Skip to content
Ulimwenguwaufeminine Frequency, Real Talk. podcast artwork

Ulimwenguwaufeminine Frequency, Real Talk.

by Hefsiba Nzali

Karibu kwenye Ulimwenguwaufeminine Frequency,Sehemu sahihi kwa mwanamke kujitambua na kuishi ndani ya nguvu yake ya kike bila uwoga, ku-level up sectors zote ili Kupata unachotaka bila kutumia nguvu na kuepuka kutumiwa Bure.Hapa tunaingia ndani kabisa kwenye kila kitu kinachomuhusu mwanamke ku-level kwenye mahusiano, kimuonekano, hisia zetu, urembo , usafi halisi (ndiyo, mpaka K!), Sex psychology, wanaume na nafasi yao kwetu, Pesa, fitness, na maisha soft kwa mwanamke anayependa kuishi Soft.Welcome home QUEEN!

From the show's RSS feed, refreshed Oct 29, 2026. Source feed.

Subscribe Bookmark

Episodes

  1. You know your Worth but you keep abandoning yourself

    Kama umependa ulichojifunza na unahitaji kujifunza zaidi , bonyeza link below ⬇️ https://linktr.ee/ulimwenguwaufeminine? Kujiunga na UWF INNER CIRCLE ⬇️ https://selar.com/d92r222792 Mazungumzo private na ushauri pia kujiunga na WhatsApp group tafadhali angalia namba iliyopo kwenye profile za...

  2. Relationship sahihi itakuonyesha patterns zako zilizojificha

    Healthy Relationship can reveal the parts of you that being single never could, Ulidhani ume-Heal untill you meet someone who trigger you. https://linktr.ee/ulimwenguwaufeminine

  3. Jinsi ya kujifanyia kazi/Innerwork

    Kujitambua na kujiponya ni vitu viwili tofauti. Self awareness isn’t Healing. you need both. Nimezungumzia nini maana halisi ya kujifanyia kazi na utaanzia wapi na nini cha kufanya kuanza inner work. kupata access ya Feminine reset program tuma neno ''RESET'' kwenda +255765669577 whatsApp.

  4. Avoidant & Anxious attachment issues pt2

    Men are not the problem, Dating Pool isn’t shitty either , you’re not intimidating, nobody is scared of you ...kubaki single isn’t a good option either ..Kama umeshajifanyia kazi ila haupati outcomes unazohitaji YOU ARE THE PROBLEM ,attachment issue can hidden like confident or ego too.. hii ep…

    more
  5. Avoidant & anxious attachment issues, pt1.

    Sambamba na ego kuwa chanzo kikubwa cha kukufanya ushindwe kufurahia maisha na mahusiano pia kuna hizi attachment issue ambazo ni chanzo kingine kikubwa cha wewe kuwa mtumwa wa wengine bila hata kujua.... hii ni pt1.

  6. Jinsi ya kuwa Seductive Woman na faida zake

    Nimezungumzia Nini maana ya Seduction energetically na jinsi ya kuwa mwanamke seductive na utajuaje wewe siyo seductive woman.

  7. The best Sex

    Pt1, Jinsi ya kuwa na the best sex siyo tu bora sex..

  8. Jinsi ya kuanza kujitambua / self-awareness.

    self awareness ndio chanzo cha wewe kuishi vile unavyostahili, kuwa magnetic, irressistable, unforgettable. Let’s dive in.

  9. Jinsi ya ku-Detach bila kuzima hisia.

    Detachment ni your super power , Detachment sio kukimbia hisia zako au kuzizima na kuwasha akili tu, Detachment ni kujipenda bila kushikilia chochote nje yako.Kwenye episode hii tunazungumzia hilo kwa undani zaidi. Kama umechoka ku-attach mpaka kuumia, ku-heal kila siku episode hii ni kwa ajili...

  10. Jinsi ya kuwa Self Obsessed

    Kwenye hii episode tunazungumza kuhusu self obsession baby, sio ile ya kujisifu sana au ubinafsi usio na maana. Nazungumzia ile ya kurudi kwako kama mwanamke Feminine. Utajifunza –Maana halisi ya kuwa self-obsessed kama mwanamke – Namna ya kuanza kujichagua bila kujisikia hatia – Kwa nini…

    more
  11. Vitu ambavyo hatuvifanyi in 2026!

    Kwenye hii episode tunazungumzia vitu muhimu sana kuzingatia kwenye huu Mwaka na vitu vya kuachana navyo ili kuwa na the best 2026! kwenye sector zote na lifestyle kwa ujumla, i really want you to not just listen but get into it by doing action starting today.

  12. Unatambua thamani yako?

    Karibu kwenye The Feminine Frequency , mahali ambapo wanawake wanarudi home kwenye mioyo yao, kwenye feminine energy yao, na kwenye thamani yao halisi. Leo kwenye hii ep ya kwanza nataka kukuuliza swali moja tu… Do you really know your worth? Ama umeishi kwenye survival mode kwa muda mrefu mpaka...

About this show

Karibu kwenye Ulimwenguwaufeminine Frequency,Sehemu sahihi kwa mwanamke kujitambua na kuishi ndani ya nguvu yake ya kike bila uwoga, ku-level up sectors zote ili Kupata unachotaka bila kutumia nguvu na kuepuka kutumiwa Bure.Hapa tunaingia ndani kabisa kwenye kila kitu kinachomuhusu mwanamke ku-level kwenye mahusiano, kimuonekano, hisia zetu, urembo , usafi halisi (ndiyo, mpaka K!), Sex psychology, wanaume na nafasi yao kwetu, Pesa, fitness, na maisha soft kwa mwanamke anayependa kuishi Soft.Welcome home QUEEN!

Hosted by

Hefsiba Nzali

Frequently asked questions

How many episodes does Ulimwenguwaufeminine Frequency, Real Talk. have?

Ulimwenguwaufeminine Frequency, Real Talk. has 12 episodes on PodParley. The most recent episode was published on October 15, 2026.

What is Ulimwenguwaufeminine Frequency, Real Talk. about?

Karibu kwenye Ulimwenguwaufeminine Frequency,Sehemu sahihi kwa mwanamke kujitambua na kuishi ndani ya nguvu yake ya kike bila uwoga, ku-level up sectors zote ili Kupata unachotaka bila kutumia nguvu na kuepuka kutumiwa Bure.Hapa tunaingia ndani kabisa kwenye kila kitu kinachomuhusu mwanamke...

How often does Ulimwenguwaufeminine Frequency, Real Talk. release new episodes?

Ulimwenguwaufeminine Frequency, Real Talk. publishes monthly, based on its 12 episodes since January 2026.

Who hosts Ulimwenguwaufeminine Frequency, Real Talk.?

Ulimwenguwaufeminine Frequency, Real Talk. is created and hosted by Hefsiba Nzali.
Link copied