Skip to content
Jasusi podcast artwork

PODCAST · news

Jasusi

by Evarist Chahali

Maongezi ya Jasusi

Publisher-supplied feed metadata · PodParley refreshed May 9, 2022 · Source feed

Episodes

  1. VURUGU AFRIKA KUSINI

    Mtanzania aeleza kwa kina kuhusu vurugu dhidi ya wageni nchini Afrika Kusini

  2. RIPOTI YA JAJI CHANDE

    Yaliyojificha Ndani ya Ripoti ya Jaji Chande

  3. SAMIA SINTOFAHAMU

    SAMIA Azua Sintofahamu Kubwa

  4. GOOD NEWS CHADEMA

    Habari Njema kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)

  5. NCHIMBI MATATANI

    Dkt Nchimbi Aingia Matatani

  6. MTIFUANO MKUBWA

    Mtifuano Mkubwa kati ya SAMIA na NCHIMBI

  7. PATASHIKA KUBWA

    Patashika Kubwa

  8. MTAFARUKU

    Mtafaruku

  9. LISSU Mwaka Mmoja JELA

    TUNDU LISSU: Leo Atimiza Mwaka Kamili Gerezani

  10. ABDUL Ageukwa

    EXCLUSIVE: Mtu Muhimu wa ABDUL Amgeuka | Mtafaruku Mkubwa Wazuka! Video kamili ipo hapa https://youtu.be/50NU2qu0dMA

  11. Habari Njema Kuhusu LISSU

    HABARI NJEMA! Mpango Mkubwa wa Kumtoa LISSU | Keshokutwa Anatimiza Mwaka JELA

  12. "Kuibiwa Nyeti" 🙄

    Fahamu SIRI NZITO Nyuma ya Ishu ya KUIBIWA NYETI! Video kamili ipo hapa https://youtu.be/j8aUnh-Hisc

  13. Sintofahamu Kubwa

    Sintofahamu Kubwa: Tume Ya CHANDE | Mbunge Mpya wa SAMIAVideo kamili ipo hapa https://youtu.be/uDeCDUuyasw

  14. SAMIA & Angela Kizigha

    Siri nzito kati ya SAMIA na ANGELA KIZIGHA Unaweza kuangalia video kamili hapa https://youtu.be/7LJf4BGyN0I

  15. Usaliti kwa LISSU

    Mipango Hatari ya Usaliti Dhidi ya TUNDU LISSU na CHADEMA. Video kamili ipo hapa https://youtu.be/61vdNRile0E

  16. Mtifuano Mkubwa

    Mtifuano Mkubwa Sana

  17. Mazito Kifo cha LUKUVI

    Mazito Yaibuka Kifo cha LUKUVI

  18. Mpango wa Kumuua LISSU

    Mpango hatari ya kumuua Tundu Lissu

  19. LISSU Anaumwa

    Lissu anaumwa sana

  20. SAMIA Atuma WASIOJULIKANA

    SAMIA Atuma WASIOJULIKANA

  21. Wimbo: Oktoba 29 HATUTOSAHAU

    Wimbo maalum kuwaenzi mashujaa waliouawa Oktoba 29, 2025

  22. Nchimbi Yuko Wapi?

    Je Dokta Nchimbi Yupo Wapi?

  23. Hatari Kubwa Sana

    Hatari Kubwa Sana

  24. Mtafaruku Mkubwa

    Mtafaruku Mkubwa

  25. Hujuma Dhidi ya LISSU

    Hujuma nzito dhidi ya Tundu Lissu na Chadema

  26. Magaidi WATANZANIA Wakamatwa

    Magaidi Kadhaa Kutoka Tanzania Wakamatwa Nchini Somalia Angalia video kamili hapa https://youtu.be/1LVIB51qQPY

  27. MTAFARUKU MKUBWA

    Mtafaruku Mkubwa

  28. SAMIA vs WARIOBA

    SAMIA SULUHU HASSAN amemshukia vikali Jaji Josef Sinde Warioba kufuatia Jaji Warioba kuongelea yaliYojiri Oktoba 29 na siku zilizofuata ambapo ripoti zinaeleza kuwa maelfu ya Watanzania walichinjwa kwa amri ya Samia. Kadhalika, makaburi kadhaa ya halaiki yamebainika, safari hii ikiwa ni katika...

  29. SAMIA Lobbying USA

    BREAKING NEWS: SAMIA Asaini Mkataba wa Shilingi BILIONI 2.7 Kumsafisha MAREKANI!SAMIA SULUHU HASSAN amesaini mkataba wenye thamani ya SHILINGI BILIONI 2.7 na kampuni moja ya LOBBYING ya nchini MAREKANI, Mkataba wenye lengo la KUMSAFISHA kutokana na ushiriki wake kwenye mauaji ya maelfu ya...

  30. Good News SAMIA ICC

    GOOD NEWS! Habari Njema NNE Kuhusiana na Kesi Dhidi ya SAMIA Huko ICC

  31. Ubashiri Tanzania 2026

    Ubashiri Kuhusu Yatakayojiri Mwaka Huu 2026 | SAMIA Hatoumaliza Madarakani Video kamili ipo hapa https://youtu.be/1JqbBG74LZ4

  32. Hatari Kubwa

    HATARI KUBWA! Mipango ya Mauaji Yawekwa Hadharani Video kamili ipo hapa https://youtu.be/oxKIW0Tgmvo

  33. SAMIA Ashinda Tuzo ya DIKTETA WA MWAKA 2025

    SAMIA SULUHU HASSAN ameshinda tuzo ya kimataifa ya dikteta wa mwaka 2025, habari hii ni miongoni mwa LATEST NEWS zinazo trend nchini Tanzania na kote AFRICA. Video hii inachambua kwa undani ushindi huu na pia inazungumzia mkutano mkuu wa Watanzania unaojadili mikakati muhimu. Endelea kufuatilia…

    more
  34. Mpasuko Mkubwa

    BREAKING! Mpasuko Mkubwa SANA Serikali ya SAMIA | Yaanza Kumong'onyoka Video kamili ipo hapa https://youtu.be/Uf__2N5m7cg

  35. SAMIA vs Kanisa Katoliki

    SAMIA SULUHU HASSAN ameendeleza vita yake dhidi ya Kanisa Katoliki ambapo jana alituma genge la waandamanaji kwenda Ubalozi wa Vatican kulalamika dhidi ya viongozi wa Kanisa hilo. Miongoni mwa waandamanaji hao walikuwa waumini wa dini ya Kiislamu lakini waliojifanya ni Wakatoliki.

  36. Samia na Mabilioni ya Maridhiano

    Fedha ndefu imemwagwa na SAMIA SULUHU HASSAN kwa ajili ya kuwarubuni watu mbalimbali wakubali mpango wa maridhiano. Miongoni mwa wanaowindwa kwenye hilo ni viongozi waandamizi wa Chadema japo tayari Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Mheshimiwa John Heche ameshatoa msimamo wa chama hicho dhidi ya...

  37. Trump, Maduro na SAMIA

    Wakati Rais DONALD TRUMP wa Marekani amemkamata Rais Nicolas MADURO na mkewe hapo jana, Mtanzania Thadei Kweka mwenye makazi yake nchini Marekani ambaye alikamatwa majuzi na kubambikiwa kesi ya uchocezi, ameachiwa huru jana. Hatua hiyo imetafsiriwa na wengi kama hofu ya SAMIA kufuatia…

    more
  38. Maria Sarungi Anusurika Kutekwa

    Mwanaharakati maarufu MARIA SARUNGI amenusurika kutekwa nchini Kenya baada ya WASIOJULIKANA kuripotiwa kuwemo nchini humo wakimuwinda mwanaharakati huyo. Taarifa zinaeleza kuwa Wasiojulikana hao walitumwa na SAMIA.Makala pia inagusia sintofahamu iliyoibuka baada ya Askofu Josephat Gwajima...

  39. Hotuba Ya Samia Yazua Mtafaruku

    Hotuba ya SAMIA SULUHU HASSAN kuaga mwaka 2025 na kukaribisha mwaka mpya 2026 imezua mtafaruku mkubwa. Wakati huohuo, mkakati muhimu wa kumng'oa umekumbwa na changamoto Video kamili ipo hapa https://youtu.be/7krXtF0nH64

  40. MAREKANI Yamjibu Vikali SAMIA

    MAREKANI imemjibu SAMIA ambaye majuzi alizibipu nchi wahisani kwa kuwauliza wao ni nani hasa wa kuipangia Tanzania cha kufanya. Aliwauliza WHO ARE YOU?

  41. Ripoti ya Maandamano: Yaliyojiri 30/10/25

    Ripoti ya maandamano yaliyojiri tarehe 30/10/2025

  42. Ripoti ya Maandamano: Yaliyojiri 29/10/25

    Ripoti ya maandamano yanayoendelea nchini Tanzania. Hii ni ripoti kuhusu yaliyojiri 29/10/2025

  43. Habari Njema Kwa Tundu Lissu

    Habari Njema kwa Tundu Lissu

  44. Polepole Afichua SIRI Nzito

    Balozi Humprey Polepole Afichua SIRI Nzito

  45. Masista Kampeni Za CCM Wazua Mtafaruku Katoliki

    Kitendo cha baadhi ya masista wa kanisa katoliki kuonekanakwenye kampeni za CCM wakiwa wamembeba bendera za chama hicho pamoja na picha za mgombea wake wa urais wa chama hicho Samia Suluhu Hassan, kimepelekea mtafaruku mkuu ndani ya Kanisa Katoliki

  46. Lissu Akataa Ofa ya Serikali Ahamie Ughaibuni Kesi Ifutwe

    Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA, Mheshimiwa Tundu Antipas Lissu amekataa ofa ya serikali kwamba akubali kwenda kuishi uhamishoni kama sharti la kumfutia kesi ya uhaini waliyombambikia.

  47. Maafisa Usalama Wanne Wa TANZANIA Wakamatwa Marekani, Walienda Kudhuru Wakosoaji

    Maafisa Usalama Wanne Wa TANZANIA Wakamatwa Marekani, Walienda Kudhuru Wakosoaji wa Serikali na Wanaokisapoti Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mwenyekiti wake Mheshimiwa Tundu Lissu

  48. Kozi ya Awali ya AI

    Maana ya AI Nyenzo mbalimbali maarufu za AI ChatGPT Jinsi ya kujiunga na ChatGPT Mifano ya matumizi ya ChatGPT Maswali na majibu

  49. S03 E01: Mkakati Mkubwa Kumkwamisha Lissu Kuwania Urais Katika Uchaguzi Mkuu 2025

    Makala hii exclusive inaeleza kuhusu mpango kabambe unaoendelea kuhakikisha Mwenyekiti mpya wa Chadema, Mheshimiwa Tundu Lissu hafanikiwa kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu. Awali Mheshimiwa Lissu alishatangaza nia ya kuwania…

    more
  50. S02E04: Maongezi na Mtangazaji Maarufu wa Wasafi Media Charles William

    S02E04: Maongezi na Mtangazaji Maarufu wa Wasafi Media Charles William Charles anajibu maswali haya 1. Charles William ni nani 2. Nini kilikuvutia kuingia kwenye fani ya habari 3. Changamoto gani ulizokumbana nazo katika safari yako hadi kufikia ulipo, na zipi zilizopo sasa 4. Wewe sio tu ni…

    more

Type above to search every episode's transcript for a word or phrase. Matches are scoped to this podcast.

Searching…

We're indexing this podcast's transcripts for the first time — this can take a minute or two. We'll show results as soon as they're ready.

No matches for "" in this podcast's transcripts.

Showing of matches

No topics indexed yet for this podcast.

Loading reviews...

ABOUT THIS SHOW

Maongezi ya Jasusi

HOSTED BY

Evarist Chahali

CATEGORIES

Frequently Asked Questions

How many episodes does Jasusi have?

Jasusi currently has 79 episodes available on PodParley. New episodes are automatically indexed when they're published to the podcast feed.

What is Jasusi about?

Maongezi ya Jasusi

How often does Jasusi release new episodes?

Jasusi has 79 episodes. Check the episode list to see recent publication dates and frequency.

Where can I listen to Jasusi?

You can listen to Jasusi on PodParley by clicking any episode. We provide an embedded audio player for direct listening, and you can also subscribe via your preferred podcast app using the RSS feed.

Who hosts Jasusi?

Jasusi is created and hosted by Evarist Chahali.
URL copied to clipboard!