PODCAST · education
Success Path Podcast
by Ezden
A Swahili podcast to spread knowledge and understanding that can make people live happily, freely, and healthy.
Episodes
-
MAMBO 6 TULIYOFUNDISHWA NA CORONA/ COVID-19
Dunia imetetemeshwa na janga la CORONA COVID-19 na kuleta maafa na athari kubwa sana sehemu kubwa. Lakini kila tatizo huwa linakuja na elimu au funzo ndani yake na bila shaka katika janga hili la CORONA COVID-19 sisi tunalo jambo la kujifunza na sio moja. Mimi nimekuandalia mambo sita, ningependa...
-
HUU NDIO UTAJIRI WA KWANZA
Wito wangu ni kwamba kamwe tusisahau afya kwa haswa ndio utajiri wa kwanza na mengine yote yatafuata.
-
JIFUNZE KUJIAMINI
Napenda nikukaribishe katika channel yangu ya youtube ambako natoa masomo mengi ya maisha yenye malengo ya kutufanya tuishi kwa furaha, afya na uhuru zaidi. Inatwa SUCCESS PATH NETWORK utaipata kwa ku-click hapa http://youtube.com/ezdenjumanne Karibu sana.
We're indexing this podcast's transcripts for the first time — this can take a minute or two. We'll show results as soon as they're ready.
No matches for "" in this podcast's transcripts.
No topics indexed yet for this podcast.
Loading reviews...
ABOUT THIS SHOW
A Swahili podcast to spread knowledge and understanding that can make people live happily, freely, and healthy.
HOSTED BY
Ezden
CATEGORIES
Loading similar podcasts...