Imani Kwa Mungu Au Imani Kwa Mbinu?-Episode 2 episode artwork

EPISODE · May 27, 2026 · 11 MIN

Imani Kwa Mungu Au Imani Kwa Mbinu?-Episode 2

from Tikvah's Podcast · host Tikvah

Send us Fan MailKatika episode hii tunachunguza namna ambavyo baadhi ya huduma na makanisa ya kizazi hiki yamehamisha watu kutoka kumtafuta Kristo kwenda kushikilia mbinu, ishara, na experiences za kiroho.Kutoka matumizi ya mafuta, maji, udongo, vitambaa, prophetic acts, hadi “gymnastics” nyingi za kiroho , tunajiuliza: Je, hizi ni njia zinazotupeleka kwa Mungu, au zimekuwa distraction inayochukua nafasi ya ujumbe wa kweli wa Injili?Kupitia mifano ya Yesu Kristo na mitume:Yesu kutumia mate na udongo kumponya kipofu,Kulisha watu 5000 kwa mikate na samaki,Petro kuponya kupitia kivuli chake,Paulo kupitia leso na vitambaa,tunagundua jambo moja muhimu:Walifanya miujiza, lakini hawakuwahi kujenga huduma zao juu ya miujiza.Ujumbe wao ulikuwa mmoja:Kuwaleta watu kwa Mungu.🎙 Episode hii ni mwaliko wa kurudi kwenye Injili halisi, kumtafuta Kristo kuliko ishara, na kuhakikisha hatupendi “mkate” kuliko “Bread of Life”.#ChristianPodcast #SwahiliPodcast #Injili #Faith #JesusChrist #ChristianLife #Truth #RelationshipWithGod

Episode metadata supplied by the publisher feed · Published May 27, 2026

Embed this episode

Send us Fan Mail Katika episode hii tunachunguza namna ambavyo baadhi ya huduma na makanisa ya kizazi hiki yamehamisha watu kutoka kumtafuta Kristo kwenda kushikilia mbinu, ishara, na experiences za kiroho. Kutoka matumizi ya mafuta, maji, udongo, vitambaa, prophetic acts, hadi “gymnastics” nyingi za kiroho , tunajiuliza: Je, hizi ni njia zinazotupeleka kwa Mungu, au zimekuwa distraction inayochukua nafasi ya ujumbe wa kweli wa Injili? Kupitia mifano ya Yesu Kristo na mitume: Yesu kutumia mat...

Distinct summary based on available episode metadata or transcript content.

NOW PLAYING

Imani Kwa Mungu Au Imani Kwa Mbinu?-Episode 2

0:00 11:18

No transcript for this episode yet

We transcribe on demand. Request one and we'll notify you when it's ready — usually under 10 minutes.

No similar episodes found.

No similar podcasts found.

Frequently Asked Questions

How long is this episode of Tikvah's Podcast?

This episode is 11 minutes long.

When was this Tikvah's Podcast episode published?

This episode was published on May 27, 2026.

Can I download this Tikvah's Podcast episode?

Yes. Use the download control on the episode player to save the publisher-provided media file.
URL copied to clipboard!