Imani Kwa Mungu Au Imani Kwa Mbinu? episode artwork

EPISODE · May 21, 2026 · 10 MIN

Imani Kwa Mungu Au Imani Kwa Mbinu?

from Tikvah's Podcast · host EightBallAudio

Send us Fan MailKatika episode hii tunazungumzia tofauti kati ya kumwamini Mungu na kuamini mbinu za kiroho. Mara nyingi waamini tunajikuta tukiegemea sana maombi, kufunga, ibada, na taratibu mbalimbali za kiroho kiasi kwamba tunasahau kuwa vitu hivi vilikusudiwa kutupeleka kwa Mungu — sio kuchukua nafasi ya Mungu mwenyewe.Kupitia simulizi la Musa na mwamba, pamoja na mafundisho ya Yesu kuhusu mapokeo, tunatafakari namna ambavyo mbinu zinaweza kuwa muhimu kuliko uhusiano wa kweli na Mungu.Je, bado tunamtafuta Mungu… au tumebaki kushikilia mifumo?🎙 Mada hii ni mwaliko wa kurudi kwenye imani ya kweli, ushirika wa kweli, na kumtumaini Mungu zaidi ya tulivyozoea kufanya mambo ya kiroho.#Faith #ChristianPodcast #Imani #RelationshipWithGod #ChristianLife #Jesus #SwahiliPodcast

Episode metadata supplied by the publisher feed · Published May 21, 2026

Embed this episode

Send us Fan Mail Katika episode hii tunazungumzia tofauti kati ya kumwamini Mungu na kuamini mbinu za kiroho. Mara nyingi waamini tunajikuta tukiegemea sana maombi, kufunga, ibada, na taratibu mbalimbali za kiroho kiasi kwamba tunasahau kuwa vitu hivi vilikusudiwa kutupeleka kwa Mungu — sio kuchukua nafasi ya Mungu mwenyewe. Kupitia simulizi la Musa na mwamba, pamoja na mafundisho ya Yesu kuhusu mapokeo, tunatafakari namna ambavyo mbinu zinaweza kuwa muhimu kuliko uhusiano wa kweli na Mungu. ...

Distinct summary based on available episode metadata or transcript content.

NOW PLAYING

Imani Kwa Mungu Au Imani Kwa Mbinu?

0:00 10:52

No transcript for this episode yet

We transcribe on demand. Request one and we'll notify you when it's ready — usually under 10 minutes.

No similar episodes found.

No similar podcasts found.

Frequently Asked Questions

How long is this episode of Tikvah's Podcast?

This episode is 10 minutes long.

When was this Tikvah's Podcast episode published?

This episode was published on May 21, 2026.

Can I download this Tikvah's Podcast episode?

Yes. Use the download control on the episode player to save the publisher-provided media file.
URL copied to clipboard!