EPISODE · Sep 27, 2016 · 14 MIN
Fukuza Wateja Hawa.
from Ongea na Coach Makirita Amani's show · host Kocha Dr Makirita Amani
Siyo kila mtu anaweza kuwa mteja wa biashara yako.Unahitaji kuchagua aina ya wateja ambao utafanya nao biashara na kujua wateja ambao unahitaji kuwaepuka kwenye biashara yako. Sikiliza kipindi hiki cha leo kujua wateja wakuwa nao na wateja wa kuwafukuza.Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support.
Embed this episode
NOW PLAYING
Fukuza Wateja Hawa.
No transcript for this episode yet
Similar Episodes
No similar episodes found.
Similar Podcasts
No similar podcasts found.