11 AGOSTI 2016 episode artwork

EPISODE · Aug 11, 2026 · 9 MIN

11 AGOSTI 2016

from Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu · host UN News/Feissal Kirwa

Katika Jarida la Habari za Umoja wa Mataifa hii leo Feissal Kirwa anakuletea-Idadi ya vifo na majeruhi kufuatia tetemeko la ardhi nchini Colombia inaongezeka huku Umoja wa Mataifa ukianza kuwasilisha msaada muhimu kwa waathirika na kuwa tayari kusaidia kwa kila hali-Nchini Tanzania serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbbali likiwemo Shirika la Umoja wa Mataifa la  Kuhudumia Watoto UNICEF inahakikisha kila mtoto anasajiliwa pindi anapozaliwa -Na kuelekea Siku ya Kimataifa ya Vijana itakayoadhimishwa kesho Agosti 12 leo utasikia sauti za vijana mbalimbali  wakigusia ajira, elimu na maisha kwa ujumla.

Episode metadata supplied by the publisher feed · Published Aug 11, 2026

Embed this episode

NOW PLAYING

11 AGOSTI 2016

0:00 9:58

No transcript for this episode yet

We transcribe on demand. Request one and we'll notify you when it's ready — usually under 10 minutes.

No similar episodes found.

No similar podcasts found.

Frequently Asked Questions

How long is this episode of Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu?

This episode is 9 minutes long.

When was this Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu episode published?

This episode was published on August 11, 2026.

Can I download this Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu episode?

Yes. Use the download control on the episode player to save the publisher-provided media file.
URL copied to clipboard!