Skip to content
Chahali Podcast podcast artwork

PODCAST · news

Chahali Podcast

by Evarist Chahali

Maongezi ya Chahali www.baruayachahali.com

Publisher-supplied feed metadata · PodParley refreshed May 16, 2026 · Source feed

Episodes

  1. Video ya Ripoti Maalum ya CNN Kuhusu Mauaji ya MAELFU Nchini Tanzania [Tahadhari: Inaumiza Mno!]

    Kituo cha runinga cha kimataifa cha CNN kimechapisha ripoti kamili ya mauaji yaliyofanywa na Samia Suluhu Hassan kuanzia Oktoba 29 mwaka huu hadi sasa. Tahadhari ni kwamba video husika INATISHA, INASIKITISHA na INATIA HASIRA. MENGINEYO Get full access to Barua Ya Chahali at...

  2. S03 E01: Mkakati Mkubwa Kumkwamisha Lissu Kuwania Urais Katika Uchaguzi Mkuu 2025

    Makala hii exclusive inaeleza kuhusu mpango kabambe unaoendelea kuhakikisha Mwenyekiti mpya wa Chadema, Mheshimiwa Tundu Lissu hafanikiwa kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu. Awali Mheshimiwa Lissu alishatangaza nia ya kuwania…

    more
  3. S02E04: Maongezi na Mtangazaji Maarufu wa Wasafi Media Charles William

    S02E04: Maongezi na Mtangazaji Maarufu wa Wasafi Media Charles William Charles anajibu maswali haya 1. Charles William ni nani 2. Nini kilikuvutia kuingia kwenye fani ya habari 3. Changamoto gani ulizokumbana nazo katika safari yako hadi kufikia ulipo, na zipi zilizopo sasa 4. Wewe sio tu ni…

    more
  4. S02E03: Uchambuzi Kuhusu Kuuawa Haniyeh Huko Irani, Vurugu Kubwa Uingereza

    S02E03: Uchambuzi kuhusu kuuawa kwa Haniyeh huko Irani, na vurugu kubwa nchini Uingereza Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

  5. S02E02: Mahojiano na Mwanahabari Nguli Afrika Mashariki, Jackie Lumbasi

    S02E02: Mahojiano na Mwanahabari Nguli Afrika Mashariki, Jackie Lumbasi Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

  6. S02 E01: Uzinduzi

    Uzinduzi wa Season 02 Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

  7. Uchambuzi Kuhusu Mabadiliko Baraza la Mawaziri

    Uchambuzi mfupi kuhusu mabadiliko madogo ya baraza la mawaziri yaliyotangazwa Julai 21, 2024 Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

  8. Uchambuzi Kuhusu Jaribio la Mauaji Dhidi ya Donald Trump

    1. Kilichojiri 2. Mhusika 3. Haki ya kikatiba kumiliki silaha Marekani inavyochangia mauaji holela 4. Trump kama mhanga wa kauli zake, mfano alivyohamasisha wafuasi wake kuvamia Kongresi Januaru 6, 2021 5. Zama za Fake, siasa za uhasama kati ya Republicans vs Democrats 6. Biden hahusiki lakini...

  9. Uhusiano Kati Ya Ujasusi na Kusulubiwa kwa Bwana Yesu Kristo

    Makala hii fupi inakufahamisha kuhusu uhusiano kati ya intelijensia hususan ujasusi na Juma Kuu, hususan Jumatano Kuu ambayo pia hufahamika kama Jumatano ya Kijasusi (Spy Wednesday). Kadhalika, makala inamwangalia Yuda Iskariote kama pandikizi aliyemsaliti Bwana Yesu Get full access to Barua Ya...

  10. Wakati Mama Samia anasema kuna mtandao wa wizi serikalini, Waziri Mwigulu adai hakuna, Waziri Mchengerwa adai wizi ni wa zama za JPM

    Wakati Mama Samia anasema kuna mtandao wa wizi wa fedha za serikali, Waziri wake wa Fedha (Mwigulu) adai hakuna wizi serikalini, Waziri Mchengerwa adai huo ni wizi wa "zama za JPM" 🤔 Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

  11. Taarifa ya kiintelijensia: Situation Report (SITREP) kuhusu hali ya Rais Mstaafu Mzee Mwinyi

    Taarifa ya kiintelijensia: Situation Report (SITREP) kuhusu hali ya Rais Mstaafu Mzee Mwinyi Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

  12. Happy birthday Tanganyika, Happy birthday Jasusi, na Uzinduzi wa kitabu cha UJASUSI

    Happy birthday Tanganyika, Happy birthday Jasusi, na Uzinduzi wa kitabu cha UJASUSI Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

  13. Jinsi ya Kuwa Mtu Bora S01E05: Jinsi ya Kutatua Tatizo Lolote Lile Maishani

    Jinsi ya Kuwa Mtu Bora S01E05: Jinsi ya Kutatua Tatizo Lolote Lile Maishani Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

  14. Jinsi ya Kuwa Mtu Bora S01E04: Jinsi ya Kujiandaa Dhidi ya Majanga Maishani

    Jinsi ya Kujiandaa Dhidi ya Majanga Maishani Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

  15. Jinsi ya Kuwa Mtu Bora S01E03: Tabia 14 Zinavyokwamisha Maendeleo ya Mtu

    Episode ya tatu katika mfululizo wa makala kuhusu mbinu mbalimbali za kukufanya kuwa mtu bora. Episode hii inahusu tabia 14 zinazokwamisha maendeleo ya mtu Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

  16. #JinsiYaKuwaMtuBora S01E02: Vitu 15 Rahisi Kabisa Vya Kukuwezesha Kuwa Mtu Bora

    Episode ya pili katika Season kwa Kwanza ya mfululizo wa makala hizi za #JinsiYaKuwaMtuBora, neno ambalo ni tafsiri niliyobuni ya "Personal Development". Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

  17. #JinsiYaKuwaMtuBora S01E01: Jiulize "Mimi ni nani"?

    "Jinsi ya Kuwa Mtu Bora" ni tafsiri isiyo rasmi ya "Personal Development." Mada za kuhusu "Jinsi ya Kuwa Mtu Bora" zinapatikana katika kijarida (newsletter) cha "AdelPhil Online Academy" (chuo cha bure cha mtandaoni kinachofundisha bure kozi mbalimbali) . Ikikupendeza, fanya kujisajili leo Get…

    more
  18. Maongezi baina yangu na mwandamizi mmoja huko serikalini kuhusu mkataba wa bandari

    Maongezi baina yangu na mwandamizi mmoja huko serikalini kuhusu mkataba wa bandari Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

  19. Jenerali Muhoozi atangaza rasmi kuwania urais Uganda, vipi hatma ya Baba yake Museveni? Atampindua?

    Jenerali Muhoozi atangaza rasmi kuwania urais Uganda, vipi hatma ya Baba yake Museveni? Atampindua? Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

  20. Jinsi ya Kujiunga na Idara ya Usalama wa Taifa Tanzania

    Jinsi ya Kujiunga na Idara ya Usalama wa Taifa Tanzania Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

  21. Happy Mother's Day

    Happy Mother's Day Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

  22. Machi 12 kama leo, mwaka jana, nilitangaza kifo cha Magufuli... kilichofuata sintokisahau maishani

    Machi 12 kama leo, mwaka jana, nilitangaza kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli. Kabla ya tangazo langu hilo, tayari kulikuwa na tetesi kadhaa kwamba afya ya kiongozi huyo ilikuwa tete. Hata hivyo, kwa kupitia vyanzo vyangu vya kuaminika, nilikuwa mtu wa…

    more
  23. Heri ya Mwaka Mpya 2022: Malengo 10 ya Mwaka mpya (New Year's Resolutions)

    Heri ya Mwaka Mpya 2022: Malengo 10 ya Mwaka mpya (New Year's Resolutions) Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

  24. #JasusiPodcast inawatakia heri na baraka za sikukuu ya Krismasi na maandalizi mema ya kuipokea 2022

    #JasusiPodcast inawatakia heri na baraka za sikukuu ya Krismasi na maandalizi mema ya kuipokea 2022 Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

  25. Miaka 60 ya Uhuru wa "Tanganyika" - Changamoto Mbalimbali Zinazolikabili Taifa Letu na Ufumbuzi Wake

    Miaka 60 ya Uhuru wa "Tanganyika" - Changamoto Mbalimbali Zinazolikabili Taifa Letu na Ufumbuzi Wake Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

  26. Maadhimisho ya #SikuYaAfyaYaAkiliDuniani: Uzoefu wangu binafsi na nyenzo zilizonisaidia

    Maadhimisho ya #SikuYaAfyaYaAkiliDuniani: Uzoefu wangu binafsi na nyenzo zilizonisaidia Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

  27. Mahojiano na PHENTY KIRIA - Mwanzilishi Na Mmiliki wa Kampuni Ya Lishe Ya Lolo, Social Media Influencer, Mhamasishaji Mitandao Ya Kijamii Kuwa Sehemu Salama (SOSDiplomats), na Mhamasishaji Lishe Bora

    Mahojiano na PHENTY KIRIA - Mwanzilishi Na Mmiliki wa Kampuni Ya Lishe Ya Lolo, Social Media Influencer, Mhamasishaji Wa Kufanya Mitandao Ya Kijamii Kuwa Sehemu Salama, Mhamasishaji wa Lishe Bora. Unaweza kumfolo Phenty kwa akaunti yake ya Twitter na Instagram Get full access to Barua Ya Chahali…

    more
  28. Uchambuzi wa Kiintelijensia: Taarifa Zaidi Kuhusu Hamza Hassan Mohammed Na "Motive" Ya Mauaji

    Uchambuzi wa Kiintelijensia: Taarifa Zaidi Kuhusu Hamza Hassan Mohammed Na "Motive" Ya Mauaji Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

  29. Ugaidi Au La? Uchambuzi Wa Kiintelijensia Kuhusu Tukio La Mtu Aliyeua Polisi Watatu Na Mlinzi Dar.

    Ugaidi Au La? Uchambuzi Wa Kiintelijensia Kuhusu Tukio La Mtu Aliyeua Polisi Watatu Na Mlinzi Dar. Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

  30. Uchambuzi wa Kijasusi: Kesi Ya Mbowe, Uamsho Na Gwajima Dhidi Ya Chanjo, Ziara Ya Mama Samia Rwanda

    Uchambuzi wa Kijasusi: Kesi Ya Mbowe, Uamsho Na Gwajima Dhidi Ya Chanjo, Ziara Ya Mama Samia Rwanda Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

  31. Uchambuzi wa kiintelijensia kuhusu taarifa ya polisi kwamba wanamshikilia Mbowe kwa tuhuma za ugaidi

    Uchambuzi wa kiintelijensia kuhusu taarifa ya polisi kwamba wanamshikilia Mbowe kwa tuhuma za ugaidi Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

  32. Mahojiano Na Captain Khalid, Mtanzania Mkazi Wa Ujerumani Anayetikisa Kwenye Comedy Kimataifa

    Mahojiano Na Captain Khalid, Mtanzania Mkazi Wa Ujerumani Anayetikisa Kwenye Comedy Kimataifa Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

  33. Uchambuzi wa kiintelijensia kuhusu #SikuMiaZaSamia: Alikotoka, Alipo Na Aendako

    Uchambuzi wa kiintelijensia kuhusu #SikuMiaZaSamia: Alikotoka, Alipo Na Aendako Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

  34. Maongezi Na Mwanasoka Wa Kimataifa Wa TZ @HimidMao Anaechezea Entag El Harby ya Misri na Taifa Stars

    Mahojiano exclusive na mwanasoka wa kimataifa wa Tanzania, Himid Mao Mkami, anayechezea klabu ya Entag El Harby ya Misri na pia ni mchezaji wa timu yetu ya taifa, Taifa Stars. Katika mahojiano haya, Himid anaeleza safari yake katika soka, changamoto za soka la Tanzania na kimataifa, tofauti ya...

  35. Mahojiano na Rahma Bajun: ameugua kipandauso miaka 21 na sasa amechapisha kitabu kuhusu ugonjwa huo

    Mahojiano na Rahma Bajun, ambaye pamoja na shughuli nyingine, ni mwandishi, anaeleza kuhusu maradhi ya kipandauso, aliyopata akiwa na miaka 12, na yamedumu kwa miaka 21. Na sasa amechapisha kitabu maalum kuhusu safari yake kimaisha akiwa anasumbuliwa na maradhi hayo. Kitabu kinaitwa "The Wave."…

    more
  36. Mahojiano Na Dokta @ZakayoMmbaga: Jinsi Kuuguliwa Udogoni Kulivyompa Hamasa Ya Kuja Kuwa Daktari

    Katika mahojiano haya, Dokta Zakayo Mmbaga anaeleza kuhusu 👉 Jinsi kuuguliwa na nduguye kulivyomfanya atamani siku moja awe daktari, na hatimaye ikaja kuwa hivyo. 👉 Jinsi kusaidia kuhudumia mifugo kulivyompa uzoefu wa kwanza wa kuchoma sindano na kutibu vidonda, na kumtamanisha zaidi kuja kuwa...

  37. Mahojiano Na Mwanasiasa Mkongwe wa Chadema Na Upinzani ALLY BANANGA

    Katika mahojiano haya, mwanasiasa mkongwe wa Chadema na upinzani kwa ujumla, Ally Bananga, anaeleza kwa kifupi 👉 historia yake kisiasa, 👉 hali ya kisiasa ilivyokuwa nchini Tanzania katika kipindi cha utawala wa Magufuli na jinsi "alivyosalimika," 👉suala la wabunge wa viti maalum wa Chadema...

  38. Mwelekeo Mpya Wa Podcast Hii: Sasa Mtu Yeyote Anayehitaji Kuhojiwa, Anakaribishwa

    Mwelekeo Mpya Wa Podcast Hii: Sasa Mtu Yeyote Anayehitaji Kuhojiwa, Anakaribishwa Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

  39. Uchambuzi Mfupi Kuhusu "Bajeti Ya Mwigulu" Na Mama @SuluhuSamia Kumtumbua RC Chalamila

    Uchambuzi Mfupi Kuhusu "Bajeti Ya Mwigulu" Na Mama @SuluhuSamia Kumtumbua RC Chalamila Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

  40. Tuzo Za BET 2021: Wanaomsapoti Na Wanaompinga Diamond Platnumz vs Jinsi KURA ZA BET Zinavyopigwa

    Tuzo Za BET 2021: Wanaomsapoti Na Wanaompinga Diamond Platnumz vs Jinsi KURA ZA BET Zinavyopigwa Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

  41. Uchambuzi Wa Kijasusi: Shambulio La Kidukuzi (DDoS) Kwa Mfumo Wa Luku Na Hujuma Dhidi Ya Mama Samia

    Uchambuzi Wa Kijasusi: Shambulio La Kidukuzi (DDoS) Kwa Mfumo Wa Luku Na Hujuma Dhidi Ya Mama Samia Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

  42. Exclusive: Mahojiano Na Mbunifu Mavazi Wa Kimataifa SHERIA NGOWI.

    Jasusi anafanya mahojiano na mbunifu mavazi wa kimataifa SHERIA NGOWI. Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

  43. Jasusi Apiga Stori Na WAKAZI: Ubunge 2020, Hali Ya Bongofleva, Kifo cha JPM, Urais wa Mama SAMIA, nk

    Jasusi Apiga Stori Na WAKAZI: Ubunge 2020, Hali Ya Bongofleva, Kifo cha JPM, Urais wa Mama SAMIA, nk Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

  44. Urais Wa Mama Samia: Makundi 11 Yanayoweza Kumsumbua, Aweza Kukumbwa Na Yaliyomsibu Mwinyi 1985-1995

    Urais Wa Mama Samia: Makundi 11 Yanayoweza Kumsumbua, Aweza Kukumbwa Na Yaliyomsibu Mwinyi 1985-1995 Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

  45. January Makamba Awasihi Wana-CCM Wasihukumiane Kwenye Tofauti Za Kimtazamo Kuhusu Legacy Ya Magufuli

    January Makamba Awasihi Wana-CCM Wasihukumiane Kwenye Tofauti Za Kimtazamo Kuhusu Legacy Ya Magufuli Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

  46. Tathmini Fupi Ya Kijasusi Kuhusu Ziara Ya Kwanza Ya Kimataifa Kwa Mama Samia Nchini Uganda

    Tathmini Fupi Ya Kijasusi Kuhusu Ziara Ya Kwanza Ya Kimataifa Kwa Mama Samia Nchini Uganda Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

  47. Mama Samia Alivyofanya Ujasiri Kutengua Uteuzi wa DG Wa TPDC Uliokuwa na Kasoro Za VETTING

    Ripoti Ya Kijasusi: Mama Samia Alivyofanya Ujasiri Kutenguliwa Uteuzi wa DG Wa TPDC Uliokuwa na Kasoro Za VETTING Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

  48. Tathmini Ya Kijasusi Kuhusu Teuzi Mbalimbali Zilizofanywa Na Mama Samia Suluhu Jana 04.04.2021

    Tathmini Ya Kijasusi Kuhusu Teuzi Mbalimbali Zilizofanywa Na Mama Samia Suluhu Jana 04.04.2021 Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

  49. Taarifa Ya Kijasusi Kuhusu "Maafisa Vipenyo" Wa Nchi Moja Jirani Walivyojazana Sehemu Nyeti eg BoT

    Taarifa Ya Kijasusi Kuhusu "Maafisa Vipenyo" Wa Nchi Moja Jirani Walivyojazana Sehemu Nyeti kwa mfano Benki Kuu, Bandari, nk Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

Type above to search every episode's transcript for a word or phrase. Matches are scoped to this podcast.

Searching…

We're indexing this podcast's transcripts for the first time — this can take a minute or two. We'll show results as soon as they're ready.

No matches for "" in this podcast's transcripts.

Showing of matches

No topics indexed yet for this podcast.

Loading reviews...

ABOUT THIS SHOW

Maongezi ya Chahali

www.baruayachahali.com

HOSTED BY

Evarist Chahali

CATEGORIES

Frequently Asked Questions

How many episodes does Chahali Podcast have?

Chahali Podcast currently has 100 episodes available on PodParley. New episodes are automatically indexed when they're published to the podcast feed.

What is Chahali Podcast about?

Maongezi ya Chahali www.baruayachahali.com

How often does Chahali Podcast release new episodes?

Chahali Podcast has 100 episodes. Check the episode list to see recent publication dates and frequency.

Where can I listen to Chahali Podcast?

You can listen to Chahali Podcast on PodParley by clicking any episode. We provide an embedded audio player for direct listening, and you can also subscribe via your preferred podcast app using the RSS feed.

Who hosts Chahali Podcast?

Chahali Podcast is created and hosted by Evarist Chahali.
URL copied to clipboard!