Wagalatia (4): Gal 3:1–9

EPISODE · May 15, 2024 · 28 MIN

Wagalatia (4): Gal 3:1–9

from Wahubiri wa Neno Pod · host Mike Taylor

Karibu sana kusikiliza mafundisho ya Biblia katika Wagalatia. Tunafanya mfululizo kwa waraka mzima, na hiyo ni namba 4, katika kifungu Gal 3:1–9. Hapa Paulo anaonyesha ni jambo la upumbavu kufikiri baada ya kuanza na Yesu kwa imani na Roho kwamba njia ya kuendelea au ya kukamilishwa ni kwa sheria au matendo. Anaonyesha kama Ibrahimu tunabarikiwa na kuokolewa kwa imani mwanzo hadi mwisho.Karibu.Mwalimu Maiki. Mchungaji Mmasa.Soma BibliaGal 3:1-91 Enyi Wagalatia msio na akili, ni nani aliyewaloga, ninyi ambao Yesu Kristo aliwekwa wazi mbele ya macho yenu ya kuwa amesulubiwa? 2 Nataka kujifunza neno hili moja kwenu. Je! Mlipokea Roho kwa matendo ya sheria, au kwa kusikia kunakotokana na imani? 3 Je! Mmekuwa wajinga namna hii? Baada ya kuanza katika Roho, mnataka kukamilishwa sasa katika mwili? 4 Mmepatikana na mateso makubwa namna hii bure? Ikiwa ni bure kweli. 5 Basi, yeye awapaye Roho na kufanya miujiza kati yenu, je! Afanya hayo kwa matendo ya sheria, au kwa kusikia kunakotokana na imani? 6 Kama vile Abrahamu alivyomwamini Mungu akahesabiwa haki.7 Fahamuni basi, ya kuwa wale walio wa imani, hao ndio wana wa Abrahamu. 8 Na andiko, kwa vile lilivyoona tangu zamani kwamba Mungu atawahesabia haki Mataifa kwa imani, lilimhubiria Abrahamu Habari Njema zamani, kusema, Katika wewe Mataifa yote watabarikiwa. 9 Basi hao walio wa imani hubarikiwa pamoja na Abrahamu aliyekuwa mwenye imani. This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com

NOW PLAYING

Wagalatia (4): Gal 3:1–9

0:00 28:38

No transcript for this episode yet

We transcribe on demand. Request one and we'll notify you when it's ready — usually under 10 minutes.

Prayer

Feb 13, 2022 ·39m

Social Trap Podcast Social Trap Welcome to the Social Trap Podcast! This is a show where we have relatable, life giving, purpose-filled conversations about the next generation of Christians and our view on culture. Hosted by Maxx Hamilton. Support this podcast: https://podcasters.spotify.com/pod/show/social-trap/support Soothing Pod - Sleep Stories Reel Radio Listen to more relaxing sleep stories. Gooday Gaming Guests FFF Gaming Emporium These are my Daily Messages in a Bottle sent over the internet Ocean for anyone to find. Listen to a Quick 20-minute Journey into my Life's Passions Work a Few Times a Day. I am 57. I Grew Up on All Gaming and Computing. I am a Seller of Gaming Parts on eBay and Etsy. In the past 8 years, I have learned about every system ever made. I am also an Enthusiast, Collector and Hobbyist of all Vintage Computing from the Very Beginning. In the last Few Years, I have been sharing my knowledge with others on YouTube, TikTok and Now this Pod Cast.See where all the Magic Happens:FFF Gaming Emporium | eBay Storeshttps://www.youtube.com/channel/UCDrdCmDQ52AsCWTWAhE7JEQ/<a target="_blank" rel="noopener noreferrer nofollow" href="https://www CZech It Out with Veronika Veronica LaVery Are you interested in improving your self inside out? What about ditching the old bad habits and mundane ways of thinking? Whether you're looking for motivation, inspiration or just some entertainment that allows you to sit back and relax and get some fresh perspectives in; you’re at the right place!Veronika is a CZech playmate, model and entrepreneur, Renaissance woman, immigrant, dog mum..just to name a few labels which are ever changing, but what doesn’t change is her spirit which shines bright and big while going through this human experience called LIFE. Support this podcast: https://podcasters.spotify.com/pod/show/czechitoutwithveronika/support
URL copied to clipboard!