EPISODE · Mar 19, 2023 · 19 MIN
WHAT’S A RELATIONSHIP WITHOUT SEX
from LOVE UNTOLD PODCAST · host love untold podcast
What is a relationship without sex. Tumejazwa mengi na dunia Kizazi chetu kinaangamia. Ni saa sasa ya kuruhusu Maskio yetu kupokea iliyo kweli ili kwa hiyo kweli tuwe huru katika maisha yetu. Kijana hii ikakutie moyo kusimama sawa sawa na ukishikilie kile ulicho nacho kwa ajili ya utukufu wa Mung. Kwa uliye anguka na kuona hufai Yesu anakupenda hakuna ulilofanya au utawahi fanya litabadilisha upendo wake kwako hivyo hujachelea kuanza na Yeye tena kwa upya. It’s going to be a series keep on listening 🙌🏾
Embed this episode
NOW PLAYING
WHAT’S A RELATIONSHIP WITHOUT SEX
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
No similar episodes found.
Similar Podcasts
No similar podcasts found.