Wagalatia (6): Gal 3:15–22

EPISODE · May 29, 2024 · 22 MIN

Wagalatia (6): Gal 3:15–22

from Wahubiri wa Neno Pod · host Mike Taylor

Karibu sana kusikiliza mafundisho ya Biblia katika Wagalatia. Tunafanya mfululizo kwa waraka mzima, na hiyo ni namba 6, katika kifungu Gal 3:15–22. Hapa Paulo anaonyesha tofauti baina ya sheria na ya ahadi za Mungu ambazo ni wokovu wetu tukimpokea Yesu kwa imani.karibu.Mwalimu Maiki. Mchungaji Mmasa.Soma BibliaWagalatia 3:15–2215 Ndugu zangu, nanena kwa jinsi ya kibinadamu. Lijapokuwa ni agano la mwanadamu, hata hivyo likiisha kuthibitika, hakuna mtu alibatilishaye, wala kuliongeza neno. 16 Basi ahadi zilinenwa kwa Abrahamu na kwa mzao wake. Hasemi, Kwa wazawa, kana kwamba ni wengi, bali kana kwamba ni mmoja, Kwa mzao wako, yaani, Kristo. 17 Nisemalo ni hili; agano lililothibitishwa kwanza na Mungu, torati iliyotokea miaka mia nne na thelathini baadaye hailitangui, hata kuibatilisha ile ahadi. 18 Kwa maana urithi ukiwa kwa sheria, hauwi tena kwa ahadi; lakini Mungu alimkirimia Abrahamu kwa njia ya ahadi.19 Torati ni nini basi? Iliingizwa kwa sababu ya makosa, hadi aje huyo mzao aliyepewa ile ahadi; iliamriwa kwa utumishi wa malaika kwa mkono wa mjumbe. 20 Basi aliye mjumbe si mjumbe wa mmoja; bali Mungu ni mmoja. 21 Basi je! Torati haipatani na ahadi za Mungu? La hasha! Kwa kuwa, kama ingalitolewa sheria iwezayo kuhuisha, hakika haki ingalipatikana kwa sheria. 22 Lakini andiko limeyafunga yote chini ya nguvu ya dhambi, makusudi hao waaminio wapewe ile ahadi kwa imani ya Yesu Kristo. This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com

NOW PLAYING

Wagalatia (6): Gal 3:15–22

0:00 22:56

No transcript for this episode yet

We transcribe on demand. Request one and we'll notify you when it's ready — usually under 10 minutes.

Prayer

Feb 13, 2022 ·39m

Social Trap Podcast Social Trap Welcome to the Social Trap Podcast! This is a show where we have relatable, life giving, purpose-filled conversations about the next generation of Christians and our view on culture. Hosted by Maxx Hamilton. Support this podcast: https://podcasters.spotify.com/pod/show/social-trap/support Soothing Pod - Sleep Stories Reel Radio Listen to more relaxing sleep stories. Gooday Gaming Guests FFF Gaming Emporium These are my Daily Messages in a Bottle sent over the internet Ocean for anyone to find. Listen to a Quick 20-minute Journey into my Life's Passions Work a Few Times a Day. I am 57. I Grew Up on All Gaming and Computing. I am a Seller of Gaming Parts on eBay and Etsy. In the past 8 years, I have learned about every system ever made. I am also an Enthusiast, Collector and Hobbyist of all Vintage Computing from the Very Beginning. In the last Few Years, I have been sharing my knowledge with others on YouTube, TikTok and Now this Pod Cast.See where all the Magic Happens:FFF Gaming Emporium | eBay Storeshttps://www.youtube.com/channel/UCDrdCmDQ52AsCWTWAhE7JEQ/<a target="_blank" rel="noopener noreferrer nofollow" href="https://www CZech It Out with Veronika Veronica LaVery Are you interested in improving your self inside out? What about ditching the old bad habits and mundane ways of thinking? Whether you're looking for motivation, inspiration or just some entertainment that allows you to sit back and relax and get some fresh perspectives in; you’re at the right place!Veronika is a CZech playmate, model and entrepreneur, Renaissance woman, immigrant, dog mum..just to name a few labels which are ever changing, but what doesn’t change is her spirit which shines bright and big while going through this human experience called LIFE. Support this podcast: https://podcasters.spotify.com/pod/show/czechitoutwithveronika/support
URL copied to clipboard!