EPISODE · Aug 19, 2026
DR Congo: Mvutano waendelea kuhusu mpango wa kuifanyia marekebisho katiba
from Wimbi la Siasa · host RFI Kiswahili
Mahakama ya Katiba nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo mwezi Julai, iliidhinisha sheria tata ya kufanyika kwa kura ya maoni, ili kuifanyia katiba mabadiliko baada ya kupitishwa na wabunge mwezi Juni. Hatua hii imewakera wapinzani wa rais Felix Tshisekedi, kutoka muungano wa C64 ambao wameitisha maandamano Septemba 15, baada ya kuchelewa kuanza kwa mazungumzo ya kitaifa. Tunachambua na mbunge Willy Mishiki kutoka upande wa rais Tshisekedi na Emery Damien Kalwira kutoka muungano wa upinzani wa C64.
Embed this episode
Ready to play
DR Congo: Mvutano waendelea kuhusu mpango wa kuifanyia marekebisho katiba
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
No similar episodes found.
Similar Podcasts
No similar podcasts found.