PODCAST · society
Seth wa East
by Sungusia Tenga
Mimi ni kijana Mwenye malengo na mchapakazi,Podcast yangu itahusu Mawazo ,Matukio,Ubunifu na Msukumo!
Episodes
-
Work on yourself 🤍 Reminder
Share with someone who needs to hear this today they might thank you.
-
What's Love Reminder ❤️🌹
Say YES if you know this feeling
-
A Real Friend Reminder
Tag a real Friend!
-
Apple Music ndani ya Bongo,Darasa mtandaoni na Teachable
Apple Music Kupanua wigo wake katika nchi zifwatazo Africa: Algeria, Angola, Benin, Chad, Kenya, Liberia, Madagascar, Malawi, Mali, Mauritania, Mozambique, Namibia, Republic of the Congo, Rwanda, Senegal, Seychelles, Sierra Leone, Tanzania, Tunisia na Uganda. Teachable : Wewe ni Mwalimu? Basi;...
-
Barakoa (facemask) na matumizi yake dhidi ya Corona
Leo tuzungumzie matumizi sahihi ya BARAKOA (face mask) maana Maradhi ya Corona (COVID19) yamekuja na mambo yake. KUTOKANA NA UWEPO HAFIFU WA VIFAA VYA UPIMAJI PAMOJA NA UHALISIA WA MAISHA YETU YA KILA SIKU YA KUKUTANA NA MISONGAMANO YA WATU MIMI NAONA NI VYEMA TU KUIVAA MAANA NI NGUMU KUJUA KAMA...
-
Yahusu Corona, Umbali wa kijamii na Arubaini (40) kama namba ya Mungu
Episode ya Leo kwenye Seth Wa East yahusu Corona Virus (COVID19), Umbali wa Kijamii na Ambavyo Mungu amekua akitumia namba 40 na Jinsi namba 40 ilivyoonekana tena kwenye tukio la mlipuko wa kirusi cha Corona. https://www.who.int/emergencies/diseases/novel-coronavirus-2019
-
CORONA ITAKOMA!
Moja ya kanuni za kujikinga zinazotangazwa na WHO ni kuosha mikono mara kwa mara kwa sabuni au kemikali maalumu hata kama mikono haionekani kuwa michafu. Sababu ya kufanya hivyo ni kwamba mtu anapoosha mikono kama inayoelekezwa,anaweza kuondoa virusi hivyo endapo viko mikononi.Kukaa mbali...
-
ENCORE
Seth wa East anauliza? Je Upo tayari!
-
Jock Joker Time. ep1
Cheka kidunchu. It's not that offical
-
Tabasamu
Ishi na Utabasamu Maisha yawe Mwororo
-
Mchanakazi
Daily noon hustle
We're indexing this podcast's transcripts for the first time — this can take a minute or two. We'll show results as soon as they're ready.
No matches for "" in this podcast's transcripts.
No topics indexed yet for this podcast.
Loading reviews...
Loading similar podcasts...