Skip to content
Sheria Poa Podcast podcast artwork

Sheria Poa Podcast

by Privaty Rugambwa

Sheria Poa, ni kipindi ambacho tunaongelea maswala mbalimbali ya jamii kwa mtazamo wa sheria na kwa lugha nyepesi kabisa na ya kiurafiki, ni kipindi cha kufundisha na kusaidia kwa watu wa aina zote.

From the show's RSS feed, refreshed Sep 6, 2025. Source feed.

Subscribe Bookmark

Episodes

  1. Sura ya Kwanza - Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977

    Katika kipindi cha leo, Mwenyekiti wa jukwaa la katiba Tanzania, Mwalimu Deus Kibamba Pamoja na Wakili Msomi Paul Kisabo wanaendelea kutuelimisha juu ya ibara mbalimbali za katiba hii, katika sura ya kwanza, na mpangilio mzima wa sura hii. Wazungumzaji wetu wanatuelezea juu ya umuhimu wa sura hii...

  2. Muundo wa Serikali na Madaraka ya Rais Kwenye Katiba Ya Tanzania ya Mwaka 1977 | SheriaPoa

    Kwenye Kipindi cha leo tupo na Mawakili Wasomi, Deogratius Bwire pamoja na Nuru Maro wakitupitisha katika Sura ya Pili ya Katikba ya Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania, hususani kwenye Muundo wa Serikali ya kwa mujibu wa katiba hii na madaraka ya Rais. Mawakili wasomi wanatuelezea kwa kina, muundo…

    more
  3. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977 (Sura ya Kwanza) - Mwendelezo

    Katika kipindi cha leo, Mwenyekiti wa jukwaa la katiba Tanzania, Mwalimu Deus Kibamba Pamoja na Wakili Msomi Paul Kisabo wanaendelea kutuelimisha juu ya ibara mbalimbali za katiba hii, katika sura ya kwanza, na mpangilio mzima wa sura hii. Wazungumzaji wetu wanatuelezea juu ya umuhimu wa sura hii...

  4. Sura ya Kwanza - Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977

    Katika kipindi cha leo, Mwenyekiti wa jukwaa la katiba Tanzania, Mwalimu Deus Kibamba Pamoja na Wakili Msomi Paul Kisabo wanaendelea kutuelimisha juu ya ibara mbalimbali za katiba hii, katika sura ya kwanza, na mpangilio mzima wa sura hii. Wazungumzaji wetu wanatuelezea juu ya umuhimu wa sura hii...

  5. Historia ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977

    Katika kipindi cha leo, tupo na Mwenyekiti na Muanzilishi wa Jukwaa la Katiba Tanzania Mwl. Deus Kibamba akitupitisha katika historia ya Katiba Ya Mwaka 1977, kutoka kupata uhuru wa Tanganyika mpaka leo. Kama unapenda tunachokifanya, tuwezeshe kupitia Lipa Namba TigoPesa - 8212862 Subscribe…

    more
  6. Historia ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977

    Katika kipindi cha leo, tupo na Mwenyekiti na Muanzilishi wa Jukwaa la Katiba Tanzania Mwl. Deus Kibamba akitupitisha katika historia ya Katiba Ya Mwaka 1977, kutoka kupata uhuru wa Tanganyika mpaka leo. Kama unapenda tunachokifanya, tuwezeshe kupitia Lipa Namba TigoPesa - 8212862 Subscribe…

    more
  7. The concept of Marital Rape: Time to amend our laws? (Suala la Ubakaji ndani ya ndoa: Je ni muda wa kurekebisha sheria zetu?)

    Swala la ubakaji ndani ya ndoa; yaani mume kumbaka mke wake, ni tatizo kubwa sana duniani. Suala hili pia limekuwa likiwatokea wanandoa wengi sana Tanzania na hivyo kuibua maswali mengi sana juu ya sheria zetu katika suala hili, na wengi wamekuwa wakiuliza kama ndoa ni kibali au leseni ya kubaka...

  8. Jinsi ya kumiliki eneo ndani ya jengo Tanzania (Unit Titles / Condominium)

    Kipindi cha leo ni muendelezo wa mada ya kujua jinsi ya kumiliki ardhi Tanzania. Leo tupo na Wakili Msomi Victor Mwakimi, na mazungumzo ya leo ni kujua hasa jinsi mtu anaweza akamiliki eneo ndani ya jengo. Pia kuzungumzia kuhusu haki azipatazo mtu anayenunua eneo ndani ya jengo au eneo na zile...

  9. Mikataba ya wachumba kabla ya Ndoa (Prenups) - Tanzania

    Mikataba ya wachumba kabla ya ndoa (Prenups) ni mikataba ambayo wanandoa watarajiwa huingia kuhusu mali walizochuma kabla ya kufungua ndoa husika. Aina hii ya mikataba lengo lake kuu huwa ni kuhakikisha mali ambazo wanandoa wamechuma kabla ya ndoa husika hazitokuwa mali za pamoja za wanandoa hao...

  10. Masuala ya Ardhi katika Mirathi

    katika kipindi hiki, tuko pamoja na wakili Victor Mwakimi akiendelea kuzungumzia kwa kina Masuala ya ardhi katika mirathi. Karibu ujumuike nasi.

  11. Unyanyasaji wa Kingono kwenye Sehemu za Kazi

    Sheria ya kazi na mahusiano ya kazi ya mwaka 2004 kama ilivyofanyiwa maboresho mwaka 2019, imezungumzia kidogo sana juu wa unyanyasi wa kingono kwenye sehemu za kazi. Sheria imeweka unyanyasaji wa kingono chini ya makundi au aina ya ubaguzi mahala pa kazi na hivyo kuonekana kama ni tatizo dogo…

    more
  12. Haki za wanyama wafugwao majumbani Tanzania

    Sikuhizi imekuwa ni kitu cha kawaida kuona nyumba au watu wakifuga wanyama mbalimbali kama mbwa au paka kama wanyama rafiki, kwa ajili ya majumbani kwa ilinzi au tu kama marafiki. Pia imekuwa ni kama desturi kuona vijana wakiwa wanauza wanyama hawa barabarani au sehemu mbalimbali kwenye miji...

  13. Land as a source of investment through Mortgages

    With us in today's episode is Advocate Victor Mwakimi, the Founding and Managing Partner of Lyson Law Group. Victor has nearly 10yrs of experience in legal practice specializing in Banking and Finance, Litigation and Conveyancing. Advocate Mwakimi gained his experience and passion for litigation...

  14. Dos and Donts on acquisition of Land In Tanzania, Part One

    Today we are discussing the Dos & Donts on Acquisition of Land In Tanzania, Acquisition of Land in Tanzania is a verse subject and one of the most challenging transactions as it requires individuals or organisations to visit various government offices to make sure this transaction goes smooth, it...

  15. Striking a Balance Between Tight Work Schedule & Mental Health; With Nadia Ahmed

    In our episode 4 we are discussing on how to strike a balance between a tight work schedule and Mental health, Mental health is a challenging problem to our society and we are discussing on how to face this problem in accordance to the laws available. Our guest today is Nadia Ahmed who is a...

  16. Women in Legal Practice, Challenges and Opportunities Available, Part 2

    Today we are extending our discussion on challenges and opportunities available to women in Legal practice, and our guest today is Flora Obeto, Flora is an Associate at DLA Piper Africa, IMMMA Advocates and the Co- Founder and Managing Director at One Insurance Agency. We will be discussing in...

  17. Women in Legal Practice, Challenges and Opportunities, Part 1

    International Women's Day is celebrated in many countries around the world. It is a day when women are recognized for their achievements without regard to divisions, whether national, ethnic, linguistic, cultural, economic or political. Source;...

  18. Matumizi ya lugha ya kiswahili kwenye mfumo wa utoaji haki; Nini ni faida kwa wadau wa mahakama na mfumo mzima wa sheria.

    Kiswahili ni Lugha ya Taifa na Matumizi ya Kiswahili yanazidi kukua kadri siku zinavyozidi kwenda, pamoja na kukua kwa lugha hii, Kiswahili kimekuwa hakitumiki katika mfumo mzima wa utoaji haki, kwa maana ya kwamba sheria zote za nchi yetu bado zipo kwa lugha ya Kiingereza na hata Mahakama zetu...

About this show

Sheria Poa, ni kipindi ambacho tunaongelea maswala mbalimbali ya jamii kwa mtazamo wa sheria na kwa lugha nyepesi kabisa na ya kiurafiki, ni kipindi cha kufundisha na kusaidia kwa watu wa aina zote.

Hosted by

Privaty Rugambwa

Categories

Frequently asked questions

How many episodes does Sheria Poa Podcast have?

Sheria Poa Podcast has 18 episodes on PodParley. The most recent episode was published on April 25, 2023.

What is Sheria Poa Podcast about?

Sheria Poa, ni kipindi ambacho tunaongelea maswala mbalimbali ya jamii kwa mtazamo wa sheria na kwa lugha nyepesi kabisa na ya kiurafiki, ni kipindi cha kufundisha na kusaidia kwa watu wa aina zote.

How often does Sheria Poa Podcast release new episodes?

Sheria Poa Podcast publishes monthly, based on its 18 episodes since March 2021.

Who hosts Sheria Poa Podcast?

Sheria Poa Podcast is created and hosted by Privaty Rugambwa.
Link copied