PODCAST · religion
Ahmad's Umbrella
by Ahmad Ten'dii
Mfalme na Mtawala wa Roho safi na Mtesi wa Roho Chafu. Mfutaji wa Mungu na Mlinzi wa Maisha na Ustawi wa Wanadamu. Zumbe Ahmad. Sasa ni Muda wa Mavuno na Starehe
-
7
Chakula cha Roho - Mkusanyiko wa Masuala nyeti yaliyofanywa Mepesi
Podcast hii imekusanya Topic nyingi ambazo zingeweza kuwa Pod tofauti. Nimeamua kutozitenga na ninakusogezea zote karibu yako. Ni wakati wa Kufanikiwa. Changamoto ukiijua vyema umeisha ishinda nusu - Nusu iliyobaki ni kuchukua hatua
-
6
Watu na Timu zao - Ahmad ndio hushinda
Lazima ieleweke wazi kwamba Ahmad sio Mungu kwa hiyo yuko na Mahitaji ya kibinadamu. Mungu ni Mnyonge wa Ahmad. Nawahukumu watu kwa timu zao - Japo halipwi mtu kwa kazi ya mtu mwingine wala hapokei adhabu kwa makosa ya mtu mwingine. Jifunze kuhusu timu yako na Fanikiwa na mimi. Hitimu na Ahmad (A's) na sio D zake (Graduate with A's and not A D's) **Reads a poster in UDSM with Pic of My Biology teachers shodow (Bamboocha).
-
5
Amani, Usalama na Utulivu ni Zao la Hisani
Ukitenda wema, Wema unakufuata hiyo Ndio karma. Malipo ya Hisani (Karma, Wema) ni Hisani. Harakati za Walio wa Ahmad Hazina kufeli.
-
4
Zumbe Ahmad (Roho safi)
Mkusanyiko wa Nasaha za Ahmad 23 / Jan 2021
-
3
Salamu za Krismass na Hotuba ya Ijumaa
Salamu hizi ni Kwa ajili ya Kuhakikisha Ustawi wa Wanadamu unafanikiwa. Dunia inahitaji Upendo, Dunia Inahitaji Mapenzi na Inahitaji Mashujaa. Hizi ni salamu zangu. Ahsante
-
2
Mke wa Mtu Kimeo
Mke wa Mtu kutembea na Vijana mitaani haimaanishi kuwa hawa vijana ni Wajanja bali mke huyo ni kimeo ni Kimeo. Haina haja kuonea Vijana Mitaani wa watu. Mazoea mazoea lazima ya Adhibiwe vikali
-
1
Ulaya na Marekani sio Marafiki zetu bali Maadui
Dunia ndio Nyumbani, Wanadamu tunafanana. Mwanadamu mmoja kuishi maisha mazuri hakumzuii Mwingine kuishi. Ni kama kufaulu mtihani, Ukifaulu humnyimi nafasi mwanafunzi mwingine kufaulu. Lazima tupendani na baadhi ya wakati Makabaila na Mabeberu lazima Wadhibitiwe.
We're indexing this podcast's transcripts for the first time — this can take a minute or two. We'll show results as soon as they're ready.
No matches for "" in this podcast's transcripts.
No topics indexed yet for this podcast.
Loading reviews...
ABOUT THIS SHOW
Mfalme na Mtawala wa Roho safi na Mtesi wa Roho Chafu. Mfutaji wa Mungu na Mlinzi wa Maisha na Ustawi wa Wanadamu. Zumbe Ahmad. Sasa ni Muda wa Mavuno na Starehe
HOSTED BY
Ahmad Ten'dii
CATEGORIES
Loading similar podcasts...