Dhambi Ya Uzinifu Na Sababu Zake

PODCAST · religion

Dhambi Ya Uzinifu Na Sababu Zake

1- Mada hii inazungumzia: Uzito wa dhambi ya uzinifu na kwamba ni katika madhambi makubwa yenye kuangamiza, pia imezungumzia makatazo ya Allah juu ya uchafu wa zinaa na kuto kuikaribia zinaa, pia amezungumzia nyumba za zinaa.2- Mada hii inazungumzia: sifa za watu wema na adhabu za wazinifu, kisha amebainisha madhambi makubwa, kisha akataja kuwa kuikurubia zinaa niharamu na nitabia mbaya.3- Mada hii inazungumzia: Sababu za uzinifu miongoni mwa sababu hizo nikuviachia viungo na kuto kuweka mipaka katika kuishi na wanawake, nakuto kuinamisha macho na ndimi, sababu ya pili nikuzurura na wanawake na kuongozana nao.4- Mada hii inazungumzia: Dhambi za uzinifu na sababu zake sababu ya tatu nikupeyana mikono na kugusana, na amezungumza uzito wa dhambi ya kumshika mwanamke asie halali kwake, pia ametaja sababu zinazo pekelea kugusana, sababu ya nne nikuingia katika sehemu za wanawake.5- Mada hii inazungumzia: Sababu za uzinifu miongoni mwa sababu hizo ya tano nikukaa faragha mwanamume na mke ila

  1. 5

    Dhambi Ya Uzinifu Na Sababu Zake 1

    Dhambi Ya Uzinifu Na Sababu Zake 1

  2. 4

    Dhambi Ya Uzinifu Na Sababu Zake 2

    Dhambi Ya Uzinifu Na Sababu Zake 2

  3. 3

    Dhambi Ya Uzinifu Na Sababu Zake 3

    Dhambi Ya Uzinifu Na Sababu Zake 3

  4. 2

    Dhambi Ya Uzinifu Na Sababu Zake 4

    Dhambi Ya Uzinifu Na Sababu Zake 4

  5. 1

    Dhambi Ya Uzinifu Na Sababu Zake 5

    Dhambi Ya Uzinifu Na Sababu Zake 5

Type above to search every episode's transcript for a word or phrase. Matches are scoped to this podcast.

Searching…

We're indexing this podcast's transcripts for the first time — this can take a minute or two. We'll show results as soon as they're ready.

No matches for "" in this podcast's transcripts.

Showing of matches

No topics indexed yet for this podcast.

Loading reviews...

ABOUT THIS SHOW

1- Mada hii inazungumzia: Uzito wa dhambi ya uzinifu na kwamba ni katika madhambi makubwa yenye kuangamiza, pia imezungumzia makatazo ya Allah juu ya uchafu wa zinaa na kuto kuikaribia zinaa, pia amezungumzia nyumba za zinaa.2- Mada hii inazungumzia: sifa za watu wema na adhabu za wazinifu, kisha amebainisha madhambi makubwa, kisha akataja kuwa kuikurubia zinaa niharamu na nitabia mbaya.3- Mada hii inazungumzia: Sababu za uzinifu miongoni mwa sababu hizo nikuviachia viungo na kuto kuweka mipaka katika kuishi na wanawake, nakuto kuinamisha macho na ndimi, sababu ya pili nikuzurura na wanawake na kuongozana nao.4- Mada hii inazungumzia: Dhambi za uzinifu na sababu zake sababu ya tatu nikupeyana mikono na kugusana, na amezungumza uzito wa dhambi ya kumshika mwanamke asie halali kwake, pia ametaja sababu zinazo pekelea kugusana, sababu ya nne nikuingia katika sehemu za wanawake.5- Mada hii inazungumzia: Sababu za uzinifu miongoni mwa sababu hizo ya tano nikukaa faragha mwanamume na mke ila

HOSTED BY

Husseni Saidi Sembe

Produced by IslamHouse

URL copied to clipboard!