PODCAST · religion
MOZE KIMARO
by Moze Kimaro
Somo hili litakufundisha NGUVU na MAMLAKA ya MUNGU ndani yako katika YESU KRISTO. Hakuna MTU au kitu chochote kinachoweza kushindana na wewe katika YESU KRISTO.
-
29
SABURI YA IMANI KWA MKRISTO.
KUNA wakati tunapitia Mambo na wakati mgumu sana katika maisha yetu. Lakinii NENO LA MUNGU linatutaka tuwe na SABURI / UVUMILIVU KWA MUNGU UNAOTUSAIDIA KUSUBIRIA UTIMILIZAJI WA AHADI ZA MUNGU JUU YA MAISHA YETU.
-
28
MWAMINI MUNGU KATIKA SHIDA YAKO.
HAKUNA JAMBO lisilowezekana kwa MUNGU WETU. HAKUNAA GUMU KWA MUNGU WETU.
-
27
MTIHANI WA IMANI
Mpendwa IMANI zetu zinakutana na mitihani au majaribu mbalimbali ili uko ushindi wa kutusaidia KUSHINDA NA KUFAULU MTIHANI WA IMANI.
-
26
MUNGU ANAWEZAA KUTENDA MAAJABU NA MUUJIZA USIYOTARAJIA
Mpendwa iko NEEMA YA MUNGU yenye UWEZO wa kututendea MAAJABU NA MUUJIZA hata katika kipindi ambacho hatutarajii chochoteee au hutuwezi kuamini tena Jambo fulanii.
-
25
TABIA / SIFA KUU ZA MKRISTO WA KWELIIIII.
Mpendwa Ziko sifa au tabia zinazowatambulisha WAKRISTO wa kweli kabisa. Tabia au sifa hizo ni tofautii kabisaa na uanachama wa dini au dhahebu la mtu.
-
24
USHUHUDA WA MUNGU KATIKA MAISHA YA MWAMINI.
Mpendwa zipo nyakati za kupimwa IMANI zetu na kuthibitishwa MBELE ZA MUNGU. Sio kipindi rahisi LAKINI MARA ZOTE IKO NEEMA YA MUNGU YENYE KUTUWEZESHA KUSHINDA YOTE.
-
23
KUSIKILIZA SAUTI YA MUNGU NA KUIKIRI JUU YA MAISHA YAKO.
UNASIKILIZA SAUTI YA NANI? Na KUIKIRI JUU YA MAISHA YAKO ? Ziko sauti nyingi zinaweza kujaa kuzungumza na wewe wakati unapopitia Hali fulanii, lakini yakupasa kusikiliza SAUTI YA MUNGU.
-
22
UZIMA WA MILELE UKO KWA YESU PEKE YAKE.
Mpendwa kwa YESU tunafuata uzima wa milele. Usikubali majaribu,mateso, magumu au majaribu yakakutoa kwa YESU. UZIMA WA MILELE UKO KWA YESU PEKE YAKE.
-
21
MUNGU ANASEMA MKANIITE NAMI NITAWASAIDIA.
Mpendwa ziko NYAKATI ambazo unatamani kama ungekuwa unajua nyumbani kwa MUNGU uende ukamlilie apo au ungekuwa na mawasiliano yake upige adi apokee akusaidie. Mpendwa ninazo Habari NJEMA KWAKO MUNGU AMESEMA MUUITE NAYE ATAITIKA NA kushuka KUKUSAIDIA.
-
20
KUMWAMINI MUNGU
Mpendwa ili kuona AHADI na Baraka za MUNGU zikitimia juu ya maisha YETU lazima tumuamini MUNGU katika NENO LAKE.
-
19
YOTE YAWEZEKANA KWA MUNGU, HAKUNA JAMBO GUMU KWA MUNGU.
Mpendwa inawezekanaa kabisaa maisha yako hayana TUMAINI tena, huoni kuwezekana tena, USIOGOPEE MUNGU ANAWEZAA YOTE NA ATAKUSAIDIA NA KUKUTENDEA MEMA KWA JINA LA YESU. SIKILIZAAA UJUMBE HUU.
-
18
NAMNA YA KUYASHINDA MAPENZI NA MPANGO WA shetani DHIDI YA MAISHA YAKO.
Mpendwa MUNGU ana MPANGO MZURI na MAISHA YAKO, lakini shetani siku zote anatafuta kuyaharibu au kuyazuia HAYO MAPENZI YA MUNGU KWAKO. JIFUNZE NAMNA au mbinu za KUYASHINDA na KUYAZUIA mapenzi na mpango wa shetani katika maisha YAKO.
-
17
NENO TOKA KWA MUNGU.
Mpendwa ziko NYAKATI katika maisha yako unatakiwa usikie toka kwa BWANA MUNGU. Ujue Pamoja na yote yaliyokuzunguka BWANA MUNGU wako anazungumza nini?. Ujumbe huu ukawe JIBU la MUNGU juu YAKO KATIKA JINA LA YESU.
-
16
MSAMAHAA WA DHAMBI.
Mpendwa Yuko MUNGU ANAYESAMEHE DHAMBI ZOTEEEEE.
-
15
KUTEMBEA NA YESU
Mpendwa ziko NYAKATI AMBAZO zitatokea katika maisha YAKO, utamhitaji Sana YESU. Hakikisha siku zote unatembea na YESU ili AKUSAIDIE.
-
14
KWENU WAPII???
Mpendwa hapa DUNIANI hatutaishi milele. Iko siku tutaondoka je? Ukiondoka unaenda WAPI ?? MBINGUNI au kuzimu/motoni MILELE ??. LAZIMA uchague KWENU ukiwa hai. Sikilizaaa UTABARIKIWA na kubadilishwa.
-
13
KUJUA SAUTI NA MAPENZI YA MUNGU.
ROHO MTAKATIFU huliongoza kanisa yaani kila Mkristo mmoja MMOJA kuijua SAUTI ya MUNGU na MAPENZI YA MUNGU. SOMO hili litakusaidia kukuwekea msingi wa kuanza kuongozwa na ROHO MTAKATIFU katika kuyajua na kutenda MAPENZI YA MUNGU.
-
12
USHIRIKA NA YESU.
Mpendwa MUNGU ametuokoa tuwe na ushirika na YEYE. Ametupa ROHO MTAKATIFU atusaidie na kutuwezesha katika huu ushirika. Hatutakiwi kuwa na ushirika na dini au madhahebu Bali YESU.
-
11
UMEWAKA WAPI IMANI YAKO?
Mpendwa UKRISTO wetu umetoka kwa MUNGU hivyo na IMANI zatu lazima tuweke kwake sio dini au dhehebu lolote. YESU NDIYE MWANZILISHI wa IMANI yetu.
-
10
UMEMPOKEA YESU ?
Watu wangi wamepokea dini na madhahebu na sio YESU. Kumpokea YESU ndio kupokea UKRISTO AU WAKOVU. UKRISTO HAURITHIWI kamwe, unaweza kurithi dini na madhahebu na sio UKRISTO yaani WAKOVU.
-
9
NENO TOKA KWA BWANA.
Mpendwa zipo nyakati unatakiwa usikie toka kwa MUNGU peke yake maana maneno faraha na upendo wa wanadamu hautakusaidia KITU.
-
8
KUMIMINA MOYO WAKO KWA MUNGU.
Mpendwa kuna Mambo ambayo ni MUNGU peke yake anaweza kukusaidia hutakiwi kuwaambia watu bali MWAMBIE MUNGU mwenyewe.
-
7
DAMU YA YESU.
Ni DAMU YA YESU peke yake inayoweza kuondoa dhambi za wanadamu.
-
6
IMANI YAKO INASEMAJE ??
Katika kila Jambo linalotokea lazima ujiulize IMANI YAKO INASEMAJE NDANI YAKO.
-
5
IMANI ILIYO NDANI YAKO
IMANI iliyo moyoni mwako ina NGUVU kubwa ya kubadilisha maisha yako. Pia ina nguvu ya kubadilisha kitu au mazingira yoyote katika maisha yako.
-
4
MAUMIVU YA UPENDO
UPENDO UNA gharama zake. Unapoamua kupenda lazima ukubali kulipa gharama za huo upendo wako kwa huyo uliyempenda.
-
3
UJASIRI WA IMANI ZETU KATIKA MUNGU.
Mpendwa kutimiza kusudi la MUNGU katika maisha yako lazima uwe JASIRI wa IMANI. Kupokea MIUJIZA au MAJIBU ya maombi yako lazima uwe JASIRI WA IMANI YAKO KWA MUNGU NA NENO LAKE. SOMO HILI LITAKUSAIDIA KUJENGA UJASIRI WA IMANI YAKO KWA MUNGU.
-
2
LIAMINI NENO LA MUNGU.
Mpendwa MUNGU siku zote HAKIKA atatenda na kutimiza chochote alichosema au kuahidi katika NENO LAKE. Ukiliamini lazima litatimia kwako. Haitoshi tu kusikia lazima UAMINI kile anachokuambia MUNGU. Sikilizaaa AMINI UTAUONA MKONO na UKUU WA UTUKUFU WA MUNGU KWAKO.
-
1
HUKUNA MTU WALA KITU CHA KUKUZUIA .
Mpendwa hakuna MTU mwenye nguvu au cheo anayeweza kukupinga au kukuzuia. Pia hakuna kiumbe chochote kile kinachoweza kukuzuia. Nguvu za giza zote kamwe haziwezi kukuzuia au kukupinga unapokuwa umeokoka na unamwamini MUNGU katika YESU KRISTO.
We're indexing this podcast's transcripts for the first time — this can take a minute or two. We'll show results as soon as they're ready.
No matches for "" in this podcast's transcripts.
No topics indexed yet for this podcast.
Loading reviews...
ABOUT THIS SHOW
Somo hili litakufundisha NGUVU na MAMLAKA ya MUNGU ndani yako katika YESU KRISTO. Hakuna MTU au kitu chochote kinachoweza kushindana na wewe katika YESU KRISTO.
HOSTED BY
Moze Kimaro
CATEGORIES
Loading similar podcasts...