EPISODE · May 6, 2024 · 39 MIN
Mafundisho ya Biblia: 12/5 JP baada ya Kupaa || Yn 17:1–11 na WK: Ahadi ya Roho Mtakatifu
from Wahubiri wa Neno Pod · host Mike Taylor
Mchungaji Mmasa na Mwalimu Mike tunafundisha Biblia katika masomo ya siku kwa Jumapili ijayo ili kuwasaidia watu wote na hasa watumishi katika maandilizi yao.Wiki hii ya Jumapili tarehe 12/5 ni Jumapili baada ya kupaa, ukurasa 113 katika kitabu cha sala cha kanisa la Anglikana.Tunafundisha kifungu cha Injili, Yohana 17:1–11 na mambo yaliyomo kama utukufu wa Yesu, ufunuo juu ya Mungu na sala ya Yesu kwa umoja na ulinzi wetu. Halafu na tunafundisha juu yaa Roho Mtakatifu na jinsi ambavyo kwa huyu Roho Mungu anakamilisha kazi ya wokovu iliyoanza kwa huduma ya Yesu.Karibu! This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com
NOW PLAYING
Mafundisho ya Biblia: 12/5 JP baada ya Kupaa || Yn 17:1–11 na WK: Ahadi ya Roho Mtakatifu
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
Apr 19, 2023 ·38m
Jan 19, 2023 ·32m
Dec 27, 2022 ·33m
Nov 6, 2022 ·42m
Oct 24, 2022 ·34m
Oct 2, 2022 ·43m