EPISODE · Jul 4, 2026
DRC yasherehekea miaka 66 ya uhuru, amnesty yalaani vita Sudan, mazishi ya Khamenei huko Iran
from Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii · host RFI Kiswahili
Makala imeangazia maadhimisho ya miaka 66 ya uhuru wa jamahuri ya kidemokrasia ya Congo, kuanzishwa kwa majaribio ya dawa zizonaweza kuwa tiba ya Ebola aina ya Bundibugyo huko DRC, kufungwa kwa kituo cha televisheni cha NTV na Gazeti la Daily Moniter nchini Uganda, shirika la Amnesty International, layatuhumu mataifa ya nje kwa kuendelea kuchochea mzozo wa Sudan. Polisi nchini Afrika Kusini wazuia maandamano ya ghasia, utawala wa Tehran wakanusha kuomba mazungumzo na Marekani
Embed this episode
Ready to play
DRC yasherehekea miaka 66 ya uhuru, amnesty yalaani vita Sudan, mazishi ya Khamenei huko Iran
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
No similar episodes found.