Life Through My Lenses.
by Tulinave
Karibu kwenye show yangu.Nitakuwa nikizungumzia mambo mbalimbali yanayotokea katika jamii yetu—familia, mahusiano, maisha na mada nyingine zinazogusa maisha yangu na yetu kwa ujumla.Hapa nitakua natoa mtazamo wangu, lakini pia naamini kila mtu ana haki ya kuwa na mtazamo wake.Naamini katika maongezi yenye kusikiliza na kubadilishana mawazo bila kudharauliana wala kukandamizana.Na zaidi ya yote, napenda kucheka, kufurahi na kupiga story.So, let's talk about anything.
No episodes available yet.
About this show

Hosted by
Tulinave
Categories