Hata kama ulipata mimba ukiwa na umri wa miaka 14 huo sio mwisho wa maisha yako - Mary Chigumira episode artwork

EPISODE · Jun 17, 2026 · 2 MIN

Hata kama ulipata mimba ukiwa na umri wa miaka 14 huo sio mwisho wa maisha yako - Mary Chigumira

from Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu · host Flora Nducha

Leo tunakupeleka Zimbabwe kwa mwanaharakati wa haki za wanawake na wasichana kutoka asasi ya kiraia ya “Unlimited Hope Alliance”. Kandoni mwa moja ya mikutano ya Zama Zijazo ya Umoja wa Mataifa hapa New York Marekani alipata fursa ya kuzungumza na Flora Nducha wa Idhaa hii akipaza sauti kwa viongozi wa dunia kuhakikisha wanawake na wasichana wa vijijini hawapewi kisogo katika ajenda za maendeleo, elimu na teknolojia. Flora Nducha anafafanua zaidi alichomueleza katika taarifa hii

Episode metadata supplied by the publisher feed · Published Jun 17, 2026

Embed this episode

Ready to play

Hata kama ulipata mimba ukiwa na umri wa miaka 14 huo sio mwisho wa maisha yako - Mary Chigumira

0:00 2:58

No transcript for this episode yet

We transcribe on demand. Request one and we'll notify you when it's ready — usually under 10 minutes.

No similar episodes found.

No similar podcasts found.

Frequently Asked Questions

How long is this episode of Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu?

This episode is 2 minutes long.

When was this Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu episode published?

This episode was published on June 17, 2026.

Can I download this Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu episode?

Yes. Use the download control on the episode player to save the publisher-provided media file.
URL copied to clipboard!