawake Watetezi wa Haki za Binadamu na Makundi Maalum Hilda Stuart Dadu
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
No similar episodes found.
Similar Podcasts
No similar podcasts found.