AUDIO; PATA MASAA MAWILI YA ZIADA KILA SIKU. episode artwork

EPISODE · Feb 3, 2017 · 14 MIN

AUDIO; PATA MASAA MAWILI YA ZIADA KILA SIKU.

from Ongea na Coach Makirita Amani's show · host Dr Makirita Amani

Muda umekuwa ni changamoto na kikwazo kwa wengi kufikia malengo yao ya kimaisha. Kila siku tumekuwa tunasema kama ningekuwa na muda wa ziada ninge.... Lakini siku zinakwenda na hatuoni kupatikana kwa muda huo wa ziada. Tunaamua kuzika ndoto zetu kwa sababu hatukupata muda wa kuzifanyia kazi. Vipi leo nikikuambia kwamba unaweza kupata masaa mawili ya ziada kila siku? Ndiyo namaanisha masaa mawili, dakika 120 za ziada kwenye siku yako ya kawaida? Ni mangapi makubwa utaweza kuyafanya na kubadili kwenye maisha yako kwa nyongeza ya masaa mawili kila siku? Kwenye kitabu hiki siyo tu ninakuambia ya kwamba unaweza kupata masaa mawili ya ziada, bali ninakuonesha hatua kwa hatua jinsi unavyoweza kupata hayo masaa mawili ya ziada kila siku kwenye maisha yako. Nitakushirikisha mbinu bora za kuweza kutunza na kutumia vizuri muda wako kila siku, ili uache kusingizia muda kama sababu ya wewe kushindwa kuishi ndoto zako. Baada ya kukuwezesha kuyapata masaa mawili ya ziada kwenye siku yako, sitakuacha nayo halafu uyapoteze, badala yake nitakushauri njia bora za kutumia masaa hayo mawili ya ziada kila siku, uweze kubadili maisha yako na kuwa bora zaidi. Unapokuwa bora basi mafanikio ni uhakika kwako. Karibu twende pamoja kwenye kitabu hiki ili tujifunze njia bora za kutunza na kutumia muda wetu ili kuishi maisha ya mafanikio. Rafiki na Kocha wako, Makirita Amani, [email protected] www.kisimachamaarifa.co.tz www.amkamtanzania.co.tz

Episode metadata supplied by the publisher feed · Published Feb 3, 2017

Embed this episode

NOW PLAYING

AUDIO; PATA MASAA MAWILI YA ZIADA KILA SIKU.

0:00 14:43

No transcript for this episode yet

We transcribe on demand. Request one and we'll notify you when it's ready — usually under 10 minutes.

No similar episodes found.

No similar podcasts found.

Frequently Asked Questions

How long is this episode of Ongea na Coach Makirita Amani's show?

This episode is 14 minutes long.

When was this Ongea na Coach Makirita Amani's show episode published?

This episode was published on February 3, 2017.

Can I download this Ongea na Coach Makirita Amani's show episode?

Yes. Use the download control on the episode player to save the publisher-provided media file.
URL copied to clipboard!