EPISODE · Apr 4, 2020 · 40 MIN
Yohana 14:12
from FUATA BIBLIA IKUONGOZE · host FUATA BIBLIA
Pasta Apalale ana fundisha katika Fuata Biblia ikuongoze Studio. Yohana 14:12. Amin, amin, nawaambieni, Yeye aniaminiye mimi, kazi nizifanyazo mimi, yeye naye atazifanya; naam, na kubwa kuliko hizo atafanya, kwa kuwa mimi naenda kwa Baba. Pasta Apalale Ause ana fundisha katika kanisa la International Evangelical Church. Una karibishwa kwaku tuandikia kwenye: https://www.facebook.com/Fuata2017 Mafundisho kwenye: https://www.youtube.com/channel/UCc6q8io4RMpvNLYvEhxqJQQ/videos
Embed this episode
NOW PLAYING
Yohana 14:12
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
No similar episodes found.