#DZK001; Rudia Rudia Bila Kuchoka (MAKIRITA 10 X 10 KILA SIKU) episode artwork

EPISODE · May 28, 2026 · 10 MIN

#DZK001; Rudia Rudia Bila Kuchoka (MAKIRITA 10 X 10 KILA SIKU)

from Ongea na Coach Makirita Amani's show · host Kocha Dr Makirita Amani

Rudia Rudia Bila Kuchoka Rafiki, Kwa kipindi ambacho nimejifunza na kuishi kanuni za mafanikio, Kuna kitu kimoja nimeona kinawatenganisha wanaofanikiwa na wanaoshindwa. Kitu hicho ni uwezo wa kurudia rudia mambo yanayochosha bila kuchoka. Kwenye #BaruaYaKocha nimekushirikisha mambo 10 (MAKIRITA 10 × 10 KILA SIKU) ninayoazimia kuyafanya kwa kurudia rudia kila siku bila kuacha. Karibu ujifunze mambo hayo, ili na wewe uweze kupanga utakayofanya. Na kama utataka tushirikiane kwa karibu katika kuyaishi, nafasi hiyo ipo. Isome barua hapa, https://learn.tanzaniteskills.... Pia sikiliza #Dakika10ZaKocha ambapo nimefafanua hilo.Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support.

NOW PLAYING

#DZK001; Rudia Rudia Bila Kuchoka (MAKIRITA 10 X 10 KILA SIKU)

0:00 10:57

No transcript for this episode yet

We transcribe on demand. Request one and we'll notify you when it's ready — usually under 10 minutes.

No similar episodes found.

No similar podcasts found.

Frequently Asked Questions

How long is this episode of Ongea na Coach Makirita Amani's show?

This episode is 10 minutes long.

When was this Ongea na Coach Makirita Amani's show episode published?

This episode was published on May 28, 2026.

What is this episode about?

Rudia Rudia Bila Kuchoka Rafiki, Kwa kipindi ambacho nimejifunza na kuishi kanuni za mafanikio, Kuna kitu kimoja nimeona kinawatenganisha wanaofanikiwa na wanaoshindwa. Kitu hicho ni uwezo wa kurudia rudia mambo yanayochosha bila kuchoka. Kwenye...

Can I download this Ongea na Coach Makirita Amani's show episode?

Yes, you can download this episode by clicking the download button on the episode player, or subscribe to the podcast in your preferred podcast app for automatic downloads.
URL copied to clipboard!