Wekeza katika wanawake : Ongeza kazi ya Mabadiliko Shujaa wa Lishe Bora na Usalama wa Chakula Tanzania Fortunatha Mmari  episode artwork

EPISODE · Mar 9, 2024 · 30 MIN

Wekeza katika wanawake : Ongeza kazi ya Mabadiliko Shujaa wa Lishe Bora na Usalama wa Chakula Tanzania Fortunatha Mmari

from Discovering Africa Thru' Technology · host Raziah Mwawanga

Sherekea mafanikio ya wanawake bingwa na mashujaa wa kutetea Lishe Bora na Usalama wa Chakula Tanzania. Kutana na Bi Fortunatha Mmari, Mwanzilishi na Mkurugenzi wa Afco Investment na Mvumbuzi wa Fortune Foods Lishe bora kwa watu wa kipato cha chini Tanzania. Je, unajua lishe bora ni muhimu sana kwa kina Mama wajawazito kutoka ujauzito unapoaanza mpaka siku 1,000!? Utapia mlo unachangia kudumaa kwa watoto na magojwa yasiyo ya kuambukizwa kwa watoto na watu wazima na kugharimu serikali fedha nyingi kutibia? Je unajua kuhusu viatilishi vinavyoongeza virutubisho vinapatikana katika vyakula maalum na kuongezwa kwenye vyakula kwa gharama ndogo na kupatikana kwa urahisi na bei nafuu kuzui kudumaa na utapia mlo. https://afcoinvestment.co.tz/ https://www.linkedin.com/in/fortunatha-mmari https://www.gainhealth.org/fortunatha-mmari Follow us on Twitter: @discoverAfrDATT Instagram:@discoverAfrDATT Facebook:discoverAfrDATT LinkedIn:@discoverAfrDATT Email: [email protected]

Episode metadata supplied by the publisher feed · Published Mar 9, 2024

Embed this episode

Ready to play

Wekeza katika wanawake : Ongeza kazi ya Mabadiliko Shujaa wa Lishe Bora na Usalama wa Chakula Tanzania Fortunatha Mmari

0:00 30:42

No transcript for this episode yet

We transcribe on demand. Request one and we'll notify you when it's ready — usually under 10 minutes.

No similar episodes found.

No similar podcasts found.

Frequently Asked Questions

How long is this episode of Discovering Africa Thru' Technology?

This episode is 30 minutes long.

When was this Discovering Africa Thru' Technology episode published?

This episode was published on March 9, 2024.

Can I download this Discovering Africa Thru' Technology episode?

Yes. Use the download control on the episode player to save the publisher-provided media file.
URL copied to clipboard!