EPISODE · Jun 26, 2026 · 22 MIN
Yefta: Neema Katikati ya Kukataliwa
from Neno la Leo
🎙️ Leo kwenye Neno la LeoLeo tunatafakari simulizi ya Yefta kutoka Waamuzi 11. Ingawa alikataliwa na familia yake na kufukuzwa nyumbani, Mungu alimwinua na kumtumia kuwa mwokozi wa Israeli. Kupitia maisha yake tunajifunza kwamba Mungu haamui kusudi letu kwa kuzingatia historia yetu bali kwa mpango wake. Pia tunajifunza umuhimu wa kumtegemea Mungu kwa hekima na kuwa waangalifu katika maneno na maamuzi tunayoyafanya.Karibu tusikilize, tutafakari na kujifunza pamoja. 🙏📖✨
Embed this episode
Ready to play
Yefta: Neema Katikati ya Kukataliwa
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
No similar episodes found.
Similar Podcasts
No similar podcasts found.