Mwanamke Wa Kislam Baina Ya Pepo Na Maoto podcast artwork

PODCAST · religion

Mwanamke Wa Kislam Baina Ya Pepo Na Maoto

1- Mada hii inazungumzia umuhimu wa kuandaa darsa kwa wanawake, kwasababu ndio wengi motoni, na ametaja sababu za kuwa wengi motoni, kasha amehusiya watu wahifadhi ndimi zao.2- Mada hii inazungumzia sababu ya wanawake kuingia motoni kama kulani sana na kukataa wema wa mume wake, ametaja jinsi mwaname anavyo shawishika katika zama hizi, kisha amezungumzia maana ya ugeni katika dini .3- Mada hii inazungumzia baadhi ya mifano kwa wanawake walio pata mateso lakini wakathibiti katika dini, kama Mwanamke aliekuwa anafanya kazi ya kuwasuka mabinti wa Firauni, na mke wa Firauni amehimiza umuhimu wa kuithamini Dini.4- Mada hii inazungumzi halia za wanawake wa kiislam na udhaifu wao katika ibada nakudai kwao haki sawa, na baadhi ya hoja dhaifu katika kuvaa hijabu, kisha akabainisha umuhimu wa mwanamke wa kiislam kushikamana na dini.5- Mada hii inazungumzia tabia ya kusengenya wanawake, na uharamu wake, na uwajibu wa kuhifadhi ndimi, kisha akataja kuwa mwanamke atakaeshikamana na dini atakuwa pe

  1. 5

    Mwanamke Wa Kislam Baina Ya Pepo Na Maoto 1

    Mwanamke Wa Kislam Baina Ya Pepo Na Maoto 1

  2. 4

    Mwanamke Wa Kislam Baina Ya Pepo Na Maoto 2

    Mwanamke Wa Kislam Baina Ya Pepo Na Maoto 2

  3. 3

    Mwanamke Wa Kislam Baina Ya Pepo Na Maoto 3

    Mwanamke Wa Kislam Baina Ya Pepo Na Maoto 3

  4. 2

    Mwanamke Wa Kislam Baina Ya Pepo Na Maoto 4

    Mwanamke Wa Kislam Baina Ya Pepo Na Maoto 4

  5. 1

    Mwanamke Wa Kislam Baina Ya Pepo Na Maoto 5

    Mwanamke Wa Kislam Baina Ya Pepo Na Maoto 5

Type above to search every episode's transcript for a word or phrase. Matches are scoped to this podcast.

Searching…

We're indexing this podcast's transcripts for the first time — this can take a minute or two. We'll show results as soon as they're ready.

No matches for "" in this podcast's transcripts.

Showing of matches

No topics indexed yet for this podcast.

Loading reviews...

ABOUT THIS SHOW

1- Mada hii inazungumzia umuhimu wa kuandaa darsa kwa wanawake, kwasababu ndio wengi motoni, na ametaja sababu za kuwa wengi motoni, kasha amehusiya watu wahifadhi ndimi zao.2- Mada hii inazungumzia sababu ya wanawake kuingia motoni kama kulani sana na kukataa wema wa mume wake, ametaja jinsi mwaname anavyo shawishika katika zama hizi, kisha amezungumzia maana ya ugeni katika dini .3- Mada hii inazungumzia baadhi ya mifano kwa wanawake walio pata mateso lakini wakathibiti katika dini, kama Mwanamke aliekuwa anafanya kazi ya kuwasuka mabinti wa Firauni, na mke wa Firauni amehimiza umuhimu wa kuithamini Dini.4- Mada hii inazungumzi halia za wanawake wa kiislam na udhaifu wao katika ibada nakudai kwao haki sawa, na baadhi ya hoja dhaifu katika kuvaa hijabu, kisha akabainisha umuhimu wa mwanamke wa kiislam kushikamana na dini.5- Mada hii inazungumzia tabia ya kusengenya wanawake, na uharamu wake, na uwajibu wa kuhifadhi ndimi, kisha akataja kuwa mwanamke atakaeshikamana na dini atakuwa pe

HOSTED BY

Shamsi Ilmi

Produced by IslamHouse

Frequently Asked Questions

How many episodes does Mwanamke Wa Kislam Baina Ya Pepo Na Maoto have?

Mwanamke Wa Kislam Baina Ya Pepo Na Maoto currently has 5 episodes available on PodParley. New episodes are automatically indexed when they're published to the podcast feed.

What is Mwanamke Wa Kislam Baina Ya Pepo Na Maoto about?

1- Mada hii inazungumzia umuhimu wa kuandaa darsa kwa wanawake, kwasababu ndio wengi motoni, na ametaja sababu za kuwa wengi motoni, kasha amehusiya watu wahifadhi ndimi zao.2- Mada hii inazungumzia sababu ya wanawake kuingia motoni kama kulani sana na kukataa wema wa mume wake, ametaja jinsi...

How often does Mwanamke Wa Kislam Baina Ya Pepo Na Maoto release new episodes?

Mwanamke Wa Kislam Baina Ya Pepo Na Maoto has 5 episodes. Check the episode list to see recent publication dates and frequency.

Where can I listen to Mwanamke Wa Kislam Baina Ya Pepo Na Maoto?

You can listen to Mwanamke Wa Kislam Baina Ya Pepo Na Maoto on PodParley by clicking any episode. We provide an embedded audio player for direct listening, and you can also subscribe via your preferred podcast app using the RSS feed.

Who hosts Mwanamke Wa Kislam Baina Ya Pepo Na Maoto?

Mwanamke Wa Kislam Baina Ya Pepo Na Maoto is created and hosted by Shamsi Ilmi.
URL copied to clipboard!