Sababu Zinazo Pelekea Nyoyo Kuwa Ngum

PODCAST · religion

Sababu Zinazo Pelekea Nyoyo Kuwa Ngum

1- Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa sababu zinazo pelekea nyoyo za watu kuwa ngumu, ni watu kuzama ktika maasi kama vile uzinifu, ulevi, kutembea uchi na kuchanganyika wanaume na wanawake, pia imezungumzia sababu za bani Israil kuwa na nyoyo ngumu na kulaaniwa.2- Mada hii inazungumzia: Waumini wa kweli kwamba ni wale ambao wanaposikia Aya za Allah nyoyo na ngozi zao zina sisimka, pia imeelezea umuhimu wa kusikiliza maneno ya Allah na kuyazingatia

  1. 2

    Sababu Zinazo Pelekea Nyoyo Kuwa Ngum 1

    Sababu Zinazo Pelekea Nyoyo Kuwa Ngum 1

  2. 1

    Sababu Zinazo Pelekea Nyoyo Kuwa Ngum 2

    Sababu Zinazo Pelekea Nyoyo Kuwa Ngum 2

Type above to search every episode's transcript for a word or phrase. Matches are scoped to this podcast.

Searching…

We're indexing this podcast's transcripts for the first time — this can take a minute or two. We'll show results as soon as they're ready.

No matches for "" in this podcast's transcripts.

Showing of matches

No topics indexed yet for this podcast.

Loading reviews...

ABOUT THIS SHOW

1- Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa sababu zinazo pelekea nyoyo za watu kuwa ngumu, ni watu kuzama ktika maasi kama vile uzinifu, ulevi, kutembea uchi na kuchanganyika wanaume na wanawake, pia imezungumzia sababu za bani Israil kuwa na nyoyo ngumu na kulaaniwa.2- Mada hii inazungumzia: Waumini wa kweli kwamba ni wale ambao wanaposikia Aya za Allah nyoyo na ngozi zao zina sisimka, pia imeelezea umuhimu wa kusikiliza maneno ya Allah na kuyazingatia

HOSTED BY

Swalehe Ibrahim

Produced by IslamHouse

URL copied to clipboard!