19 AGOSTI 2026 episode artwork

EPISODE · Aug 19, 2026 · 9 MIN

19 AGOSTI 2026

from Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu · host UN News/ Flora Nducha

Leo katika Jarida la Habari la Umoja wa Mataofa Flora Nducha anakuletea --Katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wahudumu wa Kibinadamu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa wito wa kuchukuliwa hatua za haraka kuwalinda wahudumu wa kibinadamu wanaotoa msaada wa kuokoa maisha katika maeneo yenye migogoro-Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu na Misaada ya Dharura (OCHA) iliyotolewa leo katika  kuadhimisha hii imeonya kwamba wahudumu 907 wa kibinadamu walikumbwa na vitendo vya ukatili mwaka jana, wakati wakitekeleza kazi zao za kuokoa maisha katika maeneo ya migogoro yanayozidi kuwa ya hatari.-Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Türk, amesema ana wasiwasi kuhusu taarifa za kukamatwa na kuzuiliwa kwa wanachama wa vyama vya upinzani nchini Zambia kabla na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika Agosti 13 katika ncho hiyo ya barani Afrika.-Na katika mada kwa kina hii leo tunaye Muhudumu wa Kibinadamu Cedric Lusimba muuguzi aliyehudumu katika maeneo mbalimbali yenye mizozo

Episode metadata supplied by the publisher feed · Published Aug 19, 2026

Embed this episode

NOW PLAYING

19 AGOSTI 2026

0:00 9:59

No transcript for this episode yet

We transcribe on demand. Request one and we'll notify you when it's ready — usually under 10 minutes.

No similar episodes found.

No similar podcasts found.

Frequently Asked Questions

How long is this episode of Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu?

This episode is 9 minutes long.

When was this Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu episode published?

This episode was published on August 19, 2026.

Can I download this Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu episode?

Yes. Use the download control on the episode player to save the publisher-provided media file.
URL copied to clipboard!