EPISODE · Mar 13, 2026 · 3 MIN
CSW70 imenifanya niamini mimi ninastahili kutatua changamoto - Kanyesige Imelda
from Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu · host Feissal Kirwa
Mikutano hii inayokutanisha Umoja wa Mataifa watetezi wa haki za wanawake dunia inawapa ujasiri vijana wa kuona kuwa nao wana uwezo na fursa ya kusaka majawabu katika jamii zao. Ni kauli ya kijana wa kike kutoka nchini Uganda anayeshiriki mkutano wa 70 wa Kamisheni ya Hali ya wanawake Duniani (CSW70) unaoendelea hapa katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani. Feissal Kibet wa Idhaa hii ya Kiswahili amepata fursa ya kuzungumza na kijana huyo na kuandaa taarifa hii.
Embed this episode
NOW PLAYING
CSW70 imenifanya niamini mimi ninastahili kutatua changamoto - Kanyesige Imelda
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
No similar episodes found.
Similar Podcasts
No similar podcasts found.