EPISODE · Jun 27, 2026 · 42 MIN
AI na Ubunifu wa Injili | Je, AI Inaua Creativity au Inaiinua? | Ft. Innocent Mwagilo
from Tikvah's Podcast · host Tikvah
Send us Fan MailKatika sehemu ya kwanza ya mfululizo wetu kuhusu AI na Ubunifu wa Injili, tunazungumza na Innocent Mwagilo — Music Producer, Songwriter na Sound Engineer.Katika mazungumzo haya tunachunguza namna Artificial Intelligence (AI) inavyoendelea kubadilisha music production na ubunifu kwa ujumla. Je, AI ni tool nyingine tu kama tulivyozoea kutumia studio software, au imeanza kuchukua nafasi ya creativity ya mwanadamu?Hili si mjadala wa kupinga au kuunga mkono AI.Ni mazungumzo ya kutafuta hekima, kuelewa mabadiliko yanayotokea, na kujiuliza jinsi Wakristo wanavyoweza kuitumia teknolojia kwa namna inayomheshimu Mungu.🎙️ Guest: Innocent MwagiloMusic Producer | Songwriter | Sound EngineerKaribu Tikvah Podcast.
Embed this episode
NOW PLAYING
AI na Ubunifu wa Injili | Je, AI Inaua Creativity au Inaiinua? | Ft. Innocent Mwagilo
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
No similar episodes found.
Similar Podcasts
No similar podcasts found.