PODCAST · religion
Darsa Salafiyyah
by Darsa Salafiyyah
Karibu katika chaneli ya Darsa Salafiyyah. Hapa tunajifunza misingi ya dini ya Kiislamu, Aqidah sahihi, na Sunnah za Mtume Muhammad ﷺ kwa kuzingatia mafundisho ya wema waliotangulia. Jiunge nasi kila wiki kwa mihadhara na darasa fupi.
-
1
Pambo la Muumini: Siri ya Tabia Njema – Sheikh Abdallah Humeid
Maelezo: "Tabia njema ni kipimo cha imani. Katika mawaidha haya yenye kugusa nyoyo, Sheikh Abdallah Humeidanaelezea kwa kina maana ya kujipamba na tabia njema na athari yake katika jamii.Yatakayozungumziwa:Umuhimu wa Akhlaq njema katika Uislamu.Mifano kutoka kwa Mtume Muhammad (S.A.W) na Maswahaba.Hatua za kivitendo za kubadili tabia mbaya na kuwa na tabia njema.Usikose kusikiliza mawaidha haya ili upate mwongozo wa jinsi ya kuwa Muislamu bora mwenye adabu na staha. Hakikisha unasubscribe na kushare na wengine ili kupata thawabu za kheri."
We're indexing this podcast's transcripts for the first time — this can take a minute or two. We'll show results as soon as they're ready.
No matches for "" in this podcast's transcripts.
No topics indexed yet for this podcast.
Loading reviews...
ABOUT THIS SHOW
Karibu katika chaneli ya Darsa Salafiyyah. Hapa tunajifunza misingi ya dini ya Kiislamu, Aqidah sahihi, na Sunnah za Mtume Muhammad ﷺ kwa kuzingatia mafundisho ya wema waliotangulia. Jiunge nasi kila wiki kwa mihadhara na darasa fupi.
HOSTED BY
Darsa Salafiyyah
CATEGORIES
Loading similar podcasts...