EPISODE · Mar 18, 2024 · 49 MIN
Mafundisho ya Biblia: 24/3 JP Mitende || pt2 Wazo Kuu na Masomo
from Wahubiri wa Neno Pod · host Mike Taylor
Mchungaji Mmasa na Mwalimu Mike tunafundisha Biblia katika masomo ya siku kwa Jumapili ijayo ili kuwasaidia watu wote na hasa watumishi katika maandilizi yao.Wiki hii ya Jumapili tarehe 24/3 ni Jumapili ya Mitende, ukurasa 93 katika kitabu cha sala.Kwenye hiyo sehemu ya pili tunafundisha juu ya wazo kuu la Njia ya Msalaba, 1 Wakorintho 1:18–25, Isaya 50:4–9, Zaburi 22. Kuna tofauti gani kati ya kuheshimu msalaba na ujumbe wa msalaba? Kuna nini katika Zaburi na Isaya inayoonekana katika mateso ya Yesu? Nini maana ya Yesu kusema Mungu wangu mbona uniacha? Karibu kusikiliza mafundisho yetu.Katika sehemu ya kwanza, podi iliyotangulia, tulifundisha juu ya tukio la Yesu kuingia Yerusalemu kwa shangwe katika Marko 11:1–10 na tukafafanua baadhi ya mambo makuu katika somo la Injili, Marko14:32–15:41. Hiyo unaweza kusikia hapa Karibu! This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com
NOW PLAYING
Mafundisho ya Biblia: 24/3 JP Mitende || pt2 Wazo Kuu na Masomo
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
Apr 19, 2023 ·38m
Jan 19, 2023 ·32m
Dec 27, 2022 ·33m
Nov 6, 2022 ·42m
Oct 24, 2022 ·34m
Oct 2, 2022 ·43m