EPISODE · Oct 7, 2026
Chanzo cha kuzuka kwa vita vipya Kaskazini mwa Ethiopia
from Wimbi la Siasa · host RFI Kiswahili
Tangu tarehe 23 Septemba, mapigano mapya yameendelea kushuhudiwa Kaskazini mwa Ethiopia, kati ya vikosi vya serikali na wapiganaji wa Tigray. Nini kinaendelea Ethiopia na vita vina vinaweza kuvuka mipaka ? Mchambuzi wetu ni Abdullahi Boru, mtalaam wa masuala amani , usalama, haki za binadamu katika eneo la Pembe ya Afrika akiwa Washington DC nchini Marekani.
Embed this episode
Ready to play
Chanzo cha kuzuka kwa vita vipya Kaskazini mwa Ethiopia
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
No similar episodes found.
Similar Podcasts
No similar podcasts found.