PODCAST · news
Msasa Media
by Msasa Media
Msasaonline inaamini kila binadamu ana haki ya kuhabarika kuburudika, na kuelimika hivyo basi kazi yetu kuhakikisha tunakuletea habari sahihi, na kupunguza msongo wa mawazo kwa burudani nzuri na kubadirisha maisha yako kwa kuleta episode zenye mafunzo zaidi. Kwa undani zaidi tembelea web site yetu www.msasaonline.co karibu jisikie huru kuungana nasi.
Episodes
-
"COUNTRY BOY" AZUNGUMZIA UMUHIMU WA MSANII KUWA TRENDING YOUTUBE NA VIEWS WENGI KWENYE MUZIKI WAKE.
"COUNTRY BOY" AZUNGUMZIA UMUHIMU WA MSANII KUWA TRENDING YOUTUBE NA VIEWS WENGI KWENYE MUZIKI WAKE.
-
Msani BELL 9 azungumzia wimbo aliowahi kuufanya wenye historia kubwa sana kwenye maisha yake.
Karibu sana endelea kupata burudani ya connection vibes ya Msasaonline. Ukibonyeza www.msasaonline.co utafurahia show
-
SABABU YA HUSSEIN MACHOZI KUJA TANZANIA
KARIBU KWA MARA NYINGINE TENA KWENYE MWENDELEZO WA EPISODE ZA CONNECTION VIBES KIUNDANI ZAIDI BONYEZA www.msasaonline.co ili uweze kuala unapatamwendelezo subscribe
-
MAONI YA ROSA REE KUHUSU MAPENZI
KARIBU SANA UBURUDIKE NA CONNECTION VIBES YA MSASAONLINE KWA TAARIFA NA BURUDANI TEMBELEA WWW.MSASAONLINE.CO
-
CONNECTION VIBES
KARIBU UBURUDIKE NA CONNECTION VIBES
-
UHUSIANO ULIOPO KATI YA KAZI NA WITO.
Haijalishi uko wapi, unaishi wapi, wewe ni nani na unafanya nini. Ila ukweli ni kuwa kila mmoja wetu ana masaa 24 kwa siku. Na katika masaa hayo hayo tunatumia kwa kupumzika na kufanya mambo mbalimbali katika maisha. Moja kati ya maswali mwanadamu amekua akijiuliza mara kwa mara, ni kutaka…
more -
SIRI ZA MAFANIKIO YA MTU BINAFSI.
Neno mafanikio kila mtu huwa ana maana yake kwa wakati wake na kwa eneo lake katika maisha. Nikiwa na maana kuwa kila mtu ana tafsiri yake kuhusu mafanikio kutokana na muda na wakati alionao na anaoendelea kuishi hapa duniani. Mfano : kuna mafanikio ya kiafya, kiuchumi, kiuchumi, kimahusiano.…
more -
NAFASI YA TAALUMA NA NIDHAMU KWENYE JAMII.
Nidhamu ni utii, kusikia, na kusikiliza. Nidhamu ni kufuata sheria, kanuni na taratibu kutoka kwa wanaokuongoza. Nidhamu ni kuwa mahala sahihi, wakati sahihi na kufanya jambo lililokuhitaji kuwa mahala pale kwa wakati ule. Nidhamu sio shikamoo, nidhamu sio upole na nidhamu sio Mavazi yenye staha...
-
PAUL POGBA AKUTWA NA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA CORONA.
Kocha wa timu ya taifa ya Ufaransa, Didier Deschamps amesema kiungo wa kati wa klabu ya Manchester United, Paul Pogba amepatikana na maambukizi ya Virusi vya Corona. Kutokana na taarifa hiyo Pogba mwenye umri wa miaka 27 atalazimika kujitenga na wachezaji wenzake ambao wapo kwenye maandalizi ya...
-
CLOUDS TV NA REDIO ZAFUNGIWA KWA SIKU 7.
MAMLAKA ya Mwasiliano Tanzania (TCRA) imeagiza Clouds TV na Redio kusitisha matangazo yao kwa muda wa siku saba kuanzia kesho Ijumaa 28 Agosti hadi 3 Septemba 2020 kwa kosa la kukiuka kanuni za utangazaji na kanuni ndogo za utangazaji za uchaguzi. Pia, mamlaka hiyo imevitaka Clouds TV na Redio...
-
KENYA: MUDA WA WANANCHI KUTOTOKA NDANI WAONGEZWA KWA SIKU 30.
Katika jitihada za kudhibiti maambukizi ya Covid-19, Rais Uhuru Kenyatta ameongeza muda wa wananchi kutotoka ndani kuanzia saa 3 usiku hadi saa 10 alfajiri kwa siku 30. Akihutubia Taifa kutoka Ikulu, amesema baa zitaendelea kufungwa kwa siku 30 huku akiagiza Wizara ya Afya kukutana na wamiliki…
more -
NEW ZEALAND : ALIYEUA WAUMINI 51 MSIKITINI AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA.
Mahakama imemhukumu kifungo cha maisha jela bila uwezekano wa msamaha Brenton Tarrant(29) aliyeua watu 51 kwenye misikiti miwili nchini humo.mtoto mwenye umri wa miaka 3 alikuwa miongoni mwa waliouawa. Machi mwaka jana, waumini waliokuwa wanasali katika msikiti wa Al Noor na Linwood…
more -
MCHEZAJI WA VALENCIA "DANI PAJERO" AMWAGA MACHOZI BAADA YA KUTEMWA NA TIMU YAKE.
Mchezaji wa muda mrefu ndani ya klabu ya Valencia, Dani Pajero amejikuta akitokwa na machozi baada ya kupigwa chini na klabu yake ya Valencia, na sasa ataichezea klabu ya Villarreal ambao ni wapinzani wa Valencia. Kiungo huyo wa kati wa Uhispania amecheza Valencia mechi 383 tangu mwaka 2008...
-
CHINA : NYAMA YA KUKU YAKUTWA NA VIRUSI VYA CORONA.
Sampuli ya vipapatio / mabawa ya kuku yaliyogandishwa, zimegundulika kuwa na virusi vya Corona mjini Shenzhen. Nyama hizo ziliagizwa kutoka nchini Brazil. Baada ya ugunduzi huo, mamlaka za afya ziliwatafuta na kuwapima watu waliokuwa karibu na bidhaa hiyo ambapo majibu yamesema kuwa hawana...
-
LINAH : "MIMI NA MORRISON SIO WAPENZI, NI MARAFIKI TU".
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Linah Sanga (Linah) ameamua kuuvunja ukimya baada ya kusambaa taarifa za kuwepo na mahusiano ya kimapenzi kati yake na mchezaji wa Simba, Benard Morrison. Ule msemo wa "uongo ukiachwa ukasambaa kwa ukubwa zaidi, huwa unageuka ukweli" umejaribu kupingwa vikali na...
-
IRAN : YATISHIA KUCHUKUA HATUA KAMA MARUFUKU YA SILAHA ITAREFUSHWA.
Rais wa Iran Hassan Rouhani ametishia kuwepo na madhara iwapo baraza la usalama la umoja wa Mataifa litarefusha marufuku ya silaha dhidi ya Iran kwa shinikizo la Marekani. Rouhani amesema kupitia televisheni ya taifa, kwamba azimio nambari 2231 la umoja wa Mataifa, ambalo ni sehemu ya makubaliano...
-
TABIA ZA WATU WENYE USALITI KATIKA MAHUSIANO YA KIMAPENZI.
Usaliti ni jambo baya sana katika mahusiano, usaliti si ujanja japo wengi wanaowaza kusaliti huwa wanajiona wajanja.wanajiona wamefanikiwa pale ambapo wanasaliti wenza wao kutogundua kama wanasalitiwa. Siku zote anaekusaliti huwa anajiona mjanja sana, kwamba yeye anasaliti mwenza wake hasaliti.…
more -
FAIDA 8 ZA KUWEKA AKIBA UNAZOPASWA KUZIFAHAMU.
1. Uhuru wa kifedha. Uhuru wa kifedha ni zaidi ya kuwa na fedha, uhuru wa kifedha ni kuwa mtu ambaye unatakiwa kuwa maishani na kuweza kufanya au kupata kile unachokihitaji maishani. Hata hivyo pesa ni muhimu sana kwenye suala la uhuru wa kifedha,ingawa pesa hizi zinatakiwa ziambatane na fikra...
-
MWINYI ZAHERA ASAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI GWAMBINA FC.
Mwinyi zahera ametambulishwa rasmi kuwa kocha Mkuu wa klabu ya Gwambina FC ambayo imepanda daraja msimu wa 2019/20 na itashiriki ligi kuu Bara msimu wa 2020/21. Zahera aliwahi kuifundisha yanga ndani ya ligi msimu wa 2018/19 na alianza nayo msimu wa 2019/20 kabla ya kufungashiwa virago kwa kile...
-
SOMALIA : WATU 10 WAUAWA KATIKA JARIBIO LA KUVUNJWA GEREZA.
Mamlaka ya Somalia inasema watu 10 wamefariki wakati wa majibizano ya risasi nje ya gereza la Mogadishu. Msemaji wa wizara ya habari alisema mahabusu 6 ambao walikuwa wanamgambo wa kundi la kigaidi Al-Shabab waliuliwa na askari wanne pia waliuawa. Chanzo cha majibizano ya risasi ni jaribio la...
-
TANZANIA : MR KUKU KIZIMBANI KWA KUFANYA BIASHARA HARAMU YA UPATU NA UHUJUMU UCHUMI.
Mfanyabiashara,Tariq Machibya (29) maarufu kama Mr kuku, amefikishwa mahakama ya kisutu, akikabiliwa na mashtaka 7 likiwemo la kufanya biashara haramu ya upatu kwa kukusanya fedha za umma zaidi ya Tsh. bilioni 17. Machibya amesomewa mashitaka yake tarehe 10.08.2020 na wakili mwandamizi wa…
more -
RAIS GHANI WA AFGHANISTAN KUWAACHIA WAFUNGWA HATARI WA KUNDI LA TALIBAN.
Rais wa Afghanistan Ashraf Ghani amesema atatoa amri ya kuachiwa huru kwa wafungwa 400 wa kundi la wanamgambo wa Taliban baada ya baraza la jadi la viongozi wa kikabila kuunga mkono hatua hiyo kama njia ya kufufua mazungumzo ya amani. Akizungumza wakati wa hotuba yake ya kufunga mkutano wa baraza...
-
MALAWI : YATANGAZA VIZUIZI VIPYA VYA KUKABILIANA NA JANGA LA VIRUSI VYA CORONA.
Tarehe 09, Agosti, Malawi imetangaza kuyafunga makanisa yote na kumbi za starehe katika awamu mpya ya vizuizi vya kudhibiti ongezeko linalotia wasiwasi la Virusi vya Corona. Vizuizi vipya vilivyotangazwa Kupitia gazeti la serikali vinajumuisha pia amri ya kuvaa barakoa na marufuku kwa Mikusanyiko...
-
TETESI ZA SOKA KIMATAIFA.
Washindi wa soka la FA Arsenal wana mlenga beki wa kati wa Brazil Diego Carlos huku Mikel Arteta akipanga marekebisho makubwa msimu ujao.(Telegraph - Subscription required). Arsenal itatoa ofa kwa mshambuliaji wa Gabon Pierre -Emerick Aubameyang,31,wiki hii ya pauni milioni 250,000 kwa wiki…
more -
PAPA BENEDICT WA 16 ANA HALI MBAYA.
Mkuu wa zamani wa kanisa katoliki, Papa Benedict XVl,ameripotiwa kuumwa sana baada ya kumtembelea kaka yake aliyekuwa mgonjwa nchini Ujerumani na sasa hali yake ni dhaifu sana. Gazeti la Pasaauer Neue presse la nchini Ujerumani limeripoti kwamba Papa Benedict Mwenye umri wa miaka 93 anasumbuliwa…
more -
MAMBO MATATU AMBAYO NI SUMU KATIKA MAHUSIANO YA KIMAPENZI.
Katika harakati zako za kutafuta mpenzi, unaweza kukutana na mwanamke ambaye kwasababu moja ama nyingine anakuondolea uwezo wako wa kufikiri, kutumia mantiki na pia kutumia akili yako ya kuzaliwa.si lazima awe amekufanyia kitu, lakini inaweza kuwa ni ulevi wako tu unasababisha ufanye mambo yasiyo...
-
SOMALIA: MWANDISHI AFUNGWA MIEZI 6 KWA KUIKOSOA SERIKALI KUHUSU CORONA.
Mahakama ya Somalia imemuhukumu mwandishi wa habari maarufu nchini humo, Abdiaziz Ahmed Gurbiye kifungo cha miezi 6. Abdiaziz ambae ni mhariri mkuu na naibu mkurugenzi wa shirika binafsi la Goobjoog, mjini Mogadishu, alishtakiwa kwa kuikosoa Serikali ya Somalia katika kukabiliana na mlipuko wa...
-
RWANDA NA BURUNDI: ZATANGAZA SIKU 3 YA MAOMBOLEZO KUTOKANA NA KIFO CHA MKAPA.
Rais wa Rwanda Paul Kagame ametangaza siku 3 za maombolezo kuanzia July 27 - 29, 2020 kufuatia kifo cha aliekuwa Rais wa Tanzania, Benjamin William Mkapa. Kagame ambae pia ni mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika mashariki (EAC) amemzungumzia Hayati Benjamin kama kiongozi ambae mchango wake ulienda nje...
-
VIONGOZI WA AFRIKA WASHINDWA KUPATANISHA MZOZO WA MALI.
Viongozi wa Mataifa ya Afrika magharibi wamemaliza siku nzima wa mkutano wa kilele hapo tarehe 24, Julai bila ya kufukia makubaliano juu ya mgogoro wa kisiasa unaotokota nchini Mali. Viongozi watano wa Mataifa ya Afrika magharibi wamekutana na Rais wa Mali Ibrahim Boubacar Keita, pamoja na…
more -
CHINA YAIAMURU MAREKANI KUFUNGA OFISI YAKE YA KIDIPLOMASIA CHENGDU.
Wizara ya mambo ya nje ya China,imeiamuru Marekani kufunga jengo lake la kidiplomasia lililopo Chengdu China, Uamuzi umekuja baada ya Marekani kufunga ofisi ya kidiplomasia ya China iliyopo Texas, Marekani. Kufungiana ofisi za kidiplomasia linaonekana kuwa suala linalozidi kuleta utengano kwa...
-
WATU ZAIDI YA MILIONI 1.8 WANATAFUTA HIFADHI NCHINI UJERUMANI.
Idadi ya watu wanaotafuta hifadhi nchini Ujerumani kutokutoka na vita ama mateso katika nchi zao iliongezeka kupita milioni 1.8 mwishoni mwa mwaka jana kulingana na takwimu rasmi zilizotolewa tarehe 23, Julai. Idara ya takwimu ya serikali kuu (Destatis) imesema kuwa nb idadi hiyo iliongezeka kwa...
-
LIBYA: MIILI YA WATU 7 WAGUNDULIWA KATIKA KABURI LA PAMOJA.
Miili ya watu 7 imegunduliwa katika kaburi moja katika mji uliokuwa umetekwa na waasi Libya. Miili ya watu 7 ambao wanakisiwa kuwa raia imegunduliwa katika mji wa Terhune, mji ambao ulikuwa umetekwa na waasi nchini Libya. Mji huo ulikombolewa mnamo June 5 baada ya makubaliano makali kati ya jeshi...
-
JAJI MKUU WA IRAN AMESEMA HAWATIKISWI NA VILIO KUHUSU ADHABU YA KIFO KWA WAANDAMANAJI.
Jaji mkuu wa Iran Ebrahim Rais amefifisha matumaini kwamba adhabu ya kifo iliyotolewa kwa waandamanaji watatu vijana wa kiiran itafutwa kufuatia malalamiko ya mitandaoni. Jaji mkuu huyo amesema maandamano yanakubalika lakini machafuko na fujo vinavyohatarisha usalama wa taifa ni mstari mwekundu....
-
HUMAN RIGHTS WATCH YAIKOSOA JAPAN KWA UDHALILISHAJI WATOTO KATIKA MAANDALIZI YA OLIMPIKI.
Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch,limedai kuwa kuna Utamaduni wa udhalilishaji wa kimwili wa kimaneno unaowalenga wanariadha vijana nchini Japan,Ikiwa imesalia mwaka mmoja kuelekea mashindano ya michezo ya olimpiki ya dunia yanayopangwa kufanyika mjini Tokyo. Shirika hilo...
-
FAIDA ZA KUTUMIA MITANDAONI YA KIJAMII ILI KUTANGAZA BIASHARA YAKO.
1. Inachangia kufahamika zaidi kwa biashara yako. Mitandao ya kijamii ni moja ya njia za kutangaza biashara yako kwa gharama nafuu zaidi na inauhakika wa kuwafikia wateja wengi zaidi, kwani asilimia kubwa ya watu wengi sasa hivi wanatumia muda mwingi sana katika mitandao ya kijamii hivyo…
more -
MBINU MPYA ZA KUMFANYA MTEJA WAKO KUWA MFALME.
Naomba pasipo kupoteza wakati nikukaribishe katika somo letu la leo,na siku ya leo tutazungumza kuhusiana na mbinu moja itakayo kusaidia katika ukuaji wa biashara. Moja kati ya changamoto kubwa kubwa ya ufanyaji wa biashara ni kule kufanya kazi kwa mazoea, nasema hivi kwasababu wafanyabishara…
more -
KANYE WEST AJITOA KWENYE MBIO ZA KUGOMBEA URAIS WA MAREKANI.
Wakati taifa la Tanzania likiwa kwenye maandalizi ya uchaguzi mkuu mwezi Oktoba mwaka huu 2020, huku ikishuhudiwa muamko mkubwa wa wasanii na watu maarufu wakijitokeza kuchukua fomu kwaajili ya kuhitaji ridhaa ya kugombea nafasi mbalimbali. Nchini Marekani msanii Kanye West amejitoa kwenye mbio...
-
HUAWEI YAPIGWA MARUFUKU KUWEKA MITAMBO YA 5G NCHINI UINGEREZA.
Uingereza imepiga marufuku Kampuni ya Huawei kuweka mitambo ya 5G huku kampuni kama BT (BTGOF) na Vodafone (VOD) zikipewa muda mpaka 2027 kuondoa mitambo ya kampuni hiyo kwenye mitandao yao. Waziri wa masuala ya kidigitali na Utamaduni, Oliver Dowden amesema kutokana na hali ya sintofahamu...
-
MENEJA WA DIAMOND, SALLAM SK ACHAGULIWA KUWA BALOZI WA UNIVERSAL MUSIC GROUP AFRIKA MASHARIKI.
Hayo yameelezwa na mwanamuziki Diamond Platinumz Wakati lebo ya WCB ikizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam Kuhusu usiku wa Zuchu utakaokuwa Julai 18 mwaka huu mlimani city jijini Dar es salaam. "Sijui kama nilitakiwa kusema hili au la, lakini bosi wangu Sallam atakuwa balozi wa...
-
MKE WA MSANII RAY J (PRINCESS LOVE), ASITISHA KUDAI TALAKA MAHAKAMA.
Ule msemo wa wapendanao wakigombana chukua jembe ukalime, umeonekana kudhihirika baada ya Princess Love ambae ni mke wa msanii Ray J, kuamua kurudi mahakamani kusitisha kesi yake ya kudai talaka kutoka kwa mumewe. Princess Love alifungua file la kudai talaka mwanzoni mwa May, 2020 Baada ya kuwa...
-
MJASIRIAMALI LAZIMA AELEWE MAMBO HAYA
.Habari rafiki mpendwa, natumaini unaendelea vizuri na mapambano ya maisha.Nikutie tu moyo endelea na harakati hizo naamini ipo siku utayaona matunda ya unachokifanya.Kama kawaida leo nakuletea makala nyingine hii ni juu ya sifa za mjasiriamali. Kuna watu wengi sana wanajiita wajasiriamali lakini...
-
MBINU TANO ZA KUTAKA KUINGIA KATIKA BIASHARA.
Zifuatazo ndizo hatua tano jinsi ya kuwa mfanyabiashara mwenye mafanikio. 1. Ainisha aina za biashara ambazo unataka kuzifanya. katika hili ni kwamba kama unataka kuwa mfanyabiashara mwenye mafanikio, unatakiwa kuainisha aina mbalimbali za biashara ambazo unataka kuzifanya huwenda zikawa ni zaidi...
-
KAULI YA KWANZA YA SHILOLE TOKA APIGWE MUMEWE - UCHEBE
Mwanamuziki wa bongo na mfanyabiashara Shilole ameibuka tena baada ya siku chache kuposti picha zikimuonyesha ameumizwa na mume wake baada ya kupigwa na mumewe leo ameibuka na kuwashukuru watanzania kwa ushirikiano Kipindi cha matatizo yake. Kupitia ukurasa wake wa instagram Shilole aliandika…
more -
MWANAMKE WA KWANZA MWEUSI KUENDESHA NDEGE YA KIKOSI CHA WANAMAJI MAREKANI.
Luteni Jenerali Madeline Swegle amekuwa mwanamke wa kwanza Mmarekani mweusi kuendesha ndege ya kivita inayotumiwa na kikosi cha wanamaji cha Marekani. Ameandika historia kwa kupaa angani kama rubani wa ndege ya kivita ya Marekani inayotumiwa na wanamaji na atatunukiwa cheo cha "wings of Gold" au...
-
KWAMARA YA KWANZA ALI NA MONDI KUCHANGIA STAGE MOJA
Diamond na Alikiba pamoja na wasani wengine kutumbwiza pamoja na kwenye jukwa moja hukwo DODOMA
-
BEKA FLEVA KUMSIFIA MPENZI WAKE KUMELETA GUMZO MITANDAONI
BEKA na mzazi mwenzake kuna wakati ilisemekana wa meachana ila kwa awamuhii imeonekana Beka kumshurikisha kwenye mziki wake mpya kitu ambacho mashabiki hawaelelewi kua wa meridians au vipi?
-
ZARI THE BOSS ALICHO KISEMA KUHUSU WATOTO WAKE NA DIAMOND
Inaonekana hii couple ya ZARI na Daimondi kurudiana na siku hizi kama vile kuna kujaliana hadi kununuliana gari na zari kutumia nafasi hiyo kupata attentions toka kwa mashabiki zake.
-
UHOLANZI: KUISHITAKI URUSI KATIKA MAHAKAMA YA ULAYA KWA KUIANGUSHA NDEGE YA MALAYSIA.
Taifa la Uholanzi limesema litaishitaki Urusi katika mahakama ya Ulaya kuhusu haki za kibinadamu ya ECHR kwa hatua yake ya kuiangusha ndege ya shirika la ndege la Malaysia mwaka 2014. Jamaa wa wahanga 65 wa Uholanzi waliofariki kwenye ajali ya ndege waliwasilisha malalamiko yao kwenye mahakama…
more -
SYRIA: HOSPITALI ZAFUNGWA BAADA YA MGONJWA WA KWANZA WA CORONA KURIPOTIWA MKOANI IDLIB.
Hospitali katika eneo la kaskazini magharibi mwa Syria zimeamua kusitisha huduma zisizokua za dharura baada ya kisa cha kwanza cha maambukizi ya virusi vya CORONA kuripotiwa. Vilevile idara inayosimamia elimu imetangaza kufunga shule zote. Kwa mujibu wa afisa mmoja mwandamizi wa afya, kisa cha...
-
MAREKANI YAIARIFU UN HATUA YA KUJIONDOA WHO.
Serikali ya Marekani imeuarifu rasmi Umoja wa Mataifa juu ya uamuzi wake wa kujiondoa kutoka shirika la Afya Dunia (WHO), ifikapo mwaka 2021. Rais wa Marekani Donald Trump amewasilisha taarifa hiyo siku ya Jumatatu kwa katibu Mkuu wa Umoja huo, Antonio Guterres. Mwishoni mwa mwezi Mei Trump…
more
We're indexing this podcast's transcripts for the first time — this can take a minute or two. We'll show results as soon as they're ready.
No matches for "" in this podcast's transcripts.
No topics indexed yet for this podcast.
Loading reviews...
ABOUT THIS SHOW
Msasaonline inaamini kila binadamu ana haki ya kuhabarika kuburudika, na kuelimika hivyo basi kazi yetu kuhakikisha tunakuletea habari sahihi, na kupunguza msongo wa mawazo kwa burudani nzuri na kubadirisha maisha yako kwa kuleta episode zenye mafunzo zaidi. Kwa undani zaidi tembelea web site yetu www.msasaonline.co karibu jisikie huru kuungana nasi.
HOSTED BY
Msasa Media
Loading similar podcasts...