PODCAST · religion
Irudie Injili ya Maji na Roho
by The New Life Mission
Nahakika uhasili ndiyo unao amua thamani ya msingi katika vitabu ambavyo si vya hadithi za kufikirika. Hivyo basi vitabu vyetu vyote ni vya asili. Ni vitabu vya kwanza katika kipindi chetu kuweza kuweka bayana juu ya ubatizo wa Yesu kwa Yohana Mbatizaji. Hapo awali hapakuwepo na sikukuu ya Krismasi takriban karne mbili zilizo pita wakati wa Kanisa la mwanzo. Wakristo wa Kanisa la mwanzo pamoja na Mitume wa Yesu waliweza kuadhimisha siku ya Januari 6 kuwa ni siku ya Kubatizwa kwa Yesu katika mto Yordani na Yohana Mbatizaji. Kwanini wali weka msisitizo mkubwa juu ya ubatizo wa Yesu katika imani zao? Vitabu vyetu vinatoa jibu sahihi kwa swali hili. Na jibu lake ndiyo ufunguo halisi katika Ukristo wa Utume wa Hasili. Wazo kuu la vichwa vya habari ni kuingia kwa undani katika siri ya Ubatizo wa Yesu na injili ya maji na Roho. (Yohana 3:5). Si swala la upande mmoja katika Ukristo bali ni kiini kinacho wahusu Wakristo wote. Vichwa vyetu vya habari ni asilimia mia moja (100%) kibiblia na kiuha
-
8
1. Maana ya Injili halisi ya Kuzaliwa Upya tena (Yohana 3:1-6)
Katika ulimwengu huu wapo wengi wenye kutaka kuzaliwa upya kwa njia ya kumwamini Yesu tu. Hata hivyo ningependa kukwambia awali kwamba kuzaliwa upya si takwa letu, au kwa maneno mengine si jambo ambalo litokanalo na matendo yetu pekee. https://www.bjnewlife.org/https://youtube.com/@TheNewLifeMissionhttps://www.facebook.com/shin.john.35
-
7
2. Ukristo Bandia na Uzushi Ndani ya Ukristo (Isaya 28:13-14)
Wapo waandishi bandia wa makala nyakati hizi hasa katika nchi zilizoendelea. Hujifanya kuwa waandishi wa makala huku wakiwa na nia ya kujipatia vipato toka kwa walengwa wa makala hizo, kwa kuwatishia kutoboa siri zao. Neno bandia maana yake ni kitu au jambo lenye kuonekana kuwa ni halisi hali si kweli. Kwa maneno mengine, lina maana kwa kitu au jambo ambalo ukweli wake ni tofauti na mwonekano wa nje. https://www.bjnewlife.org/https://youtube.com/@TheNewLifeMissionhttps://www.facebook.com/shin.john.35
-
6
3. Tohara ya Kweli ya Kiroho (Kutoka 12:43-49)
Maneno ya Mungu katika Agano la Kale na Jipya ni muhimu na yenye thamani kwetu sisi tunaomwamini Mungu. Hatuwezi kupuuzia hata mstari mmoja wa maneno kwakuwa maneno ya Mungu ni maneno ya uzima. https://www.bjnewlife.org/https://youtube.com/@TheNewLifeMissionhttps://www.facebook.com/shin.john.35
-
5
4. Ni Namna Ipi Ya Kufanya Toba Ya Kweli Na Sahihi Kwa Dhambi (1 Yohana 1:9)
1 Yohana 1:9 ipo kwa wenye haki tu. Ikiwa mwenye dhambi hakuwa amekombolewa na kujaribu kupatanishwa na dhambi za kila siku kulingana na maneno yaliyo katika kifungu hicho kwa kutubu makosa yake, dhambi zake hazitofutika. Je, unaelewa ninachojaribu kuelezea? Kifungu hicho katika 1 Yohana 1:9 hakiwi kigezo kwa wenye dhambi ambao hawajazaliwa upya mara ya pili. https://www.bjnewlife.org/https://youtube.com/@TheNewLifeMissionhttps://www.facebook.com/shin.john.35
-
4
5. Upotoshaji Uliopo Kwenye Kanuni ya Kujulikana na Kuchaguliwa Tangu Asili (Warumi 8:28-30)
Kanuni ya kitheolojia kuhusu kuchaguliwa toka asili na kuteuliwa, ambazo ni miongoni mwa misingi ya theolojia zinazounda misingi ya Kikristo, zimewapelekea wengi wenye kutaka kumwamini Yesu kushindwa kuelewa Neno la Mungu. Kanuni hizi potofu zimesababisha mkanganyiko mkubwa. https://www.bjnewlife.org/https://youtube.com/@TheNewLifeMissionhttps://www.facebook.com/shin.john.35
-
3
6. Ukuhani Uliobadilika (Waebrania 7:1-28)
Katika Agano la Kale, palikuwepo na kuhani mkuu aliyeitwa Melkzedeki. Wakati wa Abrahamu, Kedorlaoma na wafalme walishirikiana naye na kutaka vitu vyote vya Sodoma na Gomora. Abrahamu akawapa silaha watumishi wake waliofunzwa, wale waliozaliwa katika nyumba yake na kuwaongoza katika vita dhidi ya Kedorlaoma na washirika wake. https://www.bjnewlife.org/https://youtube.com/@TheNewLifeMissionhttps://www.facebook.com/shin.john.35
-
2
7. Ubatizo wa Yesu ni Mojawapo ya Hatua ya Ukombozi Isiyopaswa Kuwekwa Kando (Mathayo 3:13-17)
Watu wengi ulimwenguni hawafahamu ni kwanini Yesu alikuja katika ulimwengu huu na kubatizwa na Yohana Mbatizaji. Hivyo hebu tuzungumzie juu ya sababu za ubatizo wa Yesu na juu ya Yohana Mbatizaji aliyembatiza Yesu. https://www.bjnewlife.org/https://youtube.com/@TheNewLifeMissionhttps://www.facebook.com/shin.john.35
-
1
8. Hebu na Tutende Mapenzi ya Baba Kwa Imani (Mathayo 7:21-23)
Yesu Kristo alisema “Si kila mtu aniambiaye Bwana, Bwana atakayeingia katika ufalme wa mbinguni; Bali yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni.” Maneno haya yameleta woga katika mioyo ya wakristo wengi, hata kuwafanya wahangaike kwa bidii kutenda mapenzi ya Mungu. https://www.bjnewlife.org/https://youtube.com/@TheNewLifeMissionhttps://www.facebook.com/shin.john.35
No matches for "" in this podcast's transcripts.
No topics indexed yet for this podcast.
Loading reviews...
ABOUT THIS SHOW
Nahakika uhasili ndiyo unao amua thamani ya msingi katika vitabu ambavyo si vya hadithi za kufikirika. Hivyo basi vitabu vyetu vyote ni vya asili. Ni vitabu vya kwanza katika kipindi chetu kuweza kuweka bayana juu ya ubatizo wa Yesu kwa Yohana Mbatizaji. Hapo awali hapakuwepo na sikukuu ya Krismasi takriban karne mbili zilizo pita wakati wa Kanisa la mwanzo. Wakristo wa Kanisa la mwanzo pamoja na Mitume wa Yesu waliweza kuadhimisha siku ya Januari 6 kuwa ni siku ya Kubatizwa kwa Yesu katika mto Yordani na Yohana Mbatizaji. Kwanini wali weka msisitizo mkubwa juu ya ubatizo wa Yesu katika imani zao? Vitabu vyetu vinatoa jibu sahihi kwa swali hili. Na jibu lake ndiyo ufunguo halisi katika Ukristo wa Utume wa Hasili. Wazo kuu la vichwa vya habari ni kuingia kwa undani katika siri ya Ubatizo wa Yesu na injili ya maji na Roho. (Yohana 3:5). Si swala la upande mmoja katika Ukristo bali ni kiini kinacho wahusu Wakristo wote. Vichwa vyetu vya habari ni asilimia mia moja (100%) kibiblia na kiuha
HOSTED BY
The New Life Mission
CATEGORIES
Loading similar podcasts...