Episodes
-
Wako Wapi Waliomaliza Chuo Kabla Yako? | Me & The Graduates Podcast 🎓
Siku ya graduation inajaa vigelegele na matumaini, lakini sherehe ikiisha, uhalisia wa mtaani huanza. Katika kipindi hiki cha Me & The Graduates Podcast, tunajiuliza swali moja gumu: Wako wapi wale ma-senior waliomaliza chuo miaka mitano iliyopita kabla yako? Wanaishije na wanafanya nini mtaani?...
-
Adui Anayewatesa Graduates Kimya Kimya | Me & The Graduates Podcast
Je, cheti chako ni daraja la mafanikio au kikwazo kisichoonekana? Katika video hii tunazungumzia adui anayewatesa graduates wengi kimya kimya: kiburi cha cheti na aibu ya kuanza chini. Utajifunza kwa nini baadhi ya wahitimu hukosa fursa, jinsi ya kubadili mindset, na namna ya kutumia elimu yako...
-
NJIA 8 ZA KUPATA UZOEFU NJE YA AJIRA RASMI | Graduates Must Know | Me & The Graduates Podcast 🎓
Je, umewahi kukosa kuomba kazi kwa sababu tangazo lilihitaji uzoefu wa miaka 3 au zaidi? Kama ndiyo, basi episode hii ni kwa ajili yako. Wahitimu wengi hujikuta kwenye mzunguko wa kutaka kazi lakini wanakosa uzoefu, huku waajiri wakitaka uzoefu kabla ya kutoa nafasi ya kazi. Habari njema ni…
more -
Kwani Kampuni Hazitaki Kuajiri Graduates? | Me & The Graduates Podcast 🎓
Kila siku graduates wanalalamika hakuna ajira… lakini upande mwingine kampuni nazo zinalalamika kwamba graduates wengi hawapo tayari kwa dunia ya kazi. Sasa tatizo ni nini hasa? 🤔 Kwenye episode hii tumezungumzia: ✅ Kwanini kampuni nyingi haziridhiki na graduates ✅ Gap kati ya elimu na soko la...
-
Watu Gani Wanatakiwa Kuwa Kwenye Network Yako Ukiwa Chuoni au Baada ya Kumaliza? | Me & The Graduates Podcast 🎓
Watu wengi wanafocus kupata degree… lakini wanasahau kitu muhimu sana — watu unaokaa nao wanaweza kuamua speed ya maisha yako kuliko hata elimu yako. Kwenye episode hii ya Me & The Graduates Podcast, tumezungumzia:✅ Watu wenye malengo✅ Watu wa action✅ Wenye ujuzi✅ Wenye maono makubwa✅ Mentors...
-
Tumia Elimu Yako Kupata Pesa | Me & The Graduates Podcast 🎓
Wahitimu wengi wanafikiri mpaka wapate ajira rasmi ndiyo waanze kupata pesa… Lakini ukweli ni kwamba unaweza kutumia skills ulizopata chuoni kuanza kujitengenezea income hata kabla ya kuajiriwa. 📌 Leo tunazungumza kuhusu: ✅ Jinsi ya kutumia elimu yako kutengeneza value ✅ Kwa nini dunia ya sasa...
-
Baada ya kuthibitisha unaweza.. Jua thamani yako kazni | Me & The Graduates 🎓
Baada ya kuthibitisha unaweza kupitia internship, volunteering au experience… hatua inayofuata ni kujua thamani yako. Graduate wengi wana uwezo mkubwa lakini bado wanaishi kwa hofu ya kuonekana hawajafika. Leo tunazungumza kuhusu: ✅ Experience kama mwanzo wa safari ✅ Kwa nini interns wengi...
-
Unataka Kazi Bila Experience? Ukweli Unaosahaulika na Wahitimu Wengi | Me & The Graduates Podcast
Umemaliza chuo. Lakini bado hakuna kazi, huna mshahara wala hakuna kinachoonekana kwenda mbele. WHY? Katika episode hii, tunaongea ukweli mgumu — lakini muhimu sana — ambao wahitimu wengi hawapendi kusikia: ✅ Eperience inaongea zaidi ya degree yako ✅ Tatizo la ego linalowazuia wahitimu kusonga...
-
Kuna tofauti kubwa sana kati ya kusoma na kuelimika || ME & THE GRADUATES
Watu wengi wana vyeti… lakini bado wanapambana kufanya maamuzi sahihi ya maisha. Na wengine hawakusoma sana, lakini wana uwezo mkubwa wa kutatua matatizo na kujenga maisha yao. Je, elimu ya kweli ni nini? 🤔 Episode ya leo kwenye Me & The Graduates inaenda kufungua macho yako kuhusu tofauti ya...
-
USIJILINGANISHE NA WATU WENGI || ME & THE GRADUATES
Watu wengi hupoteza amani yao si kwa sababu maisha ni magumu sana… bali kwa sababu wanajilinganisha na mafanikio ya watu wengine. Katika episode hii ya Me & The Graduates, tunazungumza ukweli ambao mara nyingi huwa mgumu kuukubali lakini ni muhimu sana: 👉 Kwa nini unajikuta unajilinganisha na…
more -
Chuo Kinakuandaa Kuajiriwa… Lakini Mtaani Ni Vita Nyingine! || ME & THE GRADUATES
Watu wengi tunaingia chuo tukiamini kitu kimoja—ukisoma kwa bidii, ukapata degree, maisha yatakuwa sawa. Lakini baada ya kuhitimu… reality inakuwa tofauti kabisa. Katika video hii, tunazungumza ukweli ambao wengi hawasemi: ✔️ Kwa nini wahitimu wengi hawapati ajira ✔️ Tofauti kati ya mindset ya...
-
Nilisoma lakini sina ajira – sasa nifanye nini? || ME & THE GRADUATES
Nimesoma lakini sina ajira – nifanye nini? Ni swali linalowasumbua wahitimu wengi kila siku. Katika episode ya pili ya Me & The Graduates, tunazungumza kwa kina na wahitimu wanaopambana na hali halisi ya kukosa ajira, licha ya elimu yao. Wanafanya nini? Wanakabiliana vipi na presha ya maisha? Na...
-
Kesho Yako Iko Mikononi Mwako || ME & THE GRADUATES
"Kesho Yako Iko Mikononi Mwako!" Usisubiri muujiza – kuwa muujiza. Anza leo kujenga kesho unayoitaka. Uamuzi, juhudi, na imani yako vinaweza kuandika historia mpya ya maisha yako. #MeAndTheGraduates #Motivation #Inspiration #KeshoYako #HustleJourney
-
MASTA REDIONI 15.07.2023
THE HEADIES AWARDS | SIMBA | RAYVANNY | ZUCHU | BURNA BOY | ASAKÉ | LIL BABY NA NICKI MINAJ | IS ALL A BLUR TOUR
-
MASTA REDIONI 08.07.2023
Amapiano Chino Kid ft. Fid Q | Ujumbe Mzito wa Diamond Kuenda kwa Mama Dangote | Grammy Nomination & Awards | Meek Mill | New Jersey Advocate.
-
MASTA REDIONI 01.07.2023
Anita Brown vs Davido | The Return of Diamond Platnumz | Hollywood Walk of Fame 2024 | New King Tommy Flavor | Madonna kutoka ICU | Ningejiua katika Maisha Na Muziki
-
EPISODE 2 (PASAKA 2023)
MBOSSO KHAN AWAPAKA TMA ROMA MKATOLIKI NA WASHAMBA DRAKE COLLABO YA PAMOJA NA SAUTISOL PLATNUMZ NA MABANTU X S2KEEZY AKON NA TWITTER BLACK CHYNA NDANI YA BAPS
-
MASTA REDION EP1
√Rayvany atangaza video ya mamiliono √Harmonize na Jay Melody wanajambo lao √Kontawa na 2pac √Davido aweka records na Timeless Album