EPISODE · Aug 27, 2026 · 21 MIN
Zohali - Sayari Mrembo Na Hatari
from Kiswahili Kitukuzwe - Afrika Imara (Swahili Podcast) · host Maranga Amos Atima
Zohali ndiyo sayari inayojulikana zaidi kwa pete zake za ajabu. Lakini je, uzuri wake ndio siri yake kubwa zaidi?Katika documentary hii ya Afrika Imara, tunachunguza ukweli wa kushangaza kuhusu Zohali. Utajifunza jinsi pete zake zilivyoundwa, kwa nini huenda zikatoweka siku moja, siri ya dhoruba yenye umbo la hexagon, na miezi yake ya ajabu kama Titan na Enceladus ambayo imekuwa miongoni mwa maeneo muhimu zaidi katika utafutaji wa maisha nje ya Dunia.
Embed this episode
Ready to play
Zohali - Sayari Mrembo Na Hatari
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
No similar episodes found.