FAO Kenya yajengea uwezo kaya ili zisiyumbe kiuchumi na kijamii katikati ya ukame episode artwork

EPISODE · Mar 30, 2026 · 3 MIN

FAO Kenya yajengea uwezo kaya ili zisiyumbe kiuchumi na kijamii katikati ya ukame

from Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu · host Assumpta Massoi

Nchini Kenya katika kaunti za Isiolo, Garissa, Samburu na  Mto Tana, shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo, FAO limeendesha kampeni ya upatiaji mifugo dawa za minyoo na  udhibiti wa wadudu waenezao magonjwa, sambamba na kupatia wananchi fedha taslimu bila masharti kama mojawapo ya kujengea jamii mnepo wakati wa ukame unaosababishwa na mabadiliko ya tabianchi. Assumpta Massoi na maelezo zaidi

Episode metadata supplied by the publisher feed · Published Mar 30, 2026

Embed this episode

Ready to play

FAO Kenya yajengea uwezo kaya ili zisiyumbe kiuchumi na kijamii katikati ya ukame

0:00 3:28

No transcript for this episode yet

We transcribe on demand. Request one and we'll notify you when it's ready — usually under 10 minutes.

No similar episodes found.

No similar podcasts found.

Frequently Asked Questions

How long is this episode of Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu?

This episode is 3 minutes long.

When was this Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu episode published?

This episode was published on March 30, 2026.

Can I download this Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu episode?

Yes. Use the download control on the episode player to save the publisher-provided media file.
URL copied to clipboard!