Tikvah's Podcast podcast artwork

PODCAST · arts

Tikvah's Podcast

The podcast seeks to inspire, educate, and connect Christians in navigating Christian living, family dynamics, faith-building, and impactful engagement with the world. 

Publisher-supplied feed metadata · PodParley refreshed May 21, 2026 · Source feed

  1. 1

    On-Stage Dopamine: Maisha Baada ya Applause

    Send us Fan MailDESCRIPTIONNi nini kinatokea baada ya lights kuzimwa, microphone kuwekwa chini, na crowd kuondoka?Katika kipindi hiki cha Tikvah Podcast, tunazungumzia upande ambao mara nyingi hauonekani wa public praise—pressure ya ku-maintain image, kutafuta validation, na kutegemea applause ili kujisikia valuable.Tunaangalia jinsi stage, social media, influence na public recognition vinaweza kuwa tools nzuri, lakini pia vinaweza kuanza kuchukua nafasi ya identity yetu.Je, unaweza bado kujua wewe ni nani bila title, followers, applause au spotlight?Kipindi hiki ni reminder kwamba identity yetu haipo kwenye performance, success au public image, bali ndani ya Kristo.Your gift may put you on stage, but the stage should never define who you are.

  2. 0

    AI, Ibada na Kanisa: A Conversation with Pastor Delphinus Rwegasira

    Send us Fan MailKatika episode hii ya Tikvah Podcast, tunakaa na Pastor Del kuzungumza kuhusu Artificial Intelligence na nafasi yake ndani ya Kanisa.Je, AI inaweza kutumika kama tool kwenye worship, teaching, na Christian content creation? Au Kanisa linapaswa kuwa makini zaidi?This conversation is about wisdom, discernment, biblical truth, and keeping Christ at the center in a fast-changing world.AI inaweza kuwa tool, but Christ remains the center.

  3. -1

    AI na Ubunifu wa Injili | Je, AI Inaua Creativity au Inaiinua? | Ft. Innocent Mwagilo

    Send us Fan MailKatika sehemu ya kwanza ya mfululizo wetu kuhusu AI na Ubunifu wa Injili, tunazungumza na Innocent Mwagilo — Music Producer, Songwriter na Sound Engineer.Katika mazungumzo haya tunachunguza namna Artificial Intelligence (AI) inavyoendelea kubadilisha music production na ubunifu kwa ujumla. Je, AI ni tool nyingine tu kama tulivyozoea kutumia studio software, au imeanza kuchukua nafasi ya creativity ya mwanadamu?Hili si mjadala wa kupinga au kuunga mkono AI.Ni mazungumzo ya kutafuta hekima, kuelewa mabadiliko yanayotokea, na kujiuliza jinsi Wakristo wanavyoweza kuitumia teknolojia kwa namna inayomheshimu Mungu.🎙️ Guest: Innocent MwagiloMusic Producer | Songwriter | Sound EngineerKaribu Tikvah Podcast.

  4. -2

    Yusufu: Kivuli cha Kristo

    Send us Fan MailSimulizi la Yusufu siyo tu hadithi ya kutoka gerezani kwenda ikulu. Ni picha inayotuelekeza kwa Kristo.Yusufu alikuwa mwana aliyependwa na baba yake, akakataliwa na ndugu zake, akauzwa kwa fedha, akateseka bila hatia, na hatimaye akainuliwa ili kuhifadhi uhai wa wengi.Kwa namna kubwa zaidi, yote haya yanatuelekeza kwa Yesu Kristo — Mwana mpendwa wa Baba, aliyekataliwa, aliyeteseka, na kupitia mateso yake akaleta wokovu kwa ulimwengu.Katika kipindi hiki tunatafakari kwa nini Misri haikuwa nyumbani kwa Yusufu, na kwa nini Mkristo hapaswi kujenga tumaini lake juu ya mafanikio, mamlaka, mali, au nafasi aliyonayo, bali juu ya Kristo na uzima wa milele.Karibu kusikiliza Tikvah Podcast.

  5. -3

    Imani Kwa Mungu Au Imani Kwa Mbinu?-Episode 3

    Send us Fan MailKatika Episode hii nimefanya mazungmzo na kaka yangu na mwalimu wangu Faith Joel Shimba Kuhusu namna kanisa limejikuta likibobea katika shughuli za kiroho na kusaua kuhusu Mungu

  6. -4

    Uchambuzi wa Nyimbo-Kitabu by Paul Clement

    Send us Fan MailTumejadili kuhusu live record ya wimbo wa Paul Clement Kitabu(Ajabu) wimbo unapatikana kwenye Youtube channel yake Paul Clement pamoja na Digital Platform zote, tumejadili kuhusu ubora wa utunzi ubora na ubora wa videoKaribu kusikiliza

  7. -5

    Imani Kwa Mungu Au Imani Kwa Mbinu?-Episode 2

    Send us Fan MailKatika episode hii tunachunguza namna ambavyo baadhi ya huduma na makanisa ya kizazi hiki yamehamisha watu kutoka kumtafuta Kristo kwenda kushikilia mbinu, ishara, na experiences za kiroho.Kutoka matumizi ya mafuta, maji, udongo, vitambaa, prophetic acts, hadi “gymnastics” nyingi za kiroho , tunajiuliza: Je, hizi ni njia zinazotupeleka kwa Mungu, au zimekuwa distraction inayochukua nafasi ya ujumbe wa kweli wa Injili?Kupitia mifano ya Yesu Kristo na mitume:Yesu kutumia mate na udongo kumponya kipofu,Kulisha watu 5000 kwa mikate na samaki,Petro kuponya kupitia kivuli chake,Paulo kupitia leso na vitambaa,tunagundua jambo moja muhimu:Walifanya miujiza, lakini hawakuwahi kujenga huduma zao juu ya miujiza.Ujumbe wao ulikuwa mmoja:Kuwaleta watu kwa Mungu.🎙 Episode hii ni mwaliko wa kurudi kwenye Injili halisi, kumtafuta Kristo kuliko ishara, na kuhakikisha hatupendi “mkate” kuliko “Bread of Life”.#ChristianPodcast #SwahiliPodcast #Injili #Faith #JesusChrist #ChristianLife #Truth #RelationshipWithGod

  8. -6

    Imani Kwa Mungu Au Imani Kwa Mbinu?

    Send us Fan MailKatika episode hii tunazungumzia tofauti kati ya kumwamini Mungu na kuamini mbinu za kiroho. Mara nyingi waamini tunajikuta tukiegemea sana maombi, kufunga, ibada, na taratibu mbalimbali za kiroho kiasi kwamba tunasahau kuwa vitu hivi vilikusudiwa kutupeleka kwa Mungu — sio kuchukua nafasi ya Mungu mwenyewe.Kupitia simulizi la Musa na mwamba, pamoja na mafundisho ya Yesu kuhusu mapokeo, tunatafakari namna ambavyo mbinu zinaweza kuwa muhimu kuliko uhusiano wa kweli na Mungu.Je, bado tunamtafuta Mungu… au tumebaki kushikilia mifumo?🎙 Mada hii ni mwaliko wa kurudi kwenye imani ya kweli, ushirika wa kweli, na kumtumaini Mungu zaidi ya tulivyozoea kufanya mambo ya kiroho.#Faith #ChristianPodcast #Imani #RelationshipWithGod #ChristianLife #Jesus #SwahiliPodcast

Type above to search every episode's transcript for a word or phrase. Matches are scoped to this podcast.

Searching…

We're indexing this podcast's transcripts for the first time — this can take a minute or two. We'll show results as soon as they're ready.

No matches for "" in this podcast's transcripts.

Showing of matches

No topics indexed yet for this podcast.

Loading reviews...

ABOUT THIS SHOW

The podcast seeks to inspire, educate, and connect Christians in navigating Christian living, family dynamics, faith-building, and impactful engagement with the world.

HOSTED BY

Tikvah

CATEGORIES

Frequently Asked Questions

How many episodes does Tikvah's Podcast have?

Tikvah's Podcast currently has 8 episodes available on PodParley. New episodes are automatically indexed when they're published to the podcast feed.

What is Tikvah's Podcast about?

The podcast seeks to inspire, educate, and connect Christians in navigating Christian living, family dynamics, faith-building, and impactful engagement with the world. 

How often does Tikvah's Podcast release new episodes?

Tikvah's Podcast has 8 episodes. Check the episode list to see recent publication dates and frequency.

Where can I listen to Tikvah's Podcast?

You can listen to Tikvah's Podcast on PodParley by clicking any episode. We provide an embedded audio player for direct listening, and you can also subscribe via your preferred podcast app using the RSS feed.

Who hosts Tikvah's Podcast?

Tikvah's Podcast is created and hosted by Tikvah.
URL copied to clipboard!