Ibada tukufu ya Hija na Hukumu zake podcast artwork

PODCAST · religion

Ibada tukufu ya Hija na Hukumu zake

1- Mada hii inazungumzia: Maana ya Hijja kilugha na kisheria, na ni nguzo katika nguzo tano za uislam, pia imebainisha kwamba Hijja ni fardhi inatekelezwa mara moja katika umri.2- Mada hii inazungumzia: Umuhimu kwa mwenye kuhiji kuwa na nia thabiti pamoja na kujikurubisha kwa Allah, pia imezungumzia mambo ya kujifunza katika ibada ya Hijja na tahadhari ya kuiga uzushi.3- Mada hii inazungumzia: Hijja na Umra na fadhila zake pamoja na alama za mwenye kufanya Hijja ya kweli, pia imezungumzia kwamba Hijja ni fardhi kwa waislam wote wanaume na wanawake.4- Mada hii inazungumzia: Aina za maandalizi ya Hijja na imefafanua kuhusu Hijja ya mtoto mdogo, pia imezungumzia umuhimu wa kuchunga utaratibu na makatazo baada ya Ihram.5- Mada hii inazungumzia: Namna Mtume (s.a.w) alivyoruhusu kumuhijia mzazi asiyejiweza kutokana na uzee au ugonjwa, na kwamba inafaa mwanaume kumuhijia mwanamke na mwanamke kumuhijia mwanaume, pia mada hii ina maswali na majibu.

Publisher-supplied feed metadata · PodParley refreshed Apr 21, 2022 · Source feed

  1. 5

    Ibada tukufu ya Hija na Hukumu zake 1

    Ibada tukufu ya Hija na Hukumu zake 1

  2. 4

    Ibada tukufu ya Hija na Hukumu zake 2

    Ibada tukufu ya Hija na Hukumu zake 2

  3. 3

    Ibada tukufu ya Hija na Hukumu zake 3

    Ibada tukufu ya Hija na Hukumu zake 3

  4. 2

    Ibada tukufu ya Hija na Hukumu zake 4

    Ibada tukufu ya Hija na Hukumu zake 4

  5. 1

    Ibada tukufu ya Hija na Hukumu zake 5

    Ibada tukufu ya Hija na Hukumu zake 5

Type above to search every episode's transcript for a word or phrase. Matches are scoped to this podcast.

Searching…

We're indexing this podcast's transcripts for the first time — this can take a minute or two. We'll show results as soon as they're ready.

No matches for "" in this podcast's transcripts.

Showing of matches

No topics indexed yet for this podcast.

Loading reviews...

ABOUT THIS SHOW

1- Mada hii inazungumzia: Maana ya Hijja kilugha na kisheria, na ni nguzo katika nguzo tano za uislam, pia imebainisha kwamba Hijja ni fardhi inatekelezwa mara moja katika umri.2- Mada hii inazungumzia: Umuhimu kwa mwenye kuhiji kuwa na nia thabiti pamoja na kujikurubisha kwa Allah, pia imezungumzia mambo ya kujifunza katika ibada ya Hijja na tahadhari ya kuiga uzushi.3- Mada hii inazungumzia: Hijja na Umra na fadhila zake pamoja na alama za mwenye kufanya Hijja ya kweli, pia imezungumzia kwamba Hijja ni fardhi kwa waislam wote wanaume na wanawake.4- Mada hii inazungumzia: Aina za maandalizi ya Hijja na imefafanua kuhusu Hijja ya mtoto mdogo, pia imezungumzia umuhimu wa kuchunga utaratibu na makatazo baada ya Ihram.5- Mada hii inazungumzia: Namna Mtume (s.a.w) alivyoruhusu kumuhijia mzazi asiyejiweza kutokana na uzee au ugonjwa, na kwamba inafaa mwanaume kumuhijia mwanamke na mwanamke kumuhijia mwanaume, pia mada hii ina maswali na majibu.

HOSTED BY

Qasim Mafuta

Produced by IslamHouse

Frequently Asked Questions

How many episodes does Ibada tukufu ya Hija na Hukumu zake have?

Ibada tukufu ya Hija na Hukumu zake currently has 5 episodes available on PodParley. New episodes are automatically indexed when they're published to the podcast feed.

What is Ibada tukufu ya Hija na Hukumu zake about?

1- Mada hii inazungumzia: Maana ya Hijja kilugha na kisheria, na ni nguzo katika nguzo tano za uislam, pia imebainisha kwamba Hijja ni fardhi inatekelezwa mara moja katika umri.2- Mada hii inazungumzia: Umuhimu kwa mwenye kuhiji kuwa na nia thabiti pamoja na kujikurubisha kwa Allah, pia...

How often does Ibada tukufu ya Hija na Hukumu zake release new episodes?

Ibada tukufu ya Hija na Hukumu zake has 5 episodes. Check the episode list to see recent publication dates and frequency.

Where can I listen to Ibada tukufu ya Hija na Hukumu zake?

You can listen to Ibada tukufu ya Hija na Hukumu zake on PodParley by clicking any episode. We provide an embedded audio player for direct listening, and you can also subscribe via your preferred podcast app using the RSS feed.

Who hosts Ibada tukufu ya Hija na Hukumu zake?

Ibada tukufu ya Hija na Hukumu zake is created and hosted by Qasim Mafuta.
URL copied to clipboard!