USAFI

EPISODE · Aug 21, 2024 · 1H 14M

USAFI

from Yesu Ndiye Njia

USAFI BY MWALIMU ZABLON AND YUSUFU ON 9TH AUG 024

NOW PLAYING

USAFI

0:00 1:14:54

No transcript for this episode yet

We transcribe on demand. Request one and we'll notify you when it's ready — usually under 10 minutes.

R.F.X.A.FOREX IN SWAHILI SERIES (PODCASTS) Richard George (@richlit.rfxa) RICHLIT FOREX ACADEMY, Hii ​​ni jukwaa la masomo la mtandaoni lililokusudiwa kuelimisha na kutoa rasilimali kwa watu wote ambao wana nia ya kujifunza biashara ya forex au wanataka kuboresha ufahamu wao wa biashara. Mwanzilishi wa RICHLIT FOREX ACADEMY ndiye mfanyabiashara wa kwanza wa vijana .. KalameKhuda Podcast Romael Pervez KalameKhuda - Sachai Diaan Galaan, Prabhu Yesu Dian Galaan. A Biblical sermon podcast by www.KalameKhuda.com Irudie Injili ya Maji na Roho The New Life Mission Nahakika uhasili ndiyo unao amua thamani ya msingi katika vitabu ambavyo si vya hadithi za kufikirika. Hivyo basi vitabu vyetu vyote ni vya asili. Ni vitabu vya kwanza katika kipindi chetu kuweza kuweka bayana juu ya ubatizo wa Yesu kwa Yohana Mbatizaji. Hapo awali hapakuwepo na sikukuu ya Krismasi takriban karne mbili zilizo pita wakati wa Kanisa la mwanzo. Wakristo wa Kanisa la mwanzo pamoja na Mitume wa Yesu waliweza kuadhimisha siku ya Januari 6 kuwa ni siku ya Kubatizwa kwa Yesu katika mto Yordani na Yohana Mbatizaji. Kwanini wali weka msisitizo mkubwa juu ya ubatizo wa Yesu katika imani zao? Vitabu vyetu vinatoa jibu sahihi kwa swali hili. Na jibu lake ndiyo ufunguo halisi katika Ukristo wa Utume wa Hasili. Wazo kuu la vichwa vya habari ni kuingia kwa undani katika siri ya Ubatizo wa Yesu na injili ya maji na Roho. (Yohana 3:5). Si swala la upande mmoja katika Ukristo bali ni kiini kinacho wahusu Wakristo wote. Vichwa vyetu vya habari ni asilimia mia moja (100%) kibiblia na kiuha Neno @ttb.twr.org/swahili Thru the Bible Swahili Maelezo - Neno ni sehemu ya huduma ya kimataifa ya mafundisho ya biblia nzima ya Thru The Bible. Mfululizo wa mafundisho haya kwanza yaliandaliwa na Dkt. J. Vernon McGee na kutafsiriwa kwa lugha zaidi ya mia moja na kabila. mafundisho hayo yakusudiwa kuwa ya dakika 30 kwenye radio ambayo kwa mpangilio maalum humwezesha msikilizaji kujifunza Biblia nzima. Sasa ujumbe ndizo twakusilishia kwenye mtandao. Twashukuru kwamba umeanza kujifunza mengi zaidi katika Neno la Mungu kwa njia ya ujumbe hizi. Yapendekezwa kwamba usikilize kipindi kimoja kila siku, Jumatatu hadi Ijumaa. Ukifanya hivyo na kuendelea, basi kwa miaka mitano utakuwa umejifunza yote yaliyomo katika Biblia.
URL copied to clipboard!