The Wealth Building Podcast podcast artwork

PODCAST · business

The Wealth Building Podcast

Jifunze Yale Waliyosahau Kukufundisha Shule;Kuweka Akiba 💰Uwekezaji 📈Kujenga Utajiri 💵Connect with us:Instagram: @thewealthbuildingpodcastAnchor: @thewealthbuildingpodcastApple Podcast: @thewealthbuildingpodcastGoogle Podcast: @thewealthbuildingpodcastYoutube: @thewealthbuildingpodcast

  1. 85

    Sio Kila Kanuni Itakufaa Mara Zote | The Wealth Building Podcast

    Karibu Kwenye The Wealth Building Podcast, Wiki Hii Tunaangalia Nini Ufanye Wakati Gani Kwasababu Sio Kila Kanuni Itakufaa Mara Zote.Enjoy Episode Ya Leo, tafadhali Shiriki Kueneza Injili Hii Ya Fedha, Kwa Kushare Episode Hii Na Episode Nyingine Kwenye Podcast Hii Na Wengine.Coach Gee.

  2. 84

    Mambo Muhimu Kufahamu Kwenye Safari Ya Kujenga Utajiri

    Karibu Kwenye The Wealth Building Podcast, Wiki Hii Tunaangalia Mambo Muhimu Ya Kufahamu Na Kuishi Nayo Ukiwa Kwenye Safari Ya Kujenga Utajiri 💵💵Usisahau Kulike, Comment & Kushare Episode Na Ndugu Jamaa Na Marafiki.Coach Gee

  3. 83

    ISHI HUMU ILI UWEZE KUTUNZA FEDHA YAKO

    Mafanikio makubwa kifedha yanachangiwa kwa ukubwa na tabia zako kifedha. Tabia za kila siku ndizo zitaamua ufanikiwe kifedha au ufeli kifedha.Leo tunaangalia tabia zitakazokusaidia kuitunza fedha yako, Kwasababu kuitunza fedha yako ni muhimu kwa faida ya leo na kesho.Karibu Ujifunze Yale Waliyosahau Kukufundisha Shule,Coach Gee,

  4. 82

    CODE Za Kukufanikisha Kifedha

    Ishi humu utajishukuru sana baadae.

  5. 81

    Hatua Muhimu Kwenye Safari Ya KUJENGA UTAJIRI

    Kila safari ina hatua na hii ndio hatua ya kwanza muhimu kwenye safari yako ya kujenga utajiri wa kudumu.

  6. 80

    Tunapoongelea Uhuru Wa Kifedha Tunamaanisha Nini.

    Wote tupo kwenye mission ya kupata uhuru wa kifedha, lakini ni ipi maana halisi ya uhuru wa kifedha? Tuangalie maana moja wapo ya uhuru wa kifedha leo. Love & Respect, Grace-Wealth Building Coach

  7. 79

    TABIA 3 MUHIMU KUWA NAZO KWENYE SAFARI YA KUJENGA UTAJIRI

    Kitakachokutofautisha wewe na wengine katika safari hii ya kujenga utajiri ni TABIA. Na hizi ndio tabia muhimu kuhakikisha unaishi nazo. Kumbuka kwamba kujenga utajiri kwa ajili yako na vizazi vyako inawezekana, AMUA AMUA! Love & Respect, Grace

  8. 78

    FANYA HAYA KIPINDI HIKI ILI KUTIMIZA MALENGO YAKO KIFEDHA

    Hello Hello WEALTH BUILDERS, Another Week, Another Chance For A Must Have Money Conversation. Please Share This Episode With Friends & Family. Let The Money Gospel Spread, For Everyone Needs It. Love & Respect, Grace.

  9. 77

    Fahamu ''KWANINI'' Yako Ili Ufanikiwe Kifedha

    Usiwe umeingia tu kwenye safari hii ya kujenga utajiri bila kuwa na ''KWANINI'' ni muhimu na lazima kujua sababu. Sikiliza episode hii kuelewa zaidi. Love & Respect, Queen Gee - The Wealth Building Coach

  10. 76

    Epuka Kufanya Hili Kifedha 2024 (SO5E01)

    Happy New Year Wealthy People! Karibuni Kwenye Episode Hii Ambayo Tunaangalia Moja Ya Tabia Ya Kutokuendekeza Kifedha 2024. Ni matumaini Yangu Hautakuwa Tu Msikilizaji Bali PiAa Utakua Mtekelezaji. Love & Respect, Queen Gee - The Wealth Building Coach

  11. 75

    Fanya Haya Kama Una Kipato Kidogo Ili Uwe Na Mstakabali Mzuri Kifedha

    Karibu Kwenye Episode Nyingine Ya The Wealth Building Podcast, Elimu Hii Waliyosahau Kukufundisha Shule, Share Na Wengine Tujifunze Pamoja.XOXO,The Wealth Building Coach

  12. 74

    Fanya Haya Na Fedha Zako Ili Kuwa Na Kesho Bora Kifedha (S04E12)

    Kazi ya fedha zako sio kulipa bills tu na madeni, kuna zaidi ya hayo. Jifunze kazi zaidi ya pesa zako kwenye episode hii ya leo. Usisahau kushare episode hii na wengine. XOXO, Your Wealth Building Coach

  13. 73

    Mambo Muhimu Kifedha Kufanya Kipindi Hiki Cha Nusu Mwaka

    Usiache tu mambo yako ya kifedha yaenda bora yameenda, kuwa in control, shikilia uskani mtu wangu. Mwaka unapogawanyika zingatia kufanya mambo haya muhimu kifedha. XOXO, Your fave wealth building coach.

  14. 72

    Umuhimu Wa Kuwa Na Vyanzo Zaidi Ya Kimoja Vya Mapato (S04E10)

    Moja ya kanuni muhimu kwenye safari hii ya kujenga utajiri ni kuwa na vyanzo vingi vya mapato. Leo tunaangalia umuhimu wa kuwa na vyanzo vingi vya mapato. Enjoy listening & learning, XOXO, Your fave Wealth Building Coach.

  15. 71

    Umuhimu wa kujilipa wewe kwanza (S04E09)

    Moja ya financial principle ya muhimu ni kuhakikisha unajilipa wewe kwanza kwenye kila mapato unayopata. Unajilipa vipi na kwanini ni muhimu utajifunza hapa kwenye episode ya wiki hii. Enjoy listening & learning, XOXO, Your wealth building coach.

  16. 70

    Fahamu Tofauti Kati Ya Mikopo Mizuri & Mikopo Mibaya (S04E07)

    Ile episode tumekuwa tukisubiri kwa hamu hii hapa. Usiogope Mikopo, Ogopa Mikopo Mibaya! Usiache kushare na marafiki episode hii, XOXO, Queen Gee. The Wealth Building Coach.

  17. 69

    Fahamu Hatua Za Kufikia Uhuru Wa Kifedha (S04E06)

    Hello Wealthy People! Najua ungependa kuzifahamu hatua za kufikia uhuru wa kifedha basi nami bila iyana nakuletea hizi hapa hatua za muhimu za kuzingatia ili uweze kufikia uhuru wako wa kifedha. XOXO, Queen Gee, The Wealth Building Coach.

  18. 68

    Sababu Zinazokufanya Ushindwe Kuweka Akiba (S04E05)

    Hello Wealthy People! Episode hii ni ya wote tunaoshindwa kuweka akiba, sababu hizi ukizifanyia kazi utavuka eneo hilo la kuweka akiba na utakuja kunishukuru baadae.   Tafadhali Usiache Ku-Subscribe, like, comment pamoja na kushare episode hii na rafiki.   XOXO,  Your Wealth Building Coach

  19. 67

    Wasichokuambia Kuhusu Safari Ya Kupata Uhuru Wa Kifedha (S04E04)

    Mpaka sasa utakua umefahamu mengi kwenye safari yako ya kupata uhuru wa kifedha, lakini la muhimu kufahamu zaidi utalijua kwenye hii episode.

  20. 66

    Hatua Za Kufwata Ili Kufikia Uhuru Wako Wa Kifedha (S04E03)

    Nani asiyetaka kuwa huru kifedha? Hakuna! So leo tunaangalia nini unaweza kufanya ili ufikie uhuru wako wa kifedha.

  21. 65

    Jinsi Ya Kuepuka Madeni Yasiokuwa Ya Lazima 2023 (S04E02)

    Usiruhusu kufanya kazi, kupata mapato na kuishia kulipa madeni kila siku. Badilika!

  22. 64

    Siri Ya Kufikia Malengo Yako Kifedha 2023 (S04E01)

    Happy new year! Unawaza jinsi ya kufikia malengo yako kifedha mwaka huu? Majibu yapo kwenye episode hii.

  23. 63

    Mambo Muhimu Ya Kuzingatia Kifedha 2023 (S03E25)

    Chukua kalamu na note book, andika mambo haya chini, uyashike na kuyazingatia, utakuja kunishkuru badae.

  24. 62

    Majibu Ya Maswali Yako Ya Kifedha Yapo Hapa (S03E24)

    Wiki hii tunajibu maswali ya kifedha mliouliza, kama bado una swali usisite kuuliza.

  25. 61

    Fahamu Aina 5 Za Budget Na Jinsi Ya Kuzitumia Kulingana Na Malengo Yako (S03E23)

    Budgeting ni jambo la msingi sana kwenye safari ya kujenga utajiri. Kujua aina ya budget itakayokufaa kutokana na malengo uliokuwa nayo, sikiliza episode hii.

  26. 60

    Kauli Za Kuepuka Kwenye Safari Ya Kupata Uhuru Wa Kifedha (S03E22)

    Mdomo unaumba tunajua siku zote, sasa je unasema nini kuhusiana na fedha? Unaumba Nini kwa kinywa chako mwenyewe?

  27. 59

    Nini Ufanye Kipindi Cha Mfumuko Wa Bei Ili Kuendelea Kumudu Maisha (S03E21)

    Mfumuko wa bei unakutesa na kukukosesha raha? Sikiliza episode hii.

  28. 58

    Tabia Zinazosababisha Usiwe Na Hela Muda Wote (S03E20)

    Kuzijua tabia hizi tu haitoshi kwenye episode hii unapata pia tiba ya tabia hizi.  #uhuruwakifedhanilazima

  29. 57

    Jinsi Ya Kuchomoka Kwenye Madeni Yanayokulemea (S03E19)

    Ili kupata uhuru wa kifedha unahitaji kuwa in control kwenye maisha yako, moja ya changamoto inayotufanya tushindwe kuwa in control ni madeni. Njia hizi zitakusaidia kuchomoka kwenye madeni yanayokulemea.

  30. 56

    Umuhimu Wa Kuwa Serous Na Swala La Fedha Mapema (S03E18)

    Usisubiri kesho au sijui lini ndo uamue kuwa serious na mambo yako kifedha, kesho hatuijui leo ndo tunayo. Anza Leo Anza Sasa!

  31. 55

    Kanuni Zitakazo Kusaidia Kuweka Akiba Ukiwa Na Kipato Kidogo (S03E17)

    Kipato kidogo sio excuse ya kushindwa kufikia malengo yako. Hizi hapa kanuni ambazo ukizishika na kuzizingatia zitakusaidia kuweka akiba na kufikia malengo yako hata kama kipato chako ni kidogo.

  32. 54

    Sehemu Za Kuweka Akiba Yako (S03E16)

    Swali kubwa la wengi limekuwa ni wapi niweke akiba yangu, kwenye episode hii utapata kusikia baadhi ya sehemu ambazo unaweza kuweka akiba yako tena kwa faida juu.

  33. 53

    Siri Ya Kuwa Na Mafanikio Kiuchumi (S03E15)

    Leo kwenye episode hii nakupa shauri ambalo ukilifwata huna budi kuwa na mafanikio kiuchumi, chukua shauri hili, utanishukuru badae mtu wangu.

  34. 52

    Umuhimu Wa Kufanya Budgeting Kila Mwezi (S03E14)

    Unapopate fedha unaipangilia au unaitumia tu kwasababu ni yako? Kuna umuhimu wa kupangilia/ kufanyia budgeting fedha yako. Kwenye episode hii utapata kusikia faida za kufanya budgeting kila mwezi.

  35. 51

    Namna Ya Kuwa na Emergency Fund na Umuhimu wake. (S03E13)

    Karibu kwenye episode nyingine ya the Queen Gee Podcast, leo tunaangalia nini maana ya Emergency Fund, Umuhimu wake, na Jinsi ya kuanza kuweka akiba kwa ajili ya Emergency (Dharura)

  36. 50

    Sababu kuu Ya Ukosefu Wa Fedha (S03E12)

    Tatizo sio kipato chako au wewe sababu ni moja tu, mtazamo wako kifedha.

  37. 49

    Ishi Ndani Ya Uwezo Wako Kifedha (S03E11)

    Tuendele pale tulipoishia episode iliyoita, huu ni mwendelezo wa elimu ya fedha.

  38. 48

    Jinsi Ya Kupangalia Fedha Zako Kwa Faida Ya Kesho Yako.(S03E10)

    Money lovers, nidhamu ya fedha ipo au mnapenda fedha tu. Leo tujadili nidhamu ya fedha, kwa faida sio tu ya leo bali na ya baadae. Hakikisha kusikiliza episode hii na rafiki kwa kushare, comment mawazo yako pia.

  39. 47

    Ishi Kusudi Lako... (S03E9) Na Dokta Joe

    Ninayo Furaha kubwa kumleta kwenu mgeni wetu wiki hii, akizungumzia kuishi kusudi lako kwenye maisha na mahusiaono pia. Enjoy!

  40. 46

    Nyakati Hizi Na Aina Ya Watu Wanaohitajika (S03E8)

    Kila nyakati inahitaji watu wa aina flani, je nyakati hizi tulizopo zinahitaji watu wa aina gani? Episode hii itakujuza. Na je wewe upo kundi lipi? Au hata kundini haupo?....

  41. 45

    Haijalishi Wewe Ni Nani... (S03E07)

    Karibu kwenye episode nyingine ya The Queen Gee Podcast, tafadhali usiache kushare mawazo yako kuhusu episode hii, share episode hii pia na rafiki na kama bado huja-subscribe, fanya hivyo. Love, Queen Gee, The Host!

  42. 44

    Nini Cha Kufanya Unapotaka Kubadilisha Maisha Yako.. (S03E06)

    Asante kwa kujumuika nami siku ya leo, ujumbe huu ukisema na wewe nijulishe kwenye comment. Usisahau kushare na marafiki, pia kusubscribe. Much Love, Queen Gee

  43. 43

    Epuka Kujilinganisha...(S03E05)

    New week = New episode Please share this link with a friend.

  44. 42

    Ni Kwasababu Unakitu Ndani Yako... (S03E04)

    Ni kwasababu una kitu ndani yako. You have a mission to complete. Keep Going friend!

  45. 41

    Unaweza Kuanza Upya! (S03E03)

    It's never too late to begin afresh!

  46. 40

    Mambo Ya Kuzingatia Ili Kuishi Maisha Mazuri (S03E02)

    Nani asiyependa kuishi maisha mazuri? HAKUNA! Zingatia haya basi ili kuishi maisha ya ndoto zako ambayo ni mazuri. Comment mambo ambayo sijataja unayozingatia wewe binafsi. Asante, Queen Gee

  47. 39

    Well, Hello 2022! (S03E01)

    Happy new year friends. Have you decided for yourself what this year is going to be like to you? Not yet?  Here's what I suggest we should mostly do this year. Thank you for listening, Queen Gee

  48. 38

    God's Time (S02E14)

    God's timing is always on time!

  49. 37

    Mambo Muhimu Yakuzingatia Kabla Ya Kufunga Ndoa. (S02E13)

    Hey hey! Natumaini episode hii itakugusa mtu moja mahali flani, kama mtu huyu ni wewe usisite kusema kwa ku-comment hapo chini. Mapenze tele, Queen Gee

  50. 36

    Ishi Na Watu! Heshimu Watu! (S02E12)

    How have you guys been? Let me just say here's my way of coming back with my fave episode. I hope you enjoy listening to this episode just as I enjoyed recording it. Love, Queen Gee

Type above to search every episode's transcript for a word or phrase. Matches are scoped to this podcast.

Searching…

We're indexing this podcast's transcripts for the first time — this can take a minute or two. We'll show results as soon as they're ready.

No matches for "" in this podcast's transcripts.

Showing of matches

No topics indexed yet for this podcast.

Loading reviews...

ABOUT THIS SHOW

Jifunze Yale Waliyosahau Kukufundisha Shule;Kuweka Akiba 💰Uwekezaji 📈Kujenga Utajiri 💵Connect with us:Instagram: @thewealthbuildingpodcastAnchor: @thewealthbuildingpodcastApple Podcast: @thewealthbuildingpodcastGoogle Podcast: @thewealthbuildingpodcastYoutube: @thewealthbuildingpodcast

HOSTED BY

The Wealth Building Podcast

CATEGORIES

Frequently Asked Questions

How many episodes does The Wealth Building Podcast have?

The Wealth Building Podcast currently has 50 episodes available on PodParley. New episodes are automatically indexed when they're published to the podcast feed.

What is The Wealth Building Podcast about?

Jifunze Yale Waliyosahau Kukufundisha Shule;Kuweka Akiba 💰Uwekezaji 📈Kujenga Utajiri 💵Connect with us:Instagram: @thewealthbuildingpodcastAnchor: @thewealthbuildingpodcastApple Podcast: @thewealthbuildingpodcastGoogle Podcast: @thewealthbuildingpodcastYoutube: @thewealthbuildingpodcast

How often does The Wealth Building Podcast release new episodes?

The Wealth Building Podcast has 50 episodes. Check the episode list to see recent publication dates and frequency.

Where can I listen to The Wealth Building Podcast?

You can listen to The Wealth Building Podcast on PodParley by clicking any episode. We provide an embedded audio player for direct listening, and you can also subscribe via your preferred podcast app using the RSS feed.

Who hosts The Wealth Building Podcast?

The Wealth Building Podcast is created and hosted by The Wealth Building Podcast.
URL copied to clipboard!