18 AGOSTI 2026 episode artwork

EPISODE · Aug 18, 2026 · 9 MIN

18 AGOSTI 2026

from Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu · host United Nations

Katika Jarida la Habari za Umoja wa Mataifa hii leo Flora Nducha anakuletea-Leo WHO imefanya mkutano wa pili wa kamati ya dharura ya kanuni za afya za Kimataifa mjini Geneva Uswisi  kutathmini kuhusu mlipuko wa virusi vya Ebola aina ya Bundibugyo nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo  DRC.-WHO pia imezungumza na waandshi wa habari DRC katika jitihada za kupambana na Ebola na pia kuhakikisha jamii inashirikishwa ipasavyo ikiwemo waendesha pikipiki au boda boda-Ripoti mpya iliyotolewa leo na  WHO na UNICEF, imeonesha kuwa licha ya maendeleo yaliyopatikana katika muongo mmoja uliopita, vituo vingi vya afya duniani bado havina huduma za kutosha za maji, vyoo na usafi.-Katika mada kwa kina leo utamsikia Emmanuel Madragule muhudumu wa kibinadamu Bunia DRC anayefanya kazi na OCHA akieleza kinachumsukuma kuendelea kutoa huduma ya kibinadamu-Na katika jifunze Kiswahili utasikia maana ya neno "KARAKARA"

Episode metadata supplied by the publisher feed · Published Aug 18, 2026

Embed this episode

NOW PLAYING

18 AGOSTI 2026

0:00 9:59

No transcript for this episode yet

We transcribe on demand. Request one and we'll notify you when it's ready — usually under 10 minutes.

No similar episodes found.

No similar podcasts found.

Frequently Asked Questions

How long is this episode of Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu?

This episode is 9 minutes long.

When was this Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu episode published?

This episode was published on August 18, 2026.

Can I download this Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu episode?

Yes. Use the download control on the episode player to save the publisher-provided media file.
URL copied to clipboard!