Wagalatia (1): Gal 1:1–9

EPISODE · Apr 24, 2024 · 32 MIN

Wagalatia (1): Gal 1:1–9

from Wahubiri wa Neno Pod · host Mike Taylor

Mchungaji Mmasa na Mwalimu Mike wanatoa maelezo ya Biblia katika waraka wa Paulo kwa Wagalatia. Tutafundisha waraka mzima sehemu kwa sehemu mwanzo hadi mwisho. Podi hii ya kwanza ni juu ya Wagalatia 1:1–9. Tunajifunza kusudi la Paulo kuandika waraka na hatari ya kuamini Injili isiyo kweli. Wagalatia walifundishwa Yesu hakuwatosha, bali lazima kuweka na tohara. Lakini Paulo alisema hayo ni uzushi na wakiamini mafundisho hayo watakuwa wamemwacha Yesu maana wanaweka imani katika Yesu pamoja na vitu vingine.Karibu!Wagalatia 1:1–9 (Soma Biblia hapa)1 Paulo, mtume, (si mtume wa wanadamu, wala kutumwa na mwanadamu, bali na Yesu Kristo, na Mungu Baba aliyemfufua kutoka kwa wafu), 2 na ndugu wote walio pamoja nami, kwa makanisa ya Galatia; 3 Neema na iwe kwenu, na amani, zitokazo kwa Mungu Baba, na kwa Bwana wetu Yesu Kristo; 4 ambaye alijitoa nafsi yake kwa ajili ya dhambi zetu, ili atuokoe na dunia hii mbovu iliyopo sasa, kama alivyopenda Mungu, Baba yetu. 5 Utukufu una yeye milele na milele, Amina.6 Nashangaa kwa kuwa mnamwacha upesi hivi yeye aliyewaita katika neema ya Kristo, na kugeukia Injili ya namna nyingine. 7 Wala si nyingine; lakini wapo watu wawataabishao na kutaka kuigeuza Injili ya Kristo. 8 Lakini ijapokuwa sisi au malaika wa mbinguni atawahubiria ninyi Injili yoyote isipokuwa hiyo tuliyowahubiria, na alaaniwe. 9 Kama tulivyotangulia kusema, na sasa, nasema tena, mtu awaye yote akiwahubiria ninyi Injili yoyote isipokuwa hiyo mliyoipokea, na alaaniwe. This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit mwalimumike.substack.com

NOW PLAYING

Wagalatia (1): Gal 1:1–9

0:00 32:08

No transcript for this episode yet

We transcribe on demand. Request one and we'll notify you when it's ready — usually under 10 minutes.

Prayer

Feb 13, 2022 ·39m

Social Trap Podcast Social Trap Welcome to the Social Trap Podcast! This is a show where we have relatable, life giving, purpose-filled conversations about the next generation of Christians and our view on culture. Hosted by Maxx Hamilton. Support this podcast: https://podcasters.spotify.com/pod/show/social-trap/support Soothing Pod - Sleep Stories Reel Radio Listen to more relaxing sleep stories. Gooday Gaming Guests FFF Gaming Emporium These are my Daily Messages in a Bottle sent over the internet Ocean for anyone to find. Listen to a Quick 20-minute Journey into my Life's Passions Work a Few Times a Day. I am 57. I Grew Up on All Gaming and Computing. I am a Seller of Gaming Parts on eBay and Etsy. In the past 8 years, I have learned about every system ever made. I am also an Enthusiast, Collector and Hobbyist of all Vintage Computing from the Very Beginning. In the last Few Years, I have been sharing my knowledge with others on YouTube, TikTok and Now this Pod Cast.See where all the Magic Happens:FFF Gaming Emporium | eBay Storeshttps://www.youtube.com/channel/UCDrdCmDQ52AsCWTWAhE7JEQ/<a target="_blank" rel="noopener noreferrer nofollow" href="https://www CZech It Out with Veronika Veronica LaVery Are you interested in improving your self inside out? What about ditching the old bad habits and mundane ways of thinking? Whether you're looking for motivation, inspiration or just some entertainment that allows you to sit back and relax and get some fresh perspectives in; you’re at the right place!Veronika is a CZech playmate, model and entrepreneur, Renaissance woman, immigrant, dog mum..just to name a few labels which are ever changing, but what doesn’t change is her spirit which shines bright and big while going through this human experience called LIFE. Support this podcast: https://podcasters.spotify.com/pod/show/czechitoutwithveronika/support
URL copied to clipboard!