Elimu kwa umma kuhusu zoezi la SENSA YA WATU NA MAKAZI (2022) episode artwork

EPISODE · Jan 15, 2026 · 2 MIN

Elimu kwa umma kuhusu zoezi la SENSA YA WATU NA MAKAZI (2022)

from MAELEZO PODCASTS · host Tanzania Information Services Department, Habari-MAELEZO

Send us Fan MailMatokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 ni kwa ajili ya mipango jumuishi na maendeleo endelevu ya nchi na yataongeza uwazi katika kugawa rasilimali zilizopo kuendana na uwiano wa idadi ya watu katika ngazi zote za utawala. Halikadhalika matokeo yatatumika na Serikali na wadau wengine katika kufuatilia na kutathmini mipango mbalimbali ya kitaifa na kimataifa ikijumuisha Dira ya Maendeleo ya Taifa 2025 na Dira ya Zanzibar 2050, Mpango wa Tatu wa Taifa wa Maendeleo wa Mwaka 2021/22 - 2025/26 na Mpango wa Maendeleo wa Zanzibar (2021/22 - 2025/26), Dira ya Maendeleo ya Jumuiya ya Afrika Mashariki 2050 na Ajenda ya Maendeleo ya Afrika 2063. Taarifa hizi zitaipima Tanzania katika hatua iliyofikia kwenye utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu; Mpango ambao unalenga kuleta usawa na kutokomeza umaskini wa aina zote ukiwemo umaskini uliokithiri ifikapo mwaka 2030 kwa kuhakikisha kuwa hakuna mtu anayeachwa nyuma.Support the showMsemaji Mkuu wa Serikali

Episode metadata supplied by the publisher feed · Published Jan 15, 2026

Embed this episode

Send us Fan Mail Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 ni kwa ajili ya mipango jumuishi na maendeleo endelevu ya nchi na yataongeza uwazi katika kugawa rasilimali zilizopo kuendana na uwiano wa idadi ya watu katika ngazi zote za utawala. Halikadhalika matokeo yatatumika na Serikali na wadau wengine katika kufuatilia na kutathmini mipango mbalimbali ya kitaifa na kimataifa ikijumuisha Dira ya Maendeleo ya Taifa 2025 na Dira ya Zanzibar 2050, Mpango wa Tatu wa Taifa wa Maendeleo wa M...

Distinct summary based on available episode metadata or transcript content.

Ready to play

Elimu kwa umma kuhusu zoezi la SENSA YA WATU NA MAKAZI (2022)

0:00 2:02

No transcript for this episode yet

We transcribe on demand. Request one and we'll notify you when it's ready — usually under 10 minutes.

No similar episodes found.

No similar podcasts found.

Frequently Asked Questions

How long is this episode of MAELEZO PODCASTS?

This episode is 2 minutes long.

When was this MAELEZO PODCASTS episode published?

This episode was published on January 15, 2026.

Can I download this MAELEZO PODCASTS episode?

Yes. Use the download control on the episode player to save the publisher-provided media file.
URL copied to clipboard!