PODCAST · business
SFCG KENYA
by SFCGKENYA
A podcast for Search For Common Ground Swahili Coast. This podcast is dedicated to peace building through the common ground approach.
Episodes
-
JAMII BILA BALAA SKIT EPISODE 16
Je ni vipi unavyo pambana na msongo wa mawazo? Khadija anawafunza wanakijiji jinsi ya kuepuka msongo wa mawazo.
-
JAMII BILA BALAA SKIT EPISODE 17
Je unafahamu unyanyapaa ni nini? Khadija anawafunza wanakijiji kuhusu unyanyapaa
-
JAMII BILA BALAA SKIT EPISODE 15
Baada ya kuwaita katika kikao ili kuwajuza kuhusu vijana walio na ushawishi mbaya, wanajamii wanaomba kufahamishwa kuhusu maendeleo ya jamii yao, Je bwana Chifu anawambia lipi?
-
JAMII BILA BALAA SKIT EPISODE 14
Baada ya Khadija kupokea simu ya ghafla kutoka kwa chifu na kuhimizwa kuambatana na wanakijiji hadi afisi kwake, Je Chifu alikuwa na lipi la kuwaambia wanakijiji?
-
JAMII BILA BALAA SKIT EPISODE 13
Je ni vipi wanafamilia wanaweza kusuluhisha mizozo nyumbani?
-
JAMII BILA BALAA EPISODE SKIT 12
Baada ya Khadija kuwasidia wanakijiji kuhusu mitandao ya kijamii, Baba na Mama Nzomo wanakutana na tapeli mtandaoni.
-
JAMII BILA BALAA SKIT EPISODE 11
Je teknolojia ni vipi inaweza kuifaidi jamii?
-
JAMII BILA BALAA SKIT EPISODE 10
Baba Halima anazidi kumshawishi Chifu afanye marekebisho katika uongozi na pia kuanzisha mradi wa kuwasaidia vijana, Je atafauu katika hili?
-
JAMII BILA BALAA SKIT EPISODE 9
Nyumbani kwa kina Nzomo, Baba Nzomo na Mama Nzomo wanaungana na wanakijiji ili kumsaidia Nzomo kukuza talanta yake.
-
JAMII BILA BALAA SKIT EPISODE 8
Baada ya khadija kukutana na wanakijiji, sasa anamsaidia Nzomo kukuza talanta yake. Je ni vipi tunaweza kukuza talanta?
-
JAMII BILA BALAA SKIT EPISODE 7
Baada ya kukutana na Khadija, sasa wanakijiji wanachukua mkondo mpya. Pamoja na wanawake wa kijiji wanamtembelea Mama Nzomo na familia yake. Je safari hii ni ya nini?
-
JAMII BILA BALAA SKIT EPISODE 6
Baada ya Nzomo kukimbia Nyumbani, kunakuwa na wasiwasi mwingi miongoni mwa wazazi wake, Je wanafanya nini ili kumpata mwana wao?
-
JAMII BILA BALAA SKIT EPISODE 5
Baada ya fujo Nyumbani kwake, Mama Nzomo anawajulisha wanawake wenzake kisimani kuwa mwanawe Nzomo amekimbilia katika kambi ya Wahuni. Mama Halima naye anaota ndoto ya ajabu. Je Mama Nzomo atapata usaidizi kutoka kwa wanawake wenzake? Na Je ni ndoto gani hii ya ajabu?
-
JAMII BILA BALAA SKIT EPISODE 4
Baada ya Nzomo kupigana na mamake, Mzee Athumani anawaita katika kikao Baba na Mama Nzomo. Je ni ushauri gani walipewa ili kumkuza Nzomo katika malezi bora?
-
JAMII BILA BALAA SKIT EPISODE 3
Baada ya kupata ushauri wa jinsi ya kushirikiana katika ulezi na mkewe, leo Baba Halima anamtembelea Babu Athumani kwake nyumbani kumjulia hali lakini ugeni wake unasitishwa ghafla na vita kati ya Nzomo na mamake mzazi. Kulikoni katika kijiji cha JBB?
-
JAMII BILA BALAA SKIT EPISODE 2
Baada ya kufurushwa na mumewe mama Halima anampata mwanawe kwa babu yake, Babu Athumani. Babu Athumani anaambatana na Mwanawe Halima na kurudi Nyumbani alipo Baba Halima. Je itakuwaje ikifahamika kuwa Baba Halima alimtuma mkewe nje usiku kumtafuta Halima?
-
JAMII BILA BALAA SKIT EPISODE 1
Karibu kijiji cha Jbb. Nyumbani kwa baba na mama Halima. Baba Halima ana hasira kwa sababu mkewe hajui alipo mwana wao Halima. Baba Halima anamlaumu mkewe kwa kuzembea katika ulezi. Je uamuzi huu ni wa sawa?
We're indexing this podcast's transcripts for the first time — this can take a minute or two. We'll show results as soon as they're ready.
No matches for "" in this podcast's transcripts.
No topics indexed yet for this podcast.
Loading reviews...
ABOUT THIS SHOW
A podcast for Search For Common Ground Swahili Coast. This podcast is dedicated to peace building through the common ground approach.
HOSTED BY
SFCGKENYA
CATEGORIES
Loading similar podcasts...